Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

If my reply resembles yours it could be hitting an iron while it is still hot...anyway it was my free thought when i quited.

First of all you should be a risk taker to be in this business..but from this very beginning you are trying to show us that you are a timid kind of a trader...calm down bro..relax bring your advice to ONTARIO via this platform..let members discuss the issue and if it will be worth doing it we will support it 100% and if not 0%.
Unajua mkuu sidhani kama kuna haja ya kuleta sijui magroup ya whats,insta,Facebook n.k mtajikuja mnaleta magroup ya kimkoa,wilaya,mtaa hadi ya kifamilia hapa..wewe ingia chimbo kama next wiki unatakiww kupresent thesis yako kwa ma professor. Ontario ameshatuambia tumsubirie kila kitu kitakuwa sawa na hakuna mtu ataachwa as long as ni member wa JF...nikuambie kitu mkuu kuna watu wameshaanza kumpiku Ontario humu ndani kana kwamba ndiyo wao walioanzisha hili wazo.
Mimi nionavyo ni vyema tukamsubiri Ontario ili hata kama utapata tatizo aweze kutusaidia kwa urahisi zaidi.

Anyway ni kipindi cha pili sasa ngoja nimcheki CHICHAROTOZ..
 

Watashindana nae ila hawatamsinda he was,he is and still "an edge above the rest"
 
Yaani nimesoma hii ninasikia hadi utamu, so professional analysis.
Level hizi zinafurahisha sana[emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
ONTARIO habari yako kiongozi,kwanza tunakushukuru sana sana kwa nia yako njema ya kuwatamanisha mafanikio vijana wenzako ambao pasi na shaka tu wengi ambao tunatamani kama si kuyapata basi kuyafikia walau kuyaakisi katika ukweli.

Wazo lako la kuanzisha darasa mujarabu kwa biashara ya forex ni la kuungwa mkono na kupongezwa na wote wenye nia ya kujikwamua kupitia huduma hiyo.

Ila pamoja na hayo mkuu ningekushauri kama ingekupendeza pamoja na kuandaa darasa ambalo malengo ni watu 300 wa awali na hii ni kwa bure kama ulivyosema ,na kwa kuwa wahitaji wa kuhudhuria darsa hilo kwa makisio yanaonyesha kuwa huenda wakawa ni wengi zaidi,napendekeza uongeze ubunifu wa kutoa darasa hilo pia kupitia online video(youtube) ili kusudu wale /sisi ambao tuko mbali na dar,au ambaye amejiunga na jamii forum siku ambayo tayari darasa hilo limepita (japo litakuwa endelevu) aweze kunufaika kwa kutazama darasa lote hilo kupitia youtube channel yako then kwa suala la usimamaizi na mentorship akaja ofisini kwenu akiwa walau anamwangaza wa kujua abc za forex trade.

Hii utakuwa umesaidia maelfu ya vijana wengi a afrika mashariki wanaoelewa lugha ya kiswahili kuifahamu forex lakini pia itakufanya uwe karibu zaidi na watu kwa kuwa naamini video hizo zitakuwa na mfululizo maalumu.

natumaini utakuwa umelielewa lengo langu na kama itakupendeza na kuona inafaa kulizingatia liweke kwenye hansad zako kwa ajili ya mazingatio ili kuona ni kwa namna gani lengo lako jema linafanikiwa,nitafurahi kwa mrejesho kutoka kwako.
 

Hahahaaa sio mbaya lkn watu wakimuongezea Ontario mawazo ya kuboresha wazo wakati tunasubiri mrejesho wake. Siunaona hata yeye ameukubali sana ushauri.

Match njema mkuu
 
Duh, so beautiful to see
Darasa litakua safi sana. Full shangwe
 
Hahahaaa sio mbaya lkn watu wakimuongezea Ontario mawazo ya kuboresha wazo wakati tunasubiri mrejesho wake. Siunaona hata yeye ameukubali sana ushauri.

Match njema mkuu

Thanx...morenooooo gooooool
 
Hahaa wakuu, very interesting

A fantancy life becoming real and so livable. Well nimeshaanza countdown tangu kitabu changu cha kwanza kusoma.

Now I hardly remember passwords zangu kwenye accounts za mikeka, nguvu zote zimewekwa huku. Let's see where will this take us to!
 
We Bavaria acha kunirusha mkuu
Unavyosimulia naiona picha ya kutimia ndoto zangu
Nime hustle sana with no success yet
Sasa naona mwanga kwenye maisha yangu
Ntakomaa na hii kitu haijalishi ni mda gan mpaka niiweze

#i chose Forex to be my career
Since 26may2017 hii post ilivyowekwa
 
Nimekutan na 'Islamic forex brokers' hivyo mwenye idea atupe tuelewe! Kwan Kuna idea za baadhi ya watu wanasema biashara hii ni haraam!!
 
Nice one mkuu, tukifikia level hii uzi utakua mtamu zaidi. Hapo umetupa glimpse of your approach to technical analysis. Kwa mfano huo, napenda kujua umetumia time frame gani...na pia kama huwa una cross check na kupata overview ya fundamentals ya pair husika kwanza kabla hujaweka order
 
Reactions: MC7
Hiyo itakua safi sana mkuu fanya hivyo ase
 

Ufanye kwa vitendo, usije ukaishia njiani ukaanza kulaani kila mtu.
 

I am back mkuu...



EURUSD has a STRONG BEARISH pattern. But,

It can break the resistance line at the current 23% Fib retrenchment level mpaka 61% ambapo kuna kama pips 256 hivi.

au Itapanda juu kidogo kama pips 198 then itashuka chini kwa nguvu sana hadi fib level ya 61% ambapo itakuwa kama pips 463..

Your trade setup itakuwa either short time bullish and long bearish au long time bearish endapo itabreak..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…