Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Professor unatumia Ip ku trade
 
Hongera bosses, tuko pamoja sana! Salute kwa Ontario the boss akisaidiwa na Bavaria the facilitator
 
Wakuu huu uzi sijui mi ndo slow leaner au kuna watu wana speed zaidi ya light katika kusoma au walikuwa wanavijua hivi vitu before? Anyway sikati tamaa na sitaki kuchanganywa naendelea kujinoa and hopeful nitakuwa bongo muda wa training ya Ontoria.

But wakuu sijawahi sikia humu ndani mtu anatrade na hela za scandnavia! Huku Denmark wahuni wamehack system Maersk Line na imekuwa big news uchumi umetangazwa kushuka maana hii kampuni ni kama imeshikilia uchumi wa Denmark. Wameshut down system nzima mambo yamesimama. So anayetrade na DKK achangamkie fursa! Unless DKK hazimo kwenye forex trading! Sorry I might sound stupid kwenye hii biashara but still Im leaning, however kwenye kitabu tulichoambiwa kusoma cha Bwana Brian Dolan (Currency trading for Dummies) ukurasa kama wa 176-177 kuna mambo yanaelezwa juu ya pesa hizi
 

Mkuu karibu na kwa kweli watu wanakamata hii fursa kwa nguvu zote na kwa kasi ya ajabu and it is the first time to know this kuna wengine hatulali yani ni full kusoma na kupractise forex hakuna kazi ingine thats why unaona tunapiga hatua kwa kasi ila don't be surprised you can just go slow but sure lengo ni ku master Fx nje na ndani and hence at the end of the day guess what? Boooooom hahah Welcome to Fx world mkuu.
May all the PIPs be with me Amen.
 
Mkuu Nguzo1 hapo mwisho usijipendelee mwenyewe tu, sema "may the all pips be with us Amen.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
grand savior nililala nawaza fibo tuuu
 

Aiee hebu toa hizo grid lines ili watu wapate kuona vizuri hizo Fibonacci levels halafu uipost tena hiyo screenshot ikiwa haina hizo grid lines..
 
Habari FX traders!

Jaman naombeni msaada kwenye Fibonacci analysis,

1.Kwamfano utajuaje kwa kutumia Fibonacci kwamba kesho graph itabullish au bearish.

2.Na ni Wakati gani wakuingia kwenye trade?

Please nisaidieni maana nimetafuta hata tutorial sizioni@Bavaria, Ontario .n.k
 
FIBONACCI RETRACEMENT
Kama alivyo suggest mdau hapo juu,Nimetoa grid ionekane fresh.Thanks for brilliant suggestion
Naona bado price inajikongoja kuelekea target, japo nilisha exit hii profit trade.
View attachment 532412
 
Bavaria
Katika comments zako za nyuma, ulipata kusema umekuwa ukitumia FNB (Bank) katika trading.
Concern yangu ni kwamba; wakati nafanya deposit kwa broker, akaniambia VISA card yangu haiko 3D secured, hivyo napaswa ku-authorise kwa kuweka exactly amount ambayo itakuwa deducted from my account, ambayo hu-range kuanzia 0.01-2.00 Usd.

WEWE NA (WENGINE WENYE UZOEFU) MLITUMIA NJIA GANI?
 
Kuna mdau post chache juu yako ameweka videos za fibonocci mbona
 
That is extremely valuable information brother, asante sana. Ubarikiwe.
 
Mkuu Nguzo1 hapo mwisho usijipendelee mwenyewe tu, sema "may the all pips be with us Amen.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
No problem Mkuu naomba nichukue nafasi hii ku edit ....MAY ALL THE PIPs BE WITH US AMEN! 🙂🙂🙂
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…