Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nyie viumbe mnao quote uzi mtefu hivyo akili zenu zikoje?
Mara ngapi muambiwe hakuna ulazima wa kufanya hivyo ila wafanya hivyo
 
Nyie viumbe mnao quote uzi mtefu hivyo akili zenu zikoje?
Mara ngapi muambiwe hakuna ulazima wa kufanya hivyo ila wafanya hivyo
Povu la nini mkuu. Umemeza OMO?
 
Basi jifunze jinsi ya kumuita mhusika kwa kuandika jina lake Ontario
Mnatuchosha na ujinga wenu
Nilisema nataka kuita mtu? Usinifundishe kutumia Forum please!

Nimekustahi sana mkuu
 
Naomba mnisaidie kumtag jamaa ana jiita Mberoya apite apa

Sent from my iphone 6s using Jamii Forum Mobile app
 
God bless you brother.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Wabongo ni wabongo tu, Dah!!

Wakuu na wahenga... Don't get scammed please.

Mimi simkatazi mtu yoyote kufundisha Forex, mimi simkatazi mtu kutumia mentors mzr wa FX. Nawafahamu mentors wengi wa FX wa SA, coz SA ni kama my 2nd home. Lakini kamwe sifurahii mtu kutumia jina langu kwa nia yoyote hile.

Please don't get trapped guys, don't get scammed. Leo baada kutoa link to my IG (sirjeff_dennis)... dennis yenye double 'N'. Mara nakuta kuna muhenga tayari kashatumia huo upenyo uterezea ganda la ndizi. Wabongo wanapenda sana kitonga, penda sana slope. Tena hao wash3nzi wapo humu humu kwa hii thread, wananyapia nyapia na kutukana watu, kumbe ndio vibaka wenyewe. Shame!!

So guys, msipatikane na mjanja yoyote, hiyo si account yangu.
This is not my account wazee... account yangu ni @sirjeff_dennis. Ina post za tangia 2015, sijamfollow mtu yoyote, pia my a/c is public.

Don't get scammed.
 
Nikiona ujumbe wa Ontario sijui najisikiaje yani Braza big up kwa motivation muhenga mwenzangu hata Mimi naliamsha dude hapa

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_2017-07-13-17-30-49.png
    14.8 KB · Views: 73
[emoji2] [emoji2] [emoji2] huyu ndo mhenga aliyesema ujanja kuwahi loooh...pole
 
Sawa mkuu
 
Hahahahahahahaha....!

Itabidi wakuu watusaidie kutujuza wahenga walisema nini kuhusu hili..!
 
A fuel that keeps me going! Mkuu Ontario, I have never been motivated this way. Thank you

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
Learning mode activated. nimeipenda.
A fuel that keeps me going! Mkuu Ontario, I have never been motivated this way. Thank you
 
Hahahahahahahaha....!

Itabidi wakuu watusaidie kutujuza wahenga walisema nini kuhusu hili..!
Mkuu mimi ndiye yule muhenga wa miaka ya 90, niliyekaa na muhenga mwenzangu bwana Kinjekitile Ngwale, na tukaanzisha ule usemi maarufu ya kua Chaka la samba, halilali nguruwe., lkn kwakua hatukueleweka vzr baada ya muda mfupi wahenga tukakutana tena tukaja na ule usemi Choko mchokoe pweza, binaadamu hutomuweza. Muhenga mwenzangu akatangulia mbele za haki, akaniacha peke yangu nikaamua kuleta usemi mpya wa kihenga kua Mchamba ovyo mwishowe hujitia dole.
Kuwa mhenga raha sana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…