Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Tunasubiri
 
Reactions: MC7
Ukijibiwa tag me pls

TheDealer
 
Hii kitu imekaa vizuri japo inachanganya sana kama kichwa hakijatulia.Ngoja nitulize kwanza kichwa ntarudi.....
 
Nimevutiwa sana na huu uzi, ni fursa nyingine ya Biashara,...
Mkuu usinisahau kwenye Ufalme wako wa watu 300
 

All deposit/withdraw to and from your trading account is via your bank account.

Please clarify in depth what you mean when you say 'unregulated transactions'.

What theft are you talking about?! I may ask you, have you ever done any electronic purchase? Say through Amazon, eBay, Alibaba, PayPal, Uber, AirBnB or even paying anything electronically like flight ticket, hotel booking?! How then does theft come about. Same thing that I'm always saying 'lack of right information about our modern world.
 
Nice...but it need a very deep understanding on how things works in forex market....I am in.. count me on this
 
Mkuu kuhusu bushiri kuandika kitabu cha forex lazma tu kitauza sana kutokana na ushawishi alio nao ktk jamii ni wa kuwa mtume na nabii nakila mtume anacho nena,,,fundisha,,,anachovaa,,,,ni dili la pesa sana!!!
 
Kwa kweli ni habari njema lkn tunahitaji maelekezo zaidi hasa sisi wa Bush tungepata special consideration
 
Mkuu ONTARIO nimefarijika kwa uzi huu. Nipo tayari hata kulipia kwa ajili ya mentoring. Tafadhali count me in katka wle 300
 
Nimekua nikitafuta elimu kama hii sijafanikiwa,Mungu akubariki Mno, kwenye kundi hilo la 300 wa kwanza nami nimo
 
Naweka seat naomba nikumbukwe kwenye huo ufalme tafadhali..
 
Asante sana kwa kitu hiki adimu..haya ndo mambo tunayopaswa kuyafanya umasikini wa mawazo ndo unaotumaliza..asante sana mimi nipo nawe naomba maelekezo lini tunaanza mkuu!
 
Asante kwa uzi huu muhimu..mimi nipo tayari nasubiri maelekezo lini tunaanza..count me inn Sir!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…