Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,431
No vyote ni vya beginners! Walitushauri tuanze na forex for dummies ila kwa mtazamo wangu "forex bible" kiko very straight kikifwatiwa na cha astrofx!! All in all you check what suits u the most mkuu maana vyote viko vizuri!!Mkuu nimepata vitabu vyote je kuna mtiririko wowote napaswa kufuata kwamba nianze na kitabu fulani au naweza kuanza na chochote cha msingi ni kuelewa
Thanks MkuuNo vyote ni vya beginners! Walitushauri tuanze na forex for dummies ila kwa mtazamo wangu "forex bible" kiko very straight kikifwatiwa na cha astrofx!! All in all you check what suits u the most mkuu maana vyote viko vizuri!!
Karibu!!
Labda tuanze na hili...Wadau za WeekEnd
Hiv ni broker gani mzur kat ya hawa. Tradesway, Tickmill, MB Trading? Thank U.
Mara nyingi mt4 ni special kwa forex (may be na stocks am not sure) ila kama unataka hizo oil ...gold and the alike tafuta broker anaye support mt5 maana zote hizo zipo kwenye platform ya mt5 na sio mt4!!Aisee MT4 yangu mbona sioni oil.? Au ipo sehem gani nielekezwe chief
Duhhh kumbe mpk mt5.. dahhh afu hii sina..Mara nyingi mt4 ni special kwa forex (may be na stocks am not sure) ila kama unataka hizo oil ...gold and the alike tafuta broker anaye support mt5 maana zote hizo zipo kwenye platform ya mt5 na sio mt4!!
Angalia post namba 4509 page 451 vimewekwa hapo!!Mkuu na mimi nisaidie hivyo vitabu kwanza 0754744177 WhatsApp 0786744177
Download utaziona. Pia kama unafanya real acc lazima uwe na acc au broker anayesuport mt5 platformDuhhh kumbe mpk mt5.. dahhh afu hii sina..
Wako mpaka ambao minimum deposit ni 1dolla wengine 5dolla!! Kuangalia tu min deposit sizan kama inatosha!Nawaelewa vzur. Nmesoma kuhs Tradesway wamenivutia kuanza nao mana minimum n $10.
Kwa hiyo mkuu hii MT4 yangu niachane nayo mkuu..coz haina oilDownload utaziona. Pia kama unafanya real acc lazima uwe na acc au broker anayesuport mt5 platform
Ni lazima ujue hili....japo sio famous kama mt4 ila mt5 ina features zote za mt4 plus hizo gold na oil!! So its all up to u mkuu!!Kwa hiyo mkuu hii MT4 yangu niachane nayo mkuu..coz haina oil
Nmekupata chiefNi lazima ujue hili....japo sio famous kama mt4 ila mt5 ina features zote za mt4 plus hizo gold na oil!! So its all up to u mkuu!!
Japo lazima ujue pia...
Kama unatumia broker ambaye ha support mt5 then hutaweza itumia!!
Kama umefungua account inayobase kwenye mt4 tu pia hutaweza tumia mt5!!
Ila kama unatumia demo its simple...download mt5 then fungua demo mpya!!
Karibu!
Ingia pale kwenye pairs kisha click ile sehem ya juu yenye alama +(plus)... Pale nadhani unaweza ku add pair ya oil... Wengine wanaweza kusaidiaAisee MT4 yangu mbona sioni oil.? Au ipo sehem gani nielekezwe chief
Hapo ndio kuna utofauti kati ya broker na broker, among other things lazima uangalie services ambazo broker wako Anakupa. Mfano, mimi broker wangu wa sasa ambae nimefunga nae ndoa ya madhabahuni ananipa karibu kila kitu kama US equities mfano Apple, Amazon, Bank of America, America express, BlackBerry, Chevron, FedEx, IBM, mastercard, Netflix, Nike, Vodafone, Verison, Walmart, Qualcomm, Visa, Pepsi, Coke, Yahoo, ExxonMobil, Microsoft, Goldman Sachs, Ebay, FB, Google, Chevron, JP Morgan nk nk. Ananipa CDF index (.DXA), Future CDF kama copper na silver, Ananipa Indices za NASDAC na S&P500 hata UK500, yani options ni nyingi nyingi - kama currencies zinazokuja kwa kasi mfn USDZAR na USDMXN.Aisee MT4 yangu mbona sioni oil.? Au ipo sehem gani nielekezwe chief
Anza kusoma vitabu, vipo humu kwenye hii threadNaomba mnisaidie na mimi niwe part of the business plz
Hahaha ni nomaHahahaha,
Ukiwa unaiangalia position inakua ni raha sana.
Tatizo ikija zamu yako kunyolewa.
Naamini ulikusudia "does not guarantee" ......joining form kwamba training does guarantee success in Forex trading, trade at your own risk