Aisee MT4 yangu mbona sioni oil.? Au ipo sehem gani nielekezwe chief
Hapo ndio kuna utofauti kati ya broker na broker, among other things lazima uangalie services ambazo broker wako Anakupa. Mfano, mimi broker wangu wa sasa ambae nimefunga nae ndoa ya madhabahuni ananipa karibu kila kitu kama US equities mfano Apple, Amazon, Bank of America, America express, BlackBerry, Chevron, FedEx, IBM, mastercard, Netflix, Nike, Vodafone, Verison, Walmart, Qualcomm, Visa, Pepsi, Coke, Yahoo, ExxonMobil, Microsoft, Goldman Sachs, Ebay, FB, Google, Chevron, JP Morgan nk nk. Ananipa CDF index (.DXA), Future CDF kama copper na silver, Ananipa Indices za NASDAC na S&P500 hata UK500, yani options ni nyingi nyingi - kama currencies zinazokuja kwa kasi mfn USDZAR na USDMXN.
Pia kitu cha kuangalia zaidi ni spreads, unahitaji broker mwenye spread nyembamba sana kitu ambacho ni kigumu sana kukipata kutoka kwa ECN. mfn mimi broker wangu nikitrade OIL nahitaji pips 2 tu kua in deep [emoji838] . Afu nilikuja kugundua XM ni broker mmoja muhuni sana, japo siwezi kusema ni mbaya sana. Saa zingine anaweza akadelay kufungua/kufunga potision yako hivyo akakupunguzia faida ama akakuongezea hasara. Kuna siku zingine (ijumaa) broker anafunga platform ht kabla muda haujafika.
But all in all - skills and trading psychology ndio vinamatter. Ukiwa na hivyo hii game unakua unatereza tu bila kujali factors zingine zilizo nje ya uwezo wako.