Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
nice advive sir
 
Demo account unaifunguaje? Just curious
 

Nimeelewa mambo mengi sana hapa mkuu ONTARIO ubarikiwe sana. Umenitoa Tongotongo kibao. Duuuh sijui nisemeje tu yani lakini Be blessed.
 

Mkuu Bavaria Ubarikiwe sana. Nafurahi sana kupata insights zenu wazoefu wa hii kitu. Maisha nayaona yakibadilika kabisa. I only lack how Can I master and use different timecharts. Monthly, Weekly, Daily, 4H, 1H, 30Min, Hadi 1Min. Nikishajua namna ya kuzitumia basi am sure I will be good to Go
 
Reactions: MC7
Wakuu mm mpk sasa najaribu kuset SL na TP kwny mt 4 natoka patupu,sielewi kbs,km mtu anaweza kusaidia hapa ntashukuru.
Hata tutorial yao siielewi,naona km wanafundishia version tofauti na sio ya android.
 
Wakuu mm mpk sasa najaribu kuset SL na TP kwny mt 4 natoka patupu,sielewi kbs,km mtu anaweza kusaidia hapa ntashukuru.
Hata tutorial yao siielewi,naona km wanafundishia version tofauti na sio ya android.
Katika kuset SP loss na TP. Kwanza kama umetumia market execution inabidi ubuy au u sell kulingana na tatjimini yako ulivyofanya. Ukishaingia kwenye soko ndo unakuja unaiclick ile trade yako ambayo inaendelea halafu unabonyeza modify trade. Katika kuset inabid SL yako itofautiane na market price kwa thamani ya spread. Pia TP inabid itofautiane na price kwa thamani ya spread. Pia ukiwa unachelewa unakuta viwango vya price vimepanda au kushuka so na we inabid urekebishe. Huo ndo uelewa wangu
 
THE FOREX BIBLE

Kitabu kizuri sana kinachofundisha Forex hatua kwa hatua.

Ongezeni hiki kitabu kwenye hifadhi yenu ya vitabu vya kusoma..

Kitawasaidia wale watu wasiojua Forex Kabisa. Ila kama umeshaanza kusoma kitumie kama njia ya kuongeza maarifa zaidi..

Hope this will help..

Complex Mwl.RCT and others.
 

Attachments


Hizo time frames zinasaidia kwenye analysis. Kuna kitu kinaitwa Top Down Analysis, manake unaangalia trend ya pair yako kuanzia monthly, weekly, daily, H4 or H2/H1.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…