Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Heshima kwenu wakuu.
Nampa pongezi kubwa sana mkuu ONTARIO Kwa kutoa Siri nzito Sana ya mafanikio ambayo wengi wetu tuna roho za korosho na hatupendi wengine wapate.
MUNGU akubariki Sana ONTARIO na akuzidishie.
Baada ya mada ya mkuu ONTARIO, niliamua kuingia kazini na kusoma Kwa kina Sana kuhusu FOREX trading, Usiniulize nilitoa wapi kitabu au notice, ukiwa na nia ya kujua kitu ni lazima tu utaziona notice zilipo hata Kama ni chini ya bahari.
Wakati nikiwa nimejichimbia kusoma Niliendelea kusoma maoni ya ndugu zangu kwenye uzi wa ONTARIO, nikabaini kuwa ndugu zangu watanzania tuna safari ndefu Sana ya kufikia kwenye mafanikio.
Wengi sana wanaogopa kupoteza pesa, wanapenda mambo laini tu, nilishangaa Sana, a true soldier can't be upset of a single bullet, tangu lini askari wa kweli akahofia kupigwa risasi vitani, na tena risasi moja tu? Tena ya mguuni.
Anayeogopa Forex trading siyo mjasiriamali, ukweli ni kwamba, wanapoteza Forex ni wachache Sana na wanaopiga pesa ni wengi mno.
Twende kwenye mada.
Nashukuru Mungu tayari nimeshapiga pesa ya kutosha Kwa muda mfupi tu, sasa kinachonipa shida ni benki ya uhakika ya kuwa nachukulia pesa zangu maana benki nyingi ni Kama wana chuki ya asili na hii biashara.
Anayetambua ni benki ipi bora tujuzane tafadhali, maana Tatizo la ndugu yangu ONTARIO hajibu pm.
 
Tukiwa kwenye maongezi yangu mimi na mjomba wangu ambae amefanikiwa kimaisha na utajiri wake unachezea bilion 40 za kitanzania. Nilipata kumwuliza swali ikitaka kufanya biashara mpya.

Alichonijibu aliniambia kwanza lazima uzingatie hatua zifuatazo.
1. Chunguza
2.Chunguza
3..Chunguza
4.Fanya maamuzi.
Aliniambia katika uchunguzi niwe open, nisipende maneno matamu tu kuhusu hiyo biashara, na ambao watakupa maneno machungu usione kama maadui au wanakuonea wivu.

Tafuta waliofanikiwa kupitia hiyo biashara na waliofeli kupitia hiyo biashara.
 
Nashukuru Mungu tayari nimeshapiga pesa ya kutosha Kwa muda mfupi tu
Je ni kupitia demo account au real account?
- Kama ni Real account - Njia uliyotumia ku_deposit fedha ndio njia itakayotuma kutoa fedha zako. Kama ulitumia Bank "A" kuweka fedha, utatumia Bank hiyo Bank "A" kutoa fedha.
sasa kinachonipa shida ni benki ya uhakika ya kuwa nachukulia pesa zangu maana benki nyingi ni Kama wana chuki ya asili na hii biashara.
Bank yeyote inayo ruhusu miamala mtandaoni yaweza kutumika kutoa fedha yako. Kikubwa ambacho ni cha kuzingatia ni BANK gani utapata fedha kwa HARAKA ndani ya muda mfupi tangu ume_omba ku_withdraw fedha yako. Na hii inategema mambo mawili
1. Broker uliye naye na
2. Bank uliyoichagua kupata Visa/ MasterCard
Anayetambua ni benki ipi bora tujuzane tafadhali, maana Tatizo la ndugu yangu ONTARIO hajibu pm.
Kwenye thread husika
- Ametaja benki bora sambamba na broker anayependekeza atumike ambapo fedha yako unaipata ndani ya masaa 6 - 8, kupitia ATM card yako, tangu u_ombe kutoa fedha kwa broker husika.

Rejea thread husika bado kunamengi ya kujifunza

"Benki ya Forex trading Tanzania" ?? - Bank zote zinafanya FX, Hapa ulipaswa kuweka vyema swali lako la nini hasa unachohitaji.
 
Heshima kwenu wakuu.
Nampa pongezi kubwa sana mkuu ONTARIO Kwa kutoa Siri nzito Sana ya mafanikio ambayo wengi wetu tuna roho za korosho na hatupendi wengine wapate.
MUNGU akubariki Sana ONTARIO na akuzidishie.
Baada ya mada ya mkuu ONTARIO, niliamua kuingia kazini na kusoma Kwa kina Sana kuhusu FOREX trading, Usiniulize nilitoa wapi kitabu au notice, ukiwa na nia ya kujua kitu ni lazima tu utaziona notice zilipo hata Kama ni chini ya bahari.
Wakati nikiwa nimejichimbia kusoma Niliendelea kusoma maoni ya ndugu zangu kwenye uzi wa ONTARIO, nikabaini kuwa ndugu zangu watanzania tuna safari ndefu Sana ya kufikia kwenye mafanikio.
Wengi sana wanaogopa kupoteza pesa, wanapenda mambo laini tu, nilishangaa Sana, a true soldier can't be upset of a single bullet, tangu lini askari wa kweli akahofia kupigwa risasi vitani, na tena risasi moja tu? Tena ya mguuni.
Anayeogopa Forex trading siyo mjasiriamali, ukweli ni kwamba, wanapoteza Forex ni wachache Sana na wanaopiga pesa ni wengi mno.
Twende kwenye mada.
Nashukuru Mungu tayari nimeshapiga pesa ya kutosha Kwa muda mfupi tu, sasa kinachonipa shida ni benki ya uhakika ya kuwa nachukulia pesa zangu maana benki nyingi ni Kama wana chuki ya asili na hii biashara.
Anayetambua ni benki ipi bora tujuzane tafadhali, maana Tatizo la ndugu yangu ONTARIO hajibu pm.

Kwani ulijiungaje bila information za benki mwenzetu? Ulitransfer vipi hela ya ku trade bila bank info?
Wingu wingu hapa
 
Bila shaka mleta mada either yupo Kwny matumizi ya demo account au anachokoza mada kwa research zake mwenyewe
 
Wabongo hebu mje Huku niko Mtz peke yangu the rest wakenya
Hiyo link ikikataa ni whatsapp 0757869930 nitakutumia link
Tujaribu kupata more knowledge wakati tuna msubiria Ontario kuanzisha darasa hapa TZ

Huu uzi ni solely and exclusive kwa ajili ya Ontario; na kama umeupenda ni vyema ukamsikiliza na kukubali kuwa chini yake na afterall tuko chini yake.so kuhusu wakenya wana group lao na wewe mwenyewe ndiye mtz ni kwamba hukulazishwa kujiunga na kama unawataka wabongo wajiunge nakushauri fungua thread nje ya hii usijekutufaulishia kny gari yako ndugu;ni wengi wamekuja kama wewe wametoka patupu.
 
Elimu Elimu Elimu
 
Kwani ulijiungaje bila information za benki mwenzetu? Ulitransfer vipi hela ya ku trade bila bank info?
Wingu wingu hapa
Hii ndio maana ya Great Thinker.
Wengi wasingehiuliza hili swali.

Eti unapambana Kujifunza kilimo cha mahidni, unalima, unapata mavuno mazuri, maindi yanakuwa tayari kwa kuvuna, alafu ndipo unashtuka eti hujui kuvunaa.

Unakuja kuuliza maindi yangu yameshafikia hatua za kuvuna ila naomba mnifundishe jinsi ya kuvuna?
Seriously?
Kuna harufu ya watu kupiga deal, kuna kamchezo unachezwa hapa!!

Wenye akili watashtuka.
 
Kwa mara ya kwanza na mimi nimejaribu kutrade through demo account kwa kuyumia pair ya GBPUSD na baadhi ya pair chache ambazo zinainvolve USD. Na hiki ndicho nilichokipata[emoji116]

813bed4dba506ed769e24aae8e033bb7.jpg

[emoji117] Hizo loosing trade za juu ni kwasababu nilikuwa sijui when to buy and when to sale ndo maana trading nne zote za juu nikaingia loss

[emoji117] Pia katika siku yangu ya kwanza ya kutrade demo kuna vitu vichache nimejifunza... naomba wataalamu mnikosoe in case kama nitakiwa nimeenda wrong

Nimejua ni kwanini inashauriwa kuchagua broker ambaye ana spread ndogo kwa maana nilichokiona ni unapoexecute order whether uwe umebuy au umesell, the first thing ni kufill kwanza lile gap la spreap then ndio pips zianze kuwa counted.

Am still an amateur And I believe I can be a Pro... Nimekuwa inspired sana leo

cc Ontario Bavaria

Jina gani la hiyo APP
 
Trading foreign exchange on margin carries a high level of risk, and may not be suitable for all investors. The high degree of leverage can work against you as well as for you. Before deciding to invest in foreign exchange you should carefully consider your investment objectives, level of experience, and risk appetite. The possibility exists that you could sustain a loss of some or all of your initial investment and therefore you should not invest money that you cannot afford to lose. You should be aware of all the risks associated with foreign exchange trading, and seek advice from an independent financial advisor if you have any doubts SOURCE:Fibonacci Trader RT Order
 
Mkuu in forex unafanya mambo mawili kwa mpigo. Unauza currency moja na huku ukiinunua currency nyingine automaticaly.

Sasa basi, chukulia hii pair ya US dollar na Swiss franc USD/CHF ina listing rate ya 1.6105. Hapo USD ni base na CHF ni counter currency. Kumbuka hiyo ni namba imetokana na ratio na kugawanywa namba ya juu USD dhidi ya namba ya chini CHF

Hivyo basi, going long maana yake ni kwamba unanunua base currency ambayo kwa case yetu ni USD na wakati huohuo unakuwa umeuza CHF automaticaly. Hiyo rate ikipanda kufika say 1.6110, maana yake ni kwamba USD imeimarika zaidi. Na kuimarika kwa USD dhidi ya CHF kunaipa purchasing power USD ambayo wewe kwa wakati huo unakuwa nayo katikakibubu chako

Na short ni kwamba unanunua counter currency huku ukisubiria rate ishuke na kufika say 1.6101. Ambapo ikiwa hivi maana yake counter currency inakuwa imeimarika zaidi. Same applies kama nilivyoeleza hapo juu.

Hope umeelewa.

Ama kwa maelezo mengine, kama mwanzo ulikuwa na CHF say 16, ukazitumia hizo CHF kununua USD, utapata say USD fulani say 10. Baadae USD ikaimarika dhidi ya CHF, ukifanya reverse trade ya kununua CHF tena, hizo USD 10 hazitokupa CHF 16 tena. Bali zitakupa CHF zaidi ya 16. Sasa hapo kujua exact ni kiasi gani cha CHF utapata, kunategemeana USD imeimarika kwa kiasi gani.
Mkuu sasa ninavyojiunga na kudeposite pesa yangu kwa ajili ya kucheza huu mchezo, Je pesa ninayo deposite ina kuwa in Tsh au nina badilisha kwanza kwenye Us dollar ndo naanza kucheza?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom