Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo itafaa kwa forex, mana cjajua kama unaweza kupokelea mpunga au ni kufanyia manunuzi tu.Mimi nina cash card yao ya Tsh, na ndo naitumia kununulia vitu. Haijawahi niletea usumbufu.
Kuna Forex Cheat Sheet naiandaa. Inaonesha jinsi gani pairs zinavyo correlate na news gani zina affect pair zipi. Nikimaliza ntaishare humu.
View attachment 533928
Kwahiyo itafaa kwa forex, mana cjajua kama unaweza kupokelea mpunga au ni kufanyia manunuzi tu.
Thanks mkuu!! ngoja niipitie hiyo link!Hili swali lako limenikumbusha hiki kitu Currency correlation ingia hapa: Forex Market Hours
Asante sanaa mkuu stay blessed and all the best ngoja nipitie haya madiniDownload link: The Forex - Books[Mwl.RCT].zip
File size: 39mb
Books Uploaded
1. AstroFX Training Book
2. Naked Forex High-Probability Techniques for Trading Without Indicators -Wiley Trading
3. The Forex Bible
4. Forex Godfather Elite - Mpangilio wake nikama wa Babypips .COM
Mkuu nimepata vitabu vyote je kuna mtiririko wowote napaswa kufuata kwamba nianze na kitabu fulani au naweza kuanza na chochote cha msingi ni kuelewaKweli hapo umedhihirisha una haraka mkuu!!
Sizani kama ni muda muhafaka wa kuanza na trial/demo accounts!
Kama una kitabu cha forex for dummies, tafuta cha bible of forex kipo humu na kizuri sana, pia kuna cha stro fx na naked forex!! nadhan Mwl.RCT atatusaidia kukupatia u-download!!
Ukienda vizuri na hivi vitabu wala hutakua na swali kama la kwenye bold!!
Karibu sana mkuu!
Mkuu na mimi nisaidie hivyo vitabu kwanza 0754744177 WhatsApp 0786744177Wazo la kwanza
Protocol yangu hua haibadiliki milele. Hahaa! Wanaonifahamu wananifahamu vizuri, hua sijibu PM ya mtu yoyote, no matter who you are. Kama ulishawahi kunitext PM kuhusu mada ninazopost na nikakujibu positively basi jua wewe ni malaika. Binafsi Naamini katika kufanya kazi in transparency, clearness and clarity. Hakuna kitu cha kuficha, kama kuna chochote weka hapa jukwaani kila mtu aone, ajifunze, aelimike na akosoe pia.
Kwahiyo itafaa kwa forex, mana cjajua kama unaweza kupokelea mpunga au ni kufanyia manunuzi tu.
Aisee MT4 yangu mbona sioni oil.? Au ipo sehem gani nielekezwe chiefKwa upande wa Wese(oil) naona bado haina dalili ya kudrop,
ila kwangu mimi siwezi kutia mguu hayo maeneo, labda kuanzia jumanne.
So Bullish kwenye Oil kama kawaida