Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Acha hoja nyepesi na kulalamika kama upinzani Wa tanzania,leta mbadala

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Mberoya

Sikuwa na mpango wa kuingilia kati your agenda... Lakn Mkuu your going too far..!

Unadai kwamba Wakuu humu hawaitaji constructive arguements.. Atleast stand on your words..!!

Calling a person muongo na kumfananisha na kichaa ili kwamba tuwapuuze bila uthibitisho wowote is that
constructive Mkuu kama unavyojipambanua....??? OR insulting your fellow members...?

Kwa nini usingethibitisha uongo wao na ukichaa wao kwa ushaidi ulionao..??? You would have been constructive..!

Ukishindwa, basi ujue your no longer constructing but destructing...! Na yamkini unajua au hujui pia...!!

Mkuu what your doing its not funny kabisaa..! Najua your a grown person, mtu na maisha yake, na umeenda shule(hapa kuna mawili).
Ukiona majority of people wanakukosoa jaribu kujichunguza kwa makini kwa sbb kuna kitu kwako hakijakaa sawa..

Stop conflicting yourself and others bro...!

TRY TO BE KIND
 
Sometimes brokers wana influence market. Refer market marker broker!!

Not to that extent, kama asilimia ni 0.01%, hizo zingine zilizobaki zinabaki kuwa kubase katika demand na supply. That is the golden rule.
 
Nashukuru kwa ushauri wako "to be kind" and i have not been kind. Naona kuchukiwa kwangu kumefika mbinguni katika uzi huu. Kuanzia leo nang'atuka na wala hamtonisikia tena nikichangia negativity yeyote kama mnavyodai.
Najiondoa kwa amani nitakuwa naendelea kujifunza tu. Kwa wale niliowakwaza tusameheane. Adios Amigo![emoji22] [emoji24] [emoji24]
 
Thanks Mkuu,
That is an overwhelm kindness..!!
 
Yaani huelewi? Ukimu win broker ana maana ukimpa broker rushwa...mambo yakibongo bongo babuu!

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
we Jamaa kilaza saaana yaani
sasa umpe broker Rushwa afu iweje yaaani unazan yey ana nafas ya ku influence any price changes??!

Sent from my iphone 6s using Jamii Forum app
 
Really elfu saba???


Sent from my TECNO 8H using JamiiForums mobile app
Soma uzi taratibu uelewe kila kitu kime wekwa wazi umu uki fata akili za uyu jamaa mberoya utapotea bure!! hana mchango wowote umu zaidi ya kutu kejeli kweny huu uzi

Sent from my iphone 6s using Jamii Forum app
 
You are forgiven.. Farewell bro!!

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Target is to reach 300$ ndani ya mwezi huu mpaka unaokuja by applying vitu vyote ninavyojifunza na kuviweka kwenye practice.. Yani hapa ndo uwanja wa mazoezi haswa!!

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20170711-204922.png
    58.1 KB · Views: 76
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…