Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
5cf348579916f7184e0bf072e920fc55.jpg
Hii sidhani kama ipo kwenye Biblia au haimaanishi imetoka kwenye Biblia.
 
Ila inafaida nzur sana mfano leverage ya broker ni 100:1 mfano ume deposit $1000 .... kwa leverage una 100,000$ kwa volume hii unapata faida kubwa sana uki trade... the higher the volume the higher the profit.. so hii leverage n nzur sana...! Kama mkopo tu....

Professor unatumia Ip ku trade
 
Wakuu huu uzi sijui mi ndo slow leaner au kuna watu wana speed zaidi ya light katika kusoma au walikuwa wanavijua hivi vitu before? Anyway sikati tamaa na sitaki kuchanganywa naendelea kujinoa and hopeful nitakuwa bongo muda wa training ya Ontoria.

But wakuu sijawahi sikia humu ndani mtu anatrade na hela za scandnavia! Huku Denmark wahuni wamehack system Maersk Line na imekuwa big news uchumi umetangazwa kushuka maana hii kampuni ni kama imeshikilia uchumi wa Denmark. Wameshut down system nzima mambo yamesimama. So anayetrade na DKK achangamkie fursa! Unless DKK hazimo kwenye forex trading! Sorry I might sound stupid kwenye hii biashara but still Im leaning, however kwenye kitabu tulichoambiwa kusoma cha Bwana Brian Dolan (Currency trading for Dummies) ukurasa kama wa 176-177 kuna mambo yanaelezwa juu ya pesa hizi
 
Wakuu huu uzi sijui mi ndo slow leaner au kuna watu wana speed zaidi ya light katika kusoma au walikuwa wanavijua hivi vitu before? Anyway sikati tamaa na sitaki kuchanganywa naendelea kujinoa and hopeful nitakuwa bongo muda wa training ya Ontoria.

But wakuu sijawahi sikia humu ndani mtu anatrade na hela za scandnavia! Huku Denmark wahuni wamehack system Maersk Line na imekuwa big news uchumi umetangazwa kushuka maana hii kampuni ni kama imeshikilia uchumi wa Denmark. Wameshut down system nzima mambo yamesimama. So anayetrade na DKK achangamkie fursa! Unless DKK hazimo kwenye forex trading! Sorry I might sound stupid kwenye hii biashara but still Im leaning, however kwenye kitabu tulichoambiwa kusoma cha Bwana Brian Dolan (Currently trading for Dummies) ukurasa kama wa 176-177 kuna mambo yanaelezwa juu ya pesa hizi

Mkuu karibu na kwa kweli watu wanakamata hii fursa kwa nguvu zote na kwa kasi ya ajabu and it is the first time to know this kuna wengine hatulali yani ni full kusoma na kupractise forex hakuna kazi ingine thats why unaona tunapiga hatua kwa kasi ila don't be surprised you can just go slow but sure lengo ni ku master Fx nje na ndani and hence at the end of the day guess what? Boooooom hahah Welcome to Fx world mkuu.
May all the PIPs be with me Amen.
 
Mkuu Nguzo1 hapo mwisho usijipendelee mwenyewe tu, sema "may the all pips be with us Amen.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Fibonacci ni tool nzuri sana ambayo most of traders.
MT4 ina Fibonacci, ni wewe tu kuitumia.
Na lazima ujue jinsi ya kutumia Fibonacci ikiwa ni pamoja na jinsi ya kuiweka, kuisoma na kuanalyse.
Ni tool nzuri ambayo na recomend mtu kuitumia.

grand savior nililala nawaza fibo tuuu
 
Hi there TRADERS.Natumai mnakwenda vizuri
Nakumbuka kama sio j.3 bas j.2 nilileta prediction ya GBPUSD Kwa kutumia FIBONACCI RETRACEMENT na nikatoa simple analysis kama beginner, tangu siku ile sijaacha kuitupia jicho nikawa naitazama tu jinsi inavyo behave. Huku nikiitazamia Carney Speech mida ya saa 15:30. Najua kuwa hii rally ni imechangiwa kwa kiasi kikubwa na hiyo speech , but nilishaona muelekeo leo mapema baada ya price kuvuka temporary resistance.Kwahiyo nikachanganya signals
Price iliweka temporary support kwenye fibonacci 38.2% (E)na temporary resistance around fibo 23.6% (C).
Looks my prediction was right,price ilivo penetrate tu kwa nguvu hapo juu nika get long na tazama price inakoelekea. Towards our HIGHER HIGH(B) i.e Fibo 0.0% (D).
Tazama hiyo chart hapo chini (PRACTISE ACCOUNT, LEO SIJAANIKA MY REAL ACC BUT NITALETA MREJESHO), Wanaoelewa watajua nimetengeneza pesa ngapi leo, hata kama sitafikia target yangu (D), mpaka sasa nimekusanya pips za kutosha.
NB: TRADE WITH DISCIPLINE, MANAGE YOUR RISK.
ONCE AGAIN, SHOUT OUTS TO ONTARIO, GOD BLESS YOU BROTHER
SEE YOU LATTER ONCE TRADERS, MAY THE PIPS BE WITH YOU.
View attachment 532085

Aiee hebu toa hizo grid lines ili watu wapate kuona vizuri hizo Fibonacci levels halafu uipost tena hiyo screenshot ikiwa haina hizo grid lines..
 
Habari FX traders!

Jaman naombeni msaada kwenye Fibonacci analysis,

1.Kwamfano utajuaje kwa kutumia Fibonacci kwamba kesho graph itabullish au bearish.

2.Na ni Wakati gani wakuingia kwenye trade?

Please nisaidieni maana nimetafuta hata tutorial sizioni@Bavaria, Ontario .n.k
 
GBPUSDDaily.png
FIBONACCI RETRACEMENT
Kama alivyo suggest mdau hapo juu,Nimetoa grid ionekane fresh.Thanks for brilliant suggestion
Naona bado price inajikongoja kuelekea target, japo nilisha exit hii profit trade.
View attachment 532412
 
Bavaria
Katika comments zako za nyuma, ulipata kusema umekuwa ukitumia FNB (Bank) katika trading.
Concern yangu ni kwamba; wakati nafanya deposit kwa broker, akaniambia VISA card yangu haiko 3D secured, hivyo napaswa ku-authorise kwa kuweka exactly amount ambayo itakuwa deducted from my account, ambayo hu-range kuanzia 0.01-2.00 Usd.

WEWE NA (WENGINE WENYE UZOEFU) MLITUMIA NJIA GANI?
 
Habari FX traders!

Jaman naombeni msaada kwenye Fibonacci analysis,

1.Kwamfano utajuaje kwa kutumia Fibonacci kwamba kesho graph itabullish au bearish.

2.Na ni Wakati gani wakuingia kwenye trade?

Please nisaidieni maana nimetafuta hata tutorial sizioni@Bavaria, Ontario .n.k
Kuna mdau post chache juu yako ameweka videos za fibonocci mbona
 
Fibonacci ni tool nzuri sana ambayo most of traders.
MT4 ina Fibonacci, ni wewe tu kuitumia.
Na lazima ujue jinsi ya kutumia Fibonacci ikiwa ni pamoja na jinsi ya kuiweka, kuisoma na kuanalyse.
Ni tool nzuri ambayo na recomend mtu kuitumia.

That is extremely valuable information brother, asante sana. Ubarikiwe.
 
Mkuu Nguzo1 hapo mwisho usijipendelee mwenyewe tu, sema "may the all pips be with us Amen.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
No problem Mkuu naomba nichukue nafasi hii ku edit ....MAY ALL THE PIPs BE WITH US AMEN! 🙂🙂🙂
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom