Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulazima ulikuwepo mkuu
Povu la nini mkuu. Umemeza OMO?Nyie viumbe mnao quote uzi mtefu hivyo akili zenu zikoje?
Mara ngapi muambiwe hakuna ulazima wa kufanya hivyo ila wafanya hivyo
Nilisema nataka kuita mtu? Usinifundishe kutumia Forum please!Basi jifunze jinsi ya kumuita mhusika kwa kuandika jina lake Ontario
Mnatuchosha na ujinga wenu
Naomba mnisaidie kumtag jamaa ana jiita Mberoya apite apaSitaki nifanikiwe pekee yangu wakati tukifanikiwa wote kwa pa1 sipungukiwi na kitu, zaidi nitaongeza marafiki, ndugu na jamaa. The profits I make nataka tuimake pamoja, the losses I make nataka tuimake pamoja. Tuhakikishe haters wote wanajoin the journey bila kupenda [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lunch for today is covered (screen shot cropped to cover some other info)![]()
God bless you brother.Ontario is back - back with good words
Wakuu na wahenga wote waliosadikika kusema Asiyejua maana, haambiwi maana ontario nimerudi baada ya kimya kirefu sana. Been busy lately, very busy - but there's no alternative to hardworking/hustling.
Naeza sema we are almost 80% completing. Nilisema tangu mwanzo - sijawahi kuanza kitu na kuishia kati kati, that's not Jeff (labda fotokopi yangu).
SOON tunaanza, kilichokua kinanichelewesha nimehandle almost 90%, kinachobakia ni vitu vidogo vidogo sana ambavyo havihitaji nguvu kubwa sana.
Mentors from SA ndio wapo stage ya mwisho kujinoa na safari... we are gonna make this real ili tuoneshe how far we can go bila kulilia msaada wa serikali - ili tufanikishe nahitaji msaada wenu, siwezi kufanya hii kitu mimi binafsi. Na msaada pekee ninaoutaka kutoka kweni ni Ushirikiano - muwe tayari kusoma, narudia kusoma, narudia tena kusoma.
Sijali umefika stage gani, lkn leo onwards, naomba mnisaidie kitu kimoja tu dear traders... anza page ya kwanza ya AstroFX, soma elewa, rudia tena na tena. Huo ndio msaada pekee utakaositiri heshima yangu. Trust me, nazungumza ninachokifahamu - kuna watu wengi wanatamani waone tunaanza batch ya kwanza afu batch ya kwanza waangukie pua, but kitu pekee kitakachotupa kiburi ni knowledge baasi. Darasani tutapeana mbinu tuuu.
Mentors wote wapo very very motivated kuja Bongo na kuandika historia. Tunataka tuandike historia, na tutaandika historia pamoja. Guys help me rewrite the history. Furaha yangu ni nyinyi kuweza kumaster trading skills na kutumia hizo skills kumove kutoka hatua 1 kwenda hatua nyingine.
We are in the most empowered generation, tuna bahati sana. Tumezaliwa katika kizazi ambacho kuna free flow of information via Internet thing. We are the most educated generation in human history. Wazee wetu kina Aboud Jumbe na Bibi Titi walihustle at their own exceptional level, kutuletea political and administrative freedom. But hatuwezi kufurahia matunda yao kama hatuna financial and economic freedom/independence. Let's get it now!!
Soon tunaanza safari wahenga wenzangu. Let's trust the process and enjoy it's fruits. Till then let's keep studying. Nina vitabu zaidi ya 100 vya forex, nasoma kila ninapopata muda. Narudia na kurudia, coz knowledge is power... naweza kufilisika ama kufilisiwa mali, lkn hakuna mwanadamu atakayeweza kunifilisi knowledge, labda Mungu.
Guys tuliamshe dude. Tuendelee kusoma, in few days nitafungua uzi mpya for the final call.
salute!!
============================
Though situmii sana IG but I do use it mara kadhaa. Maybe kuna vitu ntaanza kushare huko as far as thing journey is concerned. Follow me at @sirjeff_dennis. Please, naomba usitume message, coz possibility ya kukujibu ni ndogo sana. I am so busy guys, siwezi kujibu kila kitu. Office ikianza kutaelezana kila kitu face-to-face.
