Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Very professional advice. Nimependa sana uchambuzi wako huu kk.

Nami ktk kujifunza kwangu demo niligundua kuwa kama nime buy EUR/USD I don't expect at all nikafungua Sell position ya GBP/USD.

Salute boss
 
Siyp benki zote zenye visa unaweza kuzitumia kupokelea malipo toka nje ya nchi kwa njia ya VISA/Master. Kuna benki nyingine ni vimeo haswa, wakiongozwa na NBC.
Hao jamaa ctak ht kuwasikia,benki bora ni ECO bank,FNB na equity,kwa kigezo cha customer care na uharaka wa kupata kadi yako na masharti nafuu ya kufungua acc.
 
Mhhh,sawa mkuu nimekupata ila hapo kwe 10% kwa 90% daah pagumu hapo!!
 

Yah yah sawa kabisa. You are very right!!

■unaweza ukanunua EURUSD na ukauza EURGBP. EUR anaeza akawa bullish ukimlinganisha na USD so utanunua. Wakati huo huo GBP akawa so strong kuliko EUR, so EURGBP ikawa bearish so unauza hiyo pair.

■Kitu ambacho mimi nakizungumzia ni correlation kati ya currencies fulani mfano Aussie na Kiwi ni kama dada na kaka wa baba mmoja. Kiwi akiwa na Nguvu 90% Aussie lazima nae awe na nguvu. So kwa wakati mmoja huwezi ukanunua NZDUSD na muda huo huo ukauza AUDUSD. Ni kama unajitekenya na kucheka mwenyewe.

■Pia kuna currency zina collerate sana na commodities. Mfano OIL na CAD - siku zote OIL ikiwa ina nguvu ni asilimia 98% utakuta CAD inapata nguvu pia - CANADA ni 1 of the biggest supplier wa OIL kwa Western countries. So lazima uzingatia huo mchezo. Huwezi ukanunua USDCAD wakati USOIL, UKOIL zipo bullish. Ni mchezo wa kujitekenya. Pia siku zote OIL ikiwa ina nguvu jua ni kilio kwa JPY - JAPAN ni mtuniaji mkubwa sana wa mafuta lkn hana hata kisima ki1, so siku OIL ikianza kua bullish basi JPY inaishiwa nguvu, so unakuta pairs zote za JPY zinakua bearish. Colleration ingine muhimu ni ya XAU (Gold) Vs USD.

■Forex is a continuous process of learning and enjoying the process. Nisikufiche - forex is addictive, ikichanganya inakua kama chakula chako, inakua kama maji yako, inakua kama oxygen. Muda wote unawaza charts, hata ukiona kichwa cha JPM automatically kichwani unaanza kuchora patterns double top ama H & S, Paka akikatiza tu unakumbuka kangaroo tail. Sasa ukifanya withdraw ya kwanza ndio unakua addicted kbs. Weekend kama hivi mimi natamani iishe hata kabla sijatuma hii text, ili week ianze niingie sokoni.
 
Mafuta na dola vina uhusiano sababu marekani ni consumer mkubwa wa mafuta, dola ipo sensitive kwenye bei ya mafuta na dola ndio baba lao kwenye currency, sio mafuta tu pia gold, na hatifungani (bonds) na stock za makampuni flani zinahusika sababu movement kwenye interest za hatifungani na bei za baadhi ya hisa zinasababisha fedha fulani kushuka au kupanda...kama nipo wrong wadau wanikosoe
 

Umekuwa mwalimu wa mwalimu! Big up!
 
Hata mimi nilikua na wasi wasi na hio point. Pitia hizi links..

Canadian Dollar Continues To Drop, But Why?

Why Do Oil Prices and the Canadian Dollar Move Together?
 
Sasa haya madude tungeyapata wapi nisingekosea!!

Shukrani kwako mkuu!

