Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Naomba kila mtu ambae yupo interested kwa kujinoa noa na kuondoa tongo tongo asome kitabu kinaitwa Currency trading for dummies kimeandikwa na Brian Dolan. Kitakupush sana sana.
Nimesha kindownload nasubiri kupambazuke nitafute sehemu nzuri nikisome,thanks bro I hope nitailisha akili kitu kipya.
 
Sorry @antario una soft copy ya hicho kitabu cha Currency trading for dummies tuweze ku-access
Nenda Google andika jina la kitabu au unaweza kumalizia na free download unakidownload very simple mi nimeshafanya hivyo tena through my phone.napenda kusoma vitabu naona hiki kitaongeza kitu katika akili yangu.
 
Kusema ukweli nimevutiwa sana na huu uzi na nimesubscribed ili nisimisi kitu. Wazo langu na ombi kwako kama kuna uwezekano mkuu ujaribu kurahisisha upatikanaji wa hivyo vitabu, sina hakika kama hapa bongo vinapatikana kwa urahisi au uamue kuzunguka sana kupitia kila bookshop. Najua kupitia ww ni rahisi kupatikana coz unasafiri nje ya mipaka yetu. Most of all be blessed much much
You can download bro na ukajisomea sio lazima uende bookshop na sometime utakuta bookshop vinauzwa bei kubwaaa wakati unaweza ukaki download tuu,kama alichosema hapo nimesha download naweka kwa PC naanza kuperuzi na kudadisi.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mkuu nashukuru kupata somo nami ikiwezekana nijumuishe kwa hao 300
 
Kuna mtu anatumia NADEX humu?
Samahani mkuu, nahisu ulimaanisha NASDAQ stock exchange kwa ajili ya Indices au sio.

Kama ni kweli ulimaanisha NADEX mimi kama mimi kamwe siwezi kukushauri utumie robot software/EA ipo siku itakunyoosha hadi utamani dunia ipasuke. Hakuna robot hata 1 yenye mafanikio, kama ni hivyo watu wote duniani wangeshakua matajiri.

Kama Nadex ni broker basi fanya juu chini kutambua ni aina gani ya forex broker, km ni broker wa options then siwezi kutia neno maana sijawahi kufanya options.
 
[emoji137][emoji113] katika hao first 300 please
Nijumuishe.
Nimeteseka sana kiwafuatilia na kutafuta mpenyokwenye hii
Check hiyo picha no demo acount yangu ila sijui how to go about.
Nimefanya mail conversation na kina cashflowncobo,undercovermilionier ila price as mentorship ziko juu sana na I have to go there SA. hebu nivushe mzee kupitia hiyo list 300 yako.
403ee83241a7a24505d61d5a048f944e.jpg
 
Nimevutiwa San na hii kitu, kwa udi na uvumba ntaifanya. Haijalishi ntapat faida au hasara kwa cku za mwanzo but please bro include me. I'm in Mwanza my phone no is 0769475854 and my email is elishakimweri gmail.com for further communication. Thanks
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mkuu, nina OMBI moja kubwa sana kwako, NINAOMBA KUKUTANA NA WEWE MKUU.
 
Samahani mkuu, nahisu ulimaanisha NASDAQ stock exchange kwa ajili ya Indices au sio. Kama ni kweli ulimaanisha NADEX mimi kama mimi kamwe siwezi kukushauri utumie robot software/EA ipo siku itakunyoosha hadi utamani dunia ipasuke. Hakuna robot hata 1 yenye mafanikio, kama ni hivyo watu wote duniani wangeshakua matajiri.
Nadex wanahusika na binary option .. USA based broker ..
 
Big up sana Boss....
Balozi wako kutoka Morogoro..
Tufanye kazi pamoja Boss
 
when you make your withdrawals,how do you access the money?...is it through your active bank account or is there any other way?..and if its through your bank account,it definately means you will have to include your bank information in your online account, right?..now the question is,since we are talking of a highly risky business here,can it affect your account in any way?say through unregulated transactions or any kind of theft?..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom