Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu vp kuhusu vtabu vinavohusu hii kitu sio mbaya kama utatupa link au majina yake.
 
GNLD, FOREVER, DECI, SIMU YAKO JEMBE LAKO, POWER DISC and Many more

Tusubiri KILIO KIKUU....
 
Nimependa uwazi juu ya BOT, na Mabenki yetu mengine jinsi yanavyoweka upinzani. Hili ni la muhimu kulitolea ufafanuzi hasa ukizingatia kuna so many online fincial schemes and wanasema wamesajliw but ukifanya followup, unakuta ni Pyramid Schemes (Ponzy). Maelezo yako yanapaswa kuliweka wazi hilo bila kuacha shaka. That way nakuahidi, watu wengine kupitia mgongo wamgu mimi.
 

GNLD, FOREVER, DECI, SIMU YAKO JEMBE LAKO, POWER DISC and Many more

Tusubiri KILIO KIKUU....
Mngekuwa mnaelewa nini naongea kabla ya kuja na maswali haya obvious mngefanya research japo ndogo kuhusu hii kitu. Lkn kwakuwa naamini tumefichwa 'right info' sitawashangaa sana. Na kwavile nafahamu wabongo hatupendi kusoma sioni ajabu mtu kufananisha forex na upuuzi wa DECI.

Ponzi scheme sijui km mnaielewa ndg zangu, how does it relate na nilichokizungumza hapa.? Labda kama muwe hamjaelewa kabisa nini nazungumza. Mtu anafananisha forex trading na taka taka kama forever living. Seriously!!

Hivi BoT wao wanatrade foreign currency, sawa na mabenki afu mtu anasema anafurahi jinsi wanavyoweka upinzani, huku bado anauliza kama trading ni Ponzi. Hebu tuache kujifanya wajuaji.
 
Safi mkuu...angalia pia youtube kuna video za forex zitakupa mwanga pia!
Hii kitu ni nzuri sana but inahitaji muda na utulivu. Pia online mentor uki sign up anakutumia tips muhimu za kudowload papo hapo.. ntacheki youtube pia
 
Mkuu Ontario nimeona kama kuna watu wanachanganya aina ya biashara uliyoizungumzia hapa na biashara mbadala yanke ambayo kimazingila kama zinafanana ivi but ni tofauti kabisa....

Yaani nimeona kuna wanachanganya kati ya BINARY OPTION TRADE na FOREX TRADE ambayo kimsingi ndio unayoizungumia katika uzi huu.....

Watu wanatakiwa kufaamu izi ni biashara mbili tofauti ambazo ufanyaji kazi wake ni kama unafanana kwa % nyingi nafikili ndio maana kuna wadau katika uzi wako huu nimeona ama kuisi wanachanganya aina izi mbili za biashara hii .......

Kuna mdau mmoja ambaye alitaja iq option kama broker ambayo alikua akiitumia katika demo but hii si forex nijuavyo hii ni app or site ya mfumo wa binary option trade na sio forex trade na ata pia kuna mdau anasem aliweka pesa kwenye moja ya binary option broker ikamsumbua kupata pesa yake na ndio maana nikaamua kuwafaamisha baadhi ya watu kuwa kuna binary na forex na wasichanganye ingawaje mtu akiwa na ufaamu na binary basi haitakua tabu sana kuijua forex pia (vise vesa is true)....

Kwa ujuz wangu mdogo nimeliona ilo NAWAKILISHA ....

By 21years old Boy
Still I study more this business and i have some idea
 
Good.
 
Mkuu Ontario, kama napenda nijifunze hii forex lkn kwa mazingira niliyopo siwezi kufika huko darasani Jangid plaza, je, naweza kujifunza kwa njia zingine eg kupitia mtandaoni, nk na nikamudu?
 
Taratibu mindset yangu imetoka kule ilipokuwa captivated in negativity sisemi nitakuwepo kwenye the chosen few 300 but nitaisoma hii kitu even if it kills me na nitajua pa kuanzia kuna rafiki yangu anaruka kila ijmaa kwenda south nimejua anaenda kufanya hizo kazi
 
ONTARIO wewe ni kati ya wachangiaji wazuri sana jukwaani na hili la Leo limenivutia kama lilivyowavutia wengi ILA ningependa na changamoto uziainishe in the same way kama ulivyoainisha faida zake maana naona wengi hilo swala la changamoto hakuna anaelitilia maanani mwishowe watasema wewe tapeli....ndio umesema utakuwa karibu na watu waliotayari ila ni uhakika si milele .....tafadhali changamoto
 
Mkuu ONTARIO kwanza shukran sana kwa kuleta huu uzi hapa jf. Na nikwambie tu kwamba hujapoteza muda wako kutuelimisha ndg. Zako hapa jf. Tafadhal endelea kutu update nasi hatutokuangusha...ukifungua ofisi yako ntakuja huko dar. Asante.
 
Reactions: MC7
Forex trading hata mabenki yanaifanya hii biashara. Ukisikia mtu anafanya kazi benki akiitwa "Treasure" ndio kazi zake hizi kucheza na trading ya fedha mbalimbali duniani(bankers watanisahihisha)......kama nafasi zako 300 bado nafasi ipo nami naomba kujifunza, nimekuwa nikisomea somea mitandaoni na kutumia apps za play store ila sijawahi kwenda zaidi ya kusoma tuu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…