From now on, nitabuy na kusell (at once) pairs ambazo hazina uhusiano. Pia incase pairs zina uhusiano sinta buy na kusell at once, kama ni ku-sell nita sell tu na kama ni ku-buy nitabuy tu na sio kumix!

Once agin, Thanks alot arifu!!
 
ONTARIO ....Rafiki yangu leo nimekumbuka kitu nimejicheka sanaaa mwanzo nasikia Forex trading nikajua jamaa anafanya biashara ya makufuri ya forex sasa nikajiuliza huyu mzungu ananiambia Forex inalipa sana ananitumia mastatistics yanahusika vipi nikajaribu kafatilia video zake za training ila sikumuelewa.
Baadae nikaona jamaa wengi tu followers wangu wa nje ya nchi wanafanya the same business nikawa hata sielewi japo nikaanja kuitamani sana.
But leo nimekutana na thread yako imenipa mwanga sana wenzetu wanapiga pesa hatari nilijaribu kutaka kujifunza kupitia wao sikufanikiwa ila naamini kupitia wewe ndie utatusaidia hii mentoring ya Forex Trading. Stay blessed
 
Mkuu Ontario
Naomba nikiri kuwa niliguswa sana na uzi huu kiasi cha kujichimbia mahali kila siku usiku nikisoma posts, vitabu na youtube.
NIMEFUNGUA DEMO NA LIVE
kwa live nilifungua micro account, nimepata ufanisi kiasi cha kuridhisha ktk real account, na kwa demo nilifanya vizuri sana lakini jana ijumaa niliichoma account yote kutoka profit ya $10,879
na hii kuna jambo nililifanya lkn bado natafiti nitaleta mrejesho ktk hili.
Na ninapopitia posts zako kuna mambo ya msingi nimejifunza na ninaamini next week nitakuwa bora zaidi.
Mkuu usikate tamaa tuko pamoja sana, nitaleta ushuhuda wa ufanisi hapa.
Asanteni wote
@lodric Thomas..nawe umekuwa wa msaada kwangu
 
Pole sana mkuu!!

Kuna vitu vingi sana waafrica hasa waafrica wa tanzania (No disrespect) hatuvijui na bahati mbaya wengine wanaona kama usanii flani wakati hata wanachokiona usanii hawakijui kinahusu nini!!

By then ungejifunza mda huu si ungekua unatembea barabarani huku unapiga mruzi kwa mbaaaali bila kupasuliwa kichwa na huyu magu wetu!!!

Anyways, its never too late,hata sisi tunajifunza, karibu uungane nasi. Ukitaka vitabu vipo humu!!!
 
Nashukuru sana mkuu, pia hongera sana kwa maendeleo yako!!

Tuko pamoja, tujifunze bila kukata tamaa!!

Karibu sana mkuu!
 

Mkuu leo umeniongezea nondo za ki-professor.
 
Lodrick Thomas kweli kabisa mkuu manake ni tangu mwaka jana.... ANY way ninaomba hii training isinipite Mungu awe upande wangu.
Mkuu nifanyie mpango wa hizo material sijui napataje japo nimeanza kusoma kile kitabu cha Currency Trading For Dummies - 2nd Edition by Brian Dolan.
Pia natamani effectively nianze kujifunza na hizo trial software na nijue ntazipataje
pia kianzio kizuri ni bei gani?
hahahaha nina haraka kama Ontario alivyokuwa kuwa Mike
 
Kweli hapo umedhihirisha una haraka mkuu!!

Sizani kama ni muda muhafaka wa kuanza na trial/demo accounts!

Kama una kitabu cha forex for dummies, tafuta cha bible of forex kipo humu na kizuri sana, pia kuna cha stro fx na naked forex!! nadhan Mwl.RCT atatusaidia kukupatia u-download!!

Ukienda vizuri na hivi vitabu wala hutakua na swali kama la kwenye bold!!

Karibu sana mkuu!
 
Asan
Asante sana mkuu ngoja nicheki na Mwl.RCT kupata hivo vitabu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…