Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Umenipa raha sana
 
Nimekupenda buree... Bure kabisaaaa
Asante kwa ushauri na kutupa moyo tunaoogopa kuanza kutrade live
 
Mkuu kitabu kimeshapatikana sofcopy na tayri wadau wamesha kiupload hapa hapa pitia nyuzi taratibu utakiona
Mkuu naomba nitumie link basi kama hutojali
kaka mkubwa kitabu tayar mda sana. na pia kama kusoma post tu ni shida kaka utaweza kusoma kitabu mkuu wangu. pitia pitia utakipat.
asante na karibu tena
 

Boss hizi ndo only positions ulizokuwa umeopen ambazo zimezalisha hiyo USD 25 kama faida..? Mbona naona kama ulikuwa unatembea na mwendo wa scalping na umetembea mwengo wa pip 1 ama mbili.?
 
Nimekupenda buree... Bure kabisaaaa
Asante kwa ushauri na kutupa moyo tunaoogopa kuanza kutrade live
Nashukuru sana, pia lazima tuwashukuru akina ontario kwa huu uzi!!

You should be aware that, there's nothing to fear except fear it self!!

Kama unasoma vitabu atleast unajua basics, so it's much easer to develop on that through demo accounts and if possible live account!!!

Tuko pamoja!!
 
Mkuu hicho kitabu naweza kukipata vip? Kama ni cha kudownload naomba unitumie hio link itakayoniwezesha mimi pia kukipata
 
Boss hizi ndo only positions ulizokuwa umeopen ambazo zimezalisha hiyo USD 25 kama faida..?
Good question mkuu!!!

Kwa kifupi nimeshindwa ku upload zote maana ziko nyingi sana, nadhani zinaweza zidi hata 40 au 50!! so nisingeweza screen shot zote!!
Mbona naona kama ulikuwa unatembea na mwendo wa scalping na umetembea mwengo wa pip 1 ama mbili.?
Yeah, to some points i must be honest, i found that being a day trader/scalper is something suits me the most!! about pips may be moja au mbili au tatu, ila ilikua soon nikiona maximum profit i exit the market na kutafuta another entry point!!!

Tuko pamoja mkuu!!
 
nlchokigundia kutoka kwako bwana mberoya n kwamba forex unaijua vzuri sana ila knachokufanya uushambulie huu uzi kwa kasi ivo n kwamba una tatizo moja ambalo linakusumbua ambalo ni chuki, n ukwel ucopingika ya kwamba una chuki na mwanzilishi wa huu uzi
nowdays watu hawaumizi kichwa sana kama unavofikiri ww bdo una mawazo mgando kufikiri kwamba kama ww ulpitia hali ngumu had kufankiwa bac na wengine wateseke kama ww
funguka kjana watu wanapga hela kirahc tuu hata co kwa njia hii ya forex
watu wenye software, haya masocial media nk hawaitaji nguvu kubwa sana
so acha chuki man maisha co magumu na ungekua na kitu cha maana cha kufanya au n mtu wa status fulan ucngekuepo humu unapigizana makelele na ce ulietuita vpofu ungeendelea kupambana na deal zako ila kwa kua una stress na maisha yanakupeleka resi unajikuta huku koz uko idle, pole xana ndgu
 

Si mchezo! 40-50 trades per day!! All in all hongera sana japo hizo ni trade nyingi sana per day. Ila with time pengine uoga utapungua utaanza kusubiri faida ya pips 50 kwenda juu. Unastahili pongezi lkn
 

Hahahaaa, Naona umetumia hit and run technic.

Ila Kwa mujibu wa Pros hawashauri hii njia ya scal[ing kwa maana inakufanya unakuwa busy sana na screen kutafuta entry positions, na margin ya error inakuwa kubwa sana sababu ya muda mwingi unaotumia katika screen. Halafu kingine unakuwa unamfaidisha sana broker, Kwa maana i can imagine how much a broker made from you througn spreads with 40 scalping positions you opened.
 
Si mchezo! 40-50 trades per day!! All in all hongera sana japo hizo ni trade nyingi sana per day. Ila with time pengine uoga utapungua utaanza kusubiri faida ya pips 50 kwenda juu. Unastahili pongezi lkn

Huyu jamaa katisha sana, 50 trades per day si mchezo. Inakubidi uwe over concentrated kupata faida.
 
Huu uzi ni kitabu kingine muhimu.asante mnaoshea knowledge.
 
Naelewa yote hayo mkuu!! The issue is you can not be so certain about the market, this is the fact!! mfano jana dola ya canada ilishuka sana na within a minute ikapanda tena, so ningekaa kungoja uendelee kushuka wenda ningechezea za kichwa tena who knows??

Katika kujifunza nimesoma mengi sana, ila at the end of the day it comes down to "what suits yo the most"!! Nakumbuka kwenye moja ya post zako ulisema ulijifunza kwenye vitabu ni vizuri kutumia stop loss ila ulipoangalia videos za nemeth (kama sijakosea jina) yeye anasema stop loss haitakiwi kuwepo!!! you see??

About broker kupata faida, siwezi pinga maana nao wanafanya business kama mimi so let them make profit as long as i make!!

So mwisho wa siku ni wewe kuangalia nini kinakufaa zaidi kama forex trader!! for me nimeona scalping suits me the most!!
 
Si mchezo! 40-50 trades per day!! All in all hongera sana japo hizo ni trade nyingi sana per day. Ila with time pengine uoga utapungua utaanza kusubiri faida ya pips 50 kwenda juu. Unastahili pongezi lkn
Bado najifunza, with time things gonna be okey!!

Thank you mkuu!!
 
Mkuu we ni kati ya watu muhimu sana katika hili jukwaa Asante sana kwa kuenddlea kutupa ujasiri.. Ombi langu wakati tunasubiri darasa ebu tupe muongozo wa kufungua live ac.. Ili kwa wale wenye uthubutu tuanze.. Asante
 
Mkuu we ni kati ya watu muhimu sana katika hili jukwaa Asante sana kwa kuenddlea kutupa ujasiri.. Ombi langu wakati tunasubiri darasa ebu tupe muongozo wa kufungua live ac.. Ili kwa wale wenye uthubutu tuanze.. Asante
I am humbled to hear that my friend!!

Infact nilishaanza kuelezea aina ya brokers!!

Ngoja najiandaa kuandaa article itayoelezea hayo mambo, possibly kesho au next week nitaiweka humu!!

Pamoja!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…