Bitabo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 1,900
- 688
Mkuu mimi niko tayari kuingia darasani kwako hata kesho. Huu unabii ukinipita naweza kujilaumu maisha yangu yote.Wazo la kwanza
Protocol yangu hua haibadiliki milele. Hahaa! Wanaonifahamu wananifahamu vizuri, hua sijibu PM ya mtu yoyote, no matter who you are. Kama ulishawahi kunitext PM kuhusu mada ninazopost na nikakujibu positively basi jua wewe ni malaika. Binafsi Naamini katika kufanya kazi in transparency, clearness and clarity. Hakuna kitu cha kuficha, kama kuna chochote weka hapa jukwaani kila mtu aone, ajifunze, aelimike na akosoe pia.