Ninaanza na Astro. I hope hao Mentors watakapo fika nitakuw angalau nimefika katikati ya kitabu.
Il nipate kwenda sawa na Mimi.
Kitabu. Kuna link humu za vitabu mbalimbali ...Tafuta utaviona.Hiyo AstraFX ni wapi mkuu tuanze kusoma
Kitabu. Kuna link humu za vitabu mbalimbali ...Tafuta utaviona.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] huyu ndo mhenga aliyesema ujanja kuwahi loooh...poleWabongo ni wabongo tu, Dah!!
Wakuu na wahenga... Don't get scammed please.
Mimi simkatazi mtu yoyote kufundisha Forex, mimi simkatazi mtu kutumia mentors mzr wa FX. Nawafahamu mentors wengi wa FX wa SA, coz SA ni kama my 2nd home. Lakini kamwe sifurahii mtu kutumia jina langu kwa nia yoyote hile.
Please don't get trapped guys, don't get scammed. Leo baada kutoa link to my IG (sirjeff_dennis)... dennis yenye double 'N'. Mara nakuta kuna muhenga tayari kashatumia huo upenyo uterezea ganda la ndizi. Wabongo wanapenda sana kitonga, penda sana slope.
So guys, msipatikane na mjanja yoyote, hiyo si account yangu.
This is not my account wazee... account yangu ni @sirjeff_dennis. Ina post za tangia 2015, sijamfollow mtu yoyote, pia my a/c is public.![]()
Don't get scammed.
Sawa mkuuWabongo ni wabongo tu, Dah!!
Wakuu na wahenga... Don't get scammed please.
Mimi simkatazi mtu yoyote kufundisha Forex, mimi simkatazi mtu kutumia mentors mzr wa FX. Nawafahamu mentors wengi wa FX wa SA, coz SA ni kama my 2nd home. Lakini kamwe sifurahii mtu kutumia jina langu kwa nia yoyote hile.
Please don't get trapped guys, don't get scammed. Leo baada kutoa link to my IG (sirjeff_dennis)... dennis yenye double 'N'. Mara nakuta kuna muhenga tayari kashatumia huo upenyo uterezea ganda la ndizi. Wabongo wanapenda sana kitonga, penda sana slope. Tena hao wash3nzi wapo humu humu kwa hii thread, wananyapia nyapia na kutukana watu, kumbe ndio vibaka wenyewe. Shame!!
So guys, msipatikane na mjanja yoyote, hiyo si account yangu.
This is not my account wazee... account yangu ni @sirjeff_dennis. Ina post za tangia 2015, sijamfollow mtu yoyote, pia my a/c is public.![]()
Don't get scammed.
Hahahahahahahaha....!Wabongo ni wabongo tu, Dah!!

Hahahahahahahaha....!
Itabidi wakuu watusaidie kutujuza wahenga walisema nini kuhusu hili..!
Nishauliza the name of this App,watu kimyaSoma+mazoez... mdogo mdogo vinaanza ingia
![]()
Sio kimya, ishatajwa mara nying mno humu, so watu wanaona uvivu kuwajibu wavivu wa kusoma kama weweNishauliza the name of this App,watu kimya
Learning mode activated. nimeipenda.A fuel that keeps me going! Mkuu Ontario, I have never been motivated this way. Thank you
Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
Mkuu mimi ndiye yule muhenga wa miaka ya 90, niliyekaa na muhenga mwenzangu bwana Kinjekitile Ngwale, na tukaanzisha ule usemi maarufu ya kua Chaka la samba, halilali nguruwe., lkn kwakua hatukueleweka vzr baada ya muda mfupi wahenga tukakutana tena tukaja na ule usemi Choko mchokoe pweza, binaadamu hutomuweza. Muhenga mwenzangu akatangulia mbele za haki, akaniacha peke yangu nikaamua kuleta usemi mpya wa kihenga kua Mchamba ovyo mwishowe hujitia dole.Hahahahahahahaha....!
Itabidi wakuu watusaidie kutujuza wahenga walisema nini kuhusu hili..!