Nimesha kindownload nasubiri kupambazuke nitafute sehemu nzuri nikisome,thanks bro I hope nitailisha akili kitu kipya.Naomba kila mtu ambae yupo interested kwa kujinoa noa na kuondoa tongo tongo asome kitabu kinaitwa Currency trading for dummies kimeandikwa na Brian Dolan. Kitakupush sana sana.
Nenda Google andika jina la kitabu au unaweza kumalizia na free download unakidownload very simple mi nimeshafanya hivyo tena through my phone.napenda kusoma vitabu naona hiki kitaongeza kitu katika akili yangu.Sorry @antario una soft copy ya hicho kitabu cha Currency trading for dummies tuweze ku-access
You can download bro na ukajisomea sio lazima uende bookshop na sometime utakuta bookshop vinauzwa bei kubwaaa wakati unaweza ukaki download tuu,kama alichosema hapo nimesha download naweka kwa PC naanza kuperuzi na kudadisi.Kusema ukweli nimevutiwa sana na huu uzi na nimesubscribed ili nisimisi kitu. Wazo langu na ombi kwako kama kuna uwezekano mkuu ujaribu kurahisisha upatikanaji wa hivyo vitabu, sina hakika kama hapa bongo vinapatikana kwa urahisi au uamue kuzunguka sana kupitia kila bookshop. Najua kupitia ww ni rahisi kupatikana coz unasafiri nje ya mipaka yetu. Most of all be blessed much much
Sio lazma wote waingie kwa offer wengine mlipie kasema fee itakua ndogo tuNaomba kuuliza kuna ndugu yangu hayupo Jamii forum ila anapenda awe kati ya hao 300 namsaidiaje
Samahani mkuu, nahisu ulimaanisha NASDAQ stock exchange kwa ajili ya Indices au sio.Kuna mtu anatumia NADEX humu?
Nadex wanahusika na binary option .. USA based broker ..Samahani mkuu, nahisu ulimaanisha NASDAQ stock exchange kwa ajili ya Indices au sio. Kama ni kweli ulimaanisha NADEX mimi kama mimi kamwe siwezi kukushauri utumie robot software/EA ipo siku itakunyoosha hadi utamani dunia ipasuke. Hakuna robot hata 1 yenye mafanikio, kama ni hivyo watu wote duniani wangeshakua matajiri.