Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
769f8e8378bdd49b8891fa0873411541.jpg


Nilitaka niunguze account sema nikaanza scalping

Ilikua poa mana niliweza kutumia indicator japo nacked traders wananambia nifanye technical analysis.

Nimeelewa emotional trading ipoje
Nimeelewa kuwa trading is learning (hzo ni nondo za vitabu viwili, labda 20% tu ya knowledge, mainly naked forex na currency for dumies) bado Astro FX
Nimeelewa buy/sell
Nimeelewa SL/TP
Nimeelewa Stochastic, Bollinger band
Nimeelewa shooting stars, Kangaroo tails
Ila
Sijaelewa engulfing candles zinafanyaje kazi kwenye scalping
Sijaelewa catalyst zote hapa mentor anahusika na training practice
Sijaelewa analysis
Sijaelewa association ya minor zone na scalping
Sijaelewa kufanya real trading (bado ni demo)
Sijaelewa back testing
Sijaelewa kuset daily trends kulingana na R/S zone
Sijaelewa perfect currencies Kwa ajili ya scalping
Sijaelewa best time to trade nikiwa Tanzania (Time zone vs Market trend)
Sijaelewa namna ya kudeal na sideway trend
Sijaelewa management ya account
Sijaelewa buy/sell limit/stop (on progress)

717c1b46956690ee781a77185e53fd68.jpg


MORE KNOWLEDGE IS ON THE BOOKS
hi ngoma si ya kitoto aiseeeee
 
Mbona kama naona ina zero balance??

Tuma picha inayoonyesha margin, margin level na equity!! otherwise kuna dalili umetia kiberiti akaunti(I pray isiwe hivyo)!
Yaani nimeingia jamaa wanasema wanatoa bonus,ndo nimekwama hapo,sioni kitu lkn naweza kutrade,nikitrade zile positions zinakua pending mwishowe zinapotea,ni grandcapital hao.
 
upo na live account? Mafuta na Gold sio sana unless kuna extreme changes in prices then ndo hapo zinaweza kuwa na significant effect kwenye price lakini hauna guarantee ya correlation ila kuna muda zinaingiliana has ahapo prices zinapochange kwenye commodity significantly. Mfan tukiongelea mafuta unless una deal na mataifa yanaimport na export mafuta..Naona strong pairs zinaenda zaidi na masoko kama matano ambayo yanachukua zaidi ya asilimia 90 ya transactions na none of these are affected much by oil prices...Viongozi ni wa kikanda zaidi (economic zones) au nchi
Huyu hapakaandika a scholarly paper on oiland exchange rates

How does a falling oil price affect exchange rates?

Wikihii nilikuwa nasoma wataalam wanasema bei ya mafuta kuwa chini imeingiliathamani ya dola.

Kuna wakati Trump alikuwa ana tweet ovyoikawa mpaka ana move markets na currencies.
 
Habari zenu wote. Nimefufuka tena nakuja kwa amani, nategemea nitakaribishwa kwa upendo ili na mimi nijikite ktk kichaka hichi cha forex trading. Na mimi naomba ktk 300 niwemo. Asante sana.
 
Habari zenu wote. Nimefufuka tena nakuja kwa amani, nategemea nitakaribishwa kwa upendo ili na mimi nijikite ktk kichaka hichi cha forex trading. Na mimi naomba ktk 300 niwemo. Asante sana.
We jamaa ww daah...[emoji1] [emoji1] [emoji1] ....saiv sio 300 tena..kumbe hata hukusoma uzi vizuri
 
Kukiwa Na news report kubwa sio wakati muafaka kutrade katika pitapita yangu kwenye vitabu nimeona
 
Are you really studying?

Yes boss makamuzi yanaendelea ingawaje kwa sasa nasoma huku napractice maramojamoja.

Ila kwa kilichotokea jana kwa Euro na USD, Bi yellen na Draghi wamekichangia sana. Kuna muda dollar ilikuwa inaonekana kupata nguvu, aisee nikashuhudia tena chalii.
 
Hivi wadau ni broker gani anaweza niruhusu kutrade demo account kwa deposit ya $100. I want to be a little morw realistic on demo account before i jump into live account. Msaada please.
 
Hivi wadau ni broker gani anaweza niruhusu kutrade demo account kwa deposit ya $100. I want to be a little morw realistic on demo account before i jump into live account. Msaada please.
chukua hata mwenye deposit kubwa halaf ishushe hyo aaccount mpaka the amount u want then anza trading,, sio brokers wengi wanatoa demo ya dollar 100 au 200.
 
hi ngoma si ya kitoto aiseeeee
HIYO INAITWA BAD TRADING PRACTICE
jifunze kumanage lot size zako
jifunze kumanage account risk
jifunze kufanya analysis

MIMI NIMEANZA KUSOMA UPYA ASTRO FX.

umeona pale juu nilivyoweza kuelewa ni vichache sana na kwa asilimia cache sana

INABIDI NISOME SANA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom