DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,805
- 4,107
Acha hoja nyepesi na kulalamika kama upinzani Wa tanzania,leta mbadalaUmemuandikia Ontario alafu unaweka Cc to Ontario! Umeshamuandikia sasa copy kwa Ontario ya nini? Ontario ataona haufai kufundishwa.. ndiyo nyiye wa "syllabus za kibongo" kama alivyosema Ontario, miaka 20 ukimaliza kusomeshwa bado huelewi unatoka mweupe!
Mambo ya forex trading yanaitaji commitment, focus, time, knowledge, enough fund to loose na akili iliyo sawazika, ama sivyo utakufa kifo cha miguu juu kama mende! Utaikimbia mwenyewe forex trading lakini broker mwenzako atakuwa anadunda!
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app