My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,306
Heshima kwenu wakuu.
Nampa pongezi kubwa sana mkuu ONTARIO Kwa kutoa Siri nzito Sana ya mafanikio ambayo wengi wetu tuna roho za korosho na hatupendi wengine wapate.
MUNGU akubariki Sana ONTARIO na akuzidishie.
Baada ya mada ya mkuu ONTARIO, niliamua kuingia kazini na kusoma Kwa kina Sana kuhusu FOREX trading, Usiniulize nilitoa wapi kitabu au notice, ukiwa na nia ya kujua kitu ni lazima tu utaziona notice zilipo hata Kama ni chini ya bahari.
Wakati nikiwa nimejichimbia kusoma Niliendelea kusoma maoni ya ndugu zangu kwenye uzi wa ONTARIO, nikabaini kuwa ndugu zangu watanzania tuna safari ndefu Sana ya kufikia kwenye mafanikio.
Wengi sana wanaogopa kupoteza pesa, wanapenda mambo laini tu, nilishangaa Sana, a true soldier can't be upset of a single bullet, tangu lini askari wa kweli akahofia kupigwa risasi vitani, na tena risasi moja tu? Tena ya mguuni.
Anayeogopa Forex trading siyo mjasiriamali, ukweli ni kwamba, wanapoteza Forex ni wachache Sana na wanaopiga pesa ni wengi mno.
Twende kwenye mada.
Nashukuru Mungu tayari nimeshapiga pesa ya kutosha Kwa muda mfupi tu, sasa kinachonipa shida ni benki ya uhakika ya kuwa nachukulia pesa zangu maana benki nyingi ni Kama wana chuki ya asili na hii biashara.
Anayetambua ni benki ipi bora tujuzane tafadhali, maana Tatizo la ndugu yangu ONTARIO hajibu pm.