verykeys
Senior Member
- Mar 29, 2016
- 155
- 90
mkuu naomba kwenye hz analysis zako mwisho weka tuone kama ngekuwa wewe karata yako unatupia wapi ili tujue baada ya kuusoma mchezo maamuzi mazuri ni yapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu naomba kwenye hz analysis zako mwisho weka tuone kama ngekuwa wewe karata yako unatupia wapi ili tujue baada ya kuusoma mchezo maamuzi mazuri ni yapi
nice advive sirpiece of advice...
Succeeding in demo does not guarantee success in live account .Most newbie encounter failure in live trading due to the psychology of fear as a result of the their real being involved . I think to conquer fear you should open a live account with money you can afford to lose. To be successful in forex a lot a patient and determination is required
Kitabu kipi bro.inaonesha ww kile kitabu bado kukipitia vzr boss, embu kijaribu kimeeleza kwa uzuri sana
Demo account unaifunguaje? Just curiousFOREX haijawahi muacha mtu salama
Nime-set deposit amount ya $ 50 kwa demo, within few seconds nikaipeleka mpaka $70
Few seconds later, nikaichoma yote.
Nlichogundua kwa hii kitu, ni vyema sana uka-stick na ur TRADING PLAN, haijalishi soko linakujia na vishawishi gani.
Trade like a Pro
Najaribu pia kuangalia pair ya GBPJPY hapa nitatupia sakafu na paa, wenyewe wanaita floor and ceiling ama support and resistance.![]()
Nikichora hizo zones zangu, automatically zinanirudisha hadi Feb 2013 wakati price ilikua ktk hiyo zones. Price kwanza ikagusa paa, baadae ikaanza kushuka chini hadi ikagonga sakafu kisha ikapanda kwa mwendo wa kumsukuma mlevi.
Oct 2016 pia price ikarudi kwenye hiyo zone tena, ikatii support na resistance yangu, ikagonga paa, then ikashuka chini kwenye sakafu kisha ikapanda tena hadi kwenye paa. Na sasa imeshuka kwenye sakafu yangu... ninachokiona ni piga uwa galagaza lazima price ipande tena juu.
So hapa bila shaka GBPJPY itakua bullish so I expect to buy.
Mambo kama haya ndio tutahadithiana darasani wakuu.
Enjoy the week ahead beautiful people
afro fx trainingKitabu kipi bro.
I am back mkuu...
View attachment 526653
EURUSD has a STRONG BEARISH pattern. But,
It can break the resistance line at the current 23% Fib retrenchment level mpaka 61% ambapo kuna kama pips 256 hivi.
au Itapanda juu kidogo kama pips 198 then itashuka chini kwa nguvu sana hadi fib level ya 61% ambapo itakuwa kama pips 463..
Your trade setup itakuwa either short time bullish and long bearish au long time bearish endapo itabreak..
Hongera! ,Baada ya kumaliza kitabu cha kwanza nimeona nicheki demo kidogo kabla sijaanza kitabu kingine..
![]()
Mpaka sasa bado haujatolewa utaratibu wa darsa kwa watu 150 wa mwanzoNaomba kupata utaratibu wa kujiunga na hili darasa ili niweze kupata hii elimu. Naomba kuwasilisha
Pakua kitabu anza kusoma, mengine baadayeHabari za saa hizi wadau. Naomba kupata utaratibu wa kujiunga na hili darasa ili niweze kupata hii elimu. Naomba kuwasilisha
Tena kusoma neno kwa neno. Na sio kusoma ili kitabu kiishe.Pakua kitabu anza kusoma, mengine baadaye
Currency trading for Dummies.Hongera! ,
Je ni kitabu kipi ulicho anza nacho na kukimaliza?
Katika kuset SP loss na TP. Kwanza kama umetumia market execution inabidi ubuy au u sell kulingana na tatjimini yako ulivyofanya. Ukishaingia kwenye soko ndo unakuja unaiclick ile trade yako ambayo inaendelea halafu unabonyeza modify trade. Katika kuset inabid SL yako itofautiane na market price kwa thamani ya spread. Pia TP inabid itofautiane na price kwa thamani ya spread. Pia ukiwa unachelewa unakuta viwango vya price vimepanda au kushuka so na we inabid urekebishe. Huo ndo uelewa wanguWakuu mm mpk sasa najaribu kuset SL na TP kwny mt 4 natoka patupu,sielewi kbs,km mtu anaweza kusaidia hapa ntashukuru.
Hata tutorial yao siielewi,naona km wanafundishia version tofauti na sio ya android.
Mkuu Bavaria Ubarikiwe sana. Nafurahi sana kupata insights zenu wazoefu wa hii kitu. Maisha nayaona yakibadilika kabisa. I only lack how Can I master and use different timecharts. Monthly, Weekly, Daily, 4H, 1H, 30Min, Hadi 1Min. Nikishajua namna ya kuzitumia basi am sure I will be good to Go