Mkuu mimi niko tayari kuingia darasani kwako hata kesho. Huu unabii ukinipita naweza kujilaumu maisha yangu yote.Wazo la kwanza
Protocol yangu hua haibadiliki milele. Hahaa! Wanaonifahamu wananifahamu vizuri, hua sijibu PM ya mtu yoyote, no matter who you are. Kama ulishawahi kunitext PM kuhusu mada ninazopost na nikakujibu positively basi jua wewe ni malaika. Binafsi Naamini katika kufanya kazi in transparency, clearness and clarity. Hakuna kitu cha kuficha, kama kuna chochote weka hapa jukwaani kila mtu aone, ajifunze, aelimike na akosoe pia.
Mkuu ingependeza nawe uweke uzoefu wako hapaOntario...nipo kwenye the same business like the one u mentioned... Hii inaongozwa na mtu mmoja anaitwa Matt Lloyd! Mtafute uone kinachoendela! Nitaleta hapa jukwaani maelezo yake kwa kirefu!
Asante kwa hii pia. Nitaifuatilia, ukizingatia nina skills za kutosha kutrade kwenye biashara za mitandaoni! Huku kuna dola nje nje!
Ngoja amalize kumake another 100 $ on forex atakujibu mkuuBinafsi nimekuelewa sana mkuu. Ila shauku yangu nikuona unatujibu maswali yetu
Ikipendeza naomba niwe m1 was hao 300 na wengine tupo mikoani so ikikupendeza tupe utaratibu mkuu.
Be blessed, nakianza sahivi hadi kesho muda kama huu naamini nitakuwa nimeshapata kituWale ambao wamekitafuta kitabu kilichokuwa recomended "Currency Trading for dummies by Brian Dolan, 2nd edition" bila mafanikio ama wamepata ambacho hakijakamilika na chenye pages pungufu, hii hapa copy ya kitabu full nimewaatachia. Kina pages 384. Hope mkisoma zote, mtapata mwangaza wa mahala pa kuanzia.
Shukran sana arifu!!Wale ambao wamekitafuta kitabu kilichokuwa recomended "Currency Trading for dummies by Brian Dolan, 2nd edition" bila mafanikio ama wamepata ambacho hakijakamilika na chenye pages pungufu, hii hapa copy ya kitabu full nimewaatachia. Kina pages 384. Hope mkisoma zote, mtapata mwangaza wa mahala pa kuanzia.
Staili ya uandishi ya Stivu Masiyiwa... Teh!Wazo la kwanza
Protocol yangu hua haibadiliki milele. Hahaa! Wanaonifahamu wananifahamu vizuri, hua sijibu PM ya mtu yoyote, no matter who you are. Kama ulishawahi kunitext PM kuhusu mada ninazopost na nikakujibu positively basi jua wewe ni malaika. Binafsi Naamini katika kufanya kazi in transparency, clearness and clarity. Hakuna kitu cha kuficha, kama kuna chochote weka hapa jukwaani kila mtu aone, ajifunze, aelimike na akosoe pia.
We Njaa mi nimestuka usingizi muda ya huu wa 02:40 usiku,unawaza hili na lile dah! Nakutana na hii kitu nilitamani niwe nimeshaanza na vitabu nimeshasoma vyoote,account nimeshafungua.Nilikuwa na njaa yote imekwisha Uzi umenishibisha Mkuu count me in
Ubarikiwe sana,hicho ni kipawa kipo ndani yako sio wote wanaojua vitu vizuri wapo tayari kushare au kufundisha wengine.Yanini uwe mchoyo kwa kiti ambacho hakikupunguzii chochote bali kinakuongezea ndugu na marafiki. Leo nikikusaidia wewe na yule najua kesho hata nisipokuepo mwanangu atabaki mikononi mwa watu salama. That's life!!