Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu naomba nafasi kati ya hao 300 mimi ni banker by professional na ninauelewa kiasi chake kuhusu FX market even though it's theoretical but i believe you can add value to me as i can add to others
Regard
Mbota
 
Hongera ONTARIO naona umetimiza ulichotuahidi....(somo juu ya forex)
 
Mkuu utatumia vigezo gani kupata watu wa mwanzo? Maana na mo nataka
 
Nimekuelewa nikuulize maswali yafuatayo:

1. Kwa unavyosema kama sija kosea hii biashara kifupi kwa lugha ya wenzetu ni " arbitrage " yaani kubadilisha fedha kutoka tsh kwenda dollar kwenda tena paundi mwishowe tsh .

Baadaye tunatafuta tofauti ya fedha tsh niliyoingiza mwanzoni na tsh niliyoipata mwishoni ndio inakuwa faida. Niko sahihi Mkuu? Au
 
Aisee kwa comment hii mkuu umeniguarantee kabisa juu ya hii biashara na Inshaallah nikipata upenyo wakusoma kwenye darasa lenu naahidi kukutangaza vyema hadi huku kwetu kwa wachimbaji nao waone njia ya kuboost mihela iliyolala huku daah!! Keep it up mzee wa kazi.
 
Nilikuelewa ,ila sasa nimekuelewa zaidi(kuhusu kusoma vitabu kadhaa vinvyohusiana na hii biashara),hongera kwa hatua zaidi mbali ya vikwazo vilivyopo, please niwe kati ya wale 300 wa mwanzo
 
Nashukuru kwa kugundua sio mimi, siwezi kuwa na ujinga wa namna hiyo boss.. Leo naomba nisiongee sana, lakini hizi mambo nilianza 2012 kuna mtu aliniapproach nikaanza kufanya hivi vitu kupitia yeye ambaye at that time alikuwa UK na kampuni yao ilikuwa ikiitwa SO Finance Trading waliyoisajili UK.. Nilipoanza nilianza kupiga pesa kidogo kidogo kwakuwa walikuwa wakinisaidia kutuma trades through WhatsApp.. Nilianza na pesa ndogo ndogo ili nione uhalisia wao, nikaja nikatrade kiasi kikubwa kidogo na ikaonesha nimegain profit, sasa kwenye kulipwa hapo ndio ilikuwa kimbembe.. Mkuu nilikaa mwezi mzima jamaa kwenye Account yangu inasoma pesa ipo lakini nikitaka kuwithdraw mshiko hautoki. Nilisumbuana nao sana mwisho wa siku nikaachana nao.. Hii ili ujue sio uzushi nilishaiongelea humu kama si mwaka jana basi ni mwaka juzi na nitajaribu kuitafuta hiyo post nikuwekee hapa..

Nikapumzika haya mambo kwa 6 months ndipo nikarudi tena, nikaanza trade na 24 option na ndio mpaka sasa natrade nao ingawa nafanya hivyo wakati nikiwa na muda tu maana this things are very complicated.. All in all, ushauri wangu ni mwepesi sana, kama wewe binafsi utawasaidia basi ni vyema.. Lakini kwenda kama learner ukianza hizi vitu utajifilisi tu..
 

Lini unategemea kufanya mkutano....
Kwa hayo uliyosema ni sahihi kabisa maana nilishajifunza mahala sema sio Kwa kiwango hicho ulichotoa.
Give us date
 
Mkuu Ontario..

Mpaka nimekupm kimyaa asee

Niko serious na hela eti mwenzio

Alisemaga hivi, soma vizuri juu

Wazo la kwanza

Protocol yangu hua haibadiliki milele. Hahaa! Wanaonifahamu wananifahamu vizuri, hua sijibu PM ya mtu yoyote, no matter who you are. Kama ulishawahi kunitext PM kuhusu mada ninazopost na nikakujibu positively basi jua wewe ni malaika. Binafsi Naamini katika kufanya kazi in transparency, clearness and clarity. Hakuna kitu cha kuficha, kama kuna chochote weka hapa jukwaani kila mtu aone, ajifunze, aelimike na akosoe pia.
 
Mkuu Ontario..

Mpaka nimekupm kimyaa asee

Niko serious na hela eti mwenzio

Alisemaga hivi, soma vizuri juu

Wazo la kwanza

Protocol yangu hua haibadiliki milele. Hahaa! Wanaonifahamu wananifahamu vizuri, hua sijibu PM ya mtu yoyote, no matter who you are. Kama ulishawahi kunitext PM kuhusu mada ninazopost na nikakujibu positively basi jua wewe ni malaika. Binafsi Naamini katika kufanya kazi in transparency, clearness and clarity. Hakuna kitu cha kuficha, kama kuna chochote weka hapa jukwaani kila mtu aone, ajifunze, aelimike na akosoe pia.
 
Nimekipata kabisa kiongozi wangu.

Kwanza niseme kitu kimoja, sijui kama nipo sahihi sana, bankers wapo humu watatusaidia.

Pesa ukitumiwa hadi ikareflect kwenye local bank account yako na ukashindwa kuichomoa basi hapo tatizo liko kwa bank service provider wako. Yani mpk pesa unaiona kisha huwezi kuichomoa, I bet hao ni bank na mbinu zao za kukukimbiza usifanye forex, yani uhisi ni tango pori. Hawa jamaa wanatumia mbinu nyingi kama hizi.

Pili, nahisi kitendo cha wewe kutokuchukulia trading serious ndicho kinakufanya usiwe profitable. Hii ni kazi/biashara kama biashara zingine, huwezi ukafungua restaurant afu leo unafungua kesho haufungui. Au huwezi ukawa umeajiriwa J3 unaenda kazini J5 na ijumaa unalala maskani. It doesn't work like that.

Afu kama sikosei boss nahisi unachokifanya si forex trading bali ni binary options. Sijui kama unanielewa.
 
Mkuu bila kuchelewesha naomba niwe mmoja wapo wa watu 300 nipo sumbawanga ila dar nitakuja endapo utakua tayari nifike
 
Now we are talking the same language.. Hii inaitaji u'devote muda na uwe more than active day in day out.. Na hicho ndicho nilishauri pia kwenye post yangu ya kwanza kabisa..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…