Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
hi ngoma si ya kitoto aiseeeee
 
Mbona kama naona ina zero balance??

Tuma picha inayoonyesha margin, margin level na equity!! otherwise kuna dalili umetia kiberiti akaunti(I pray isiwe hivyo)!
Yaani nimeingia jamaa wanasema wanatoa bonus,ndo nimekwama hapo,sioni kitu lkn naweza kutrade,nikitrade zile positions zinakua pending mwishowe zinapotea,ni grandcapital hao.
 
Huyu hapakaandika a scholarly paper on oiland exchange rates

How does a falling oil price affect exchange rates?

Wikihii nilikuwa nasoma wataalam wanasema bei ya mafuta kuwa chini imeingiliathamani ya dola.

Kuna wakati Trump alikuwa ana tweet ovyoikawa mpaka ana move markets na currencies.
 
Habari zenu wote. Nimefufuka tena nakuja kwa amani, nategemea nitakaribishwa kwa upendo ili na mimi nijikite ktk kichaka hichi cha forex trading. Na mimi naomba ktk 300 niwemo. Asante sana.
 
Habari zenu wote. Nimefufuka tena nakuja kwa amani, nategemea nitakaribishwa kwa upendo ili na mimi nijikite ktk kichaka hichi cha forex trading. Na mimi naomba ktk 300 niwemo. Asante sana.
We jamaa ww daah...[emoji1] [emoji1] [emoji1] ....saiv sio 300 tena..kumbe hata hukusoma uzi vizuri
 
Kukiwa Na news report kubwa sio wakati muafaka kutrade katika pitapita yangu kwenye vitabu nimeona
 
Are you really studying?

Yes boss makamuzi yanaendelea ingawaje kwa sasa nasoma huku napractice maramojamoja.

Ila kwa kilichotokea jana kwa Euro na USD, Bi yellen na Draghi wamekichangia sana. Kuna muda dollar ilikuwa inaonekana kupata nguvu, aisee nikashuhudia tena chalii.
 
Hivi wadau ni broker gani anaweza niruhusu kutrade demo account kwa deposit ya $100. I want to be a little morw realistic on demo account before i jump into live account. Msaada please.
 
Hivi wadau ni broker gani anaweza niruhusu kutrade demo account kwa deposit ya $100. I want to be a little morw realistic on demo account before i jump into live account. Msaada please.
chukua hata mwenye deposit kubwa halaf ishushe hyo aaccount mpaka the amount u want then anza trading,, sio brokers wengi wanatoa demo ya dollar 100 au 200.
 
hi ngoma si ya kitoto aiseeeee
HIYO INAITWA BAD TRADING PRACTICE
jifunze kumanage lot size zako
jifunze kumanage account risk
jifunze kufanya analysis

MIMI NIMEANZA KUSOMA UPYA ASTRO FX.

umeona pale juu nilivyoweza kuelewa ni vichache sana na kwa asilimia cache sana

INABIDI NISOME SANA
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…