Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Sio kimya, ishatajwa mara nying mno humu, so watu wanaona uvivu kuwajibu wavivu wa kusoma kama wewe

nenda play store tafuta MT4
Yeap nimeiona,nimeunga na Account ya demo na live kutoka brokers wanaitwa Tickmill
 

All is done by the God's grace. Be blessed and keep believing that the first batch will be blessed too. So failure will revert to the bad wishers. May God forbid. Thanks for the update and congratulations for all that you have achieved.
 
utakuwa muhenga kweli..[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji3]
 
Tuko pamoja mkuu hatutakuangusha
 
huwa nafuatilia screenshots za watu mbalimbali wanazotupia humu, ila ya ontario akipost huwa ni something else,ni wengi mnamake profits lakini ukiangalia hakuna uhalisia sababu
-- trades nyingi zinazopostiwa humu ni za pip 1 - 5 zinazoambatana na bonge moja la lot,
--ukiangalia chief ontario hapo katumia lot ya kawaida lakini pips ni 50+
hivyo basi nnapoona mtu amefungua position halafu akaclose after 2 pips najua hapa hakuna analysis aliyofanya zaidi ya kubuy/kusell kwa kuangalia trend,
sio mbaya as we are all still learning ila nataka kukumbusha tu we are not there yet, tujitahidi hata batch la 10 tuwepo, bado elimu inahitajika ya kutosha tu


NB:nimequote ili muangalie tena hii screenshot,najua wengi wetu tunaangalia profit tu,
binafsi screenshots zimenifunza mengi including kufungua multiple positions kwenye pair moja inayoenda in your favour, something you cant learn kwenye kitabu
 
Mkuu wahenga wanasema TRADE FOR PIPs MONEY WILL COME. Hiyo kitu ndio nakomaa kujua jinsi ya kufanya setups.. Unless nimeweza hiyo hii biashara sitaiweza.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wahenga wanasema TRADE FOR PIPs MONEY WILL COME. Hiyo kitu ndio nakomaa kujua jinsi ya kufanya setups.. Unless nimeweza hiyo hii biashara sitaiweza.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Akyamungu wewe ni muhenga wa kiwango cha Kinjekitile Ngwale na kina Chief Mwami. Respect. Nahisi wewe ndiye ule mzee wa Kizulamimba kule Uvinza uliyesadikika kua ulisema Uji hajauonja, tayari ushamuunguza. ukiona trader anatumia lot ya 1 afu anafunga position na profit ya $4 jua huyo uji ushamuunguza.
Kula kipande cha screenshot hiyo muhenga. We trade for pips not money.
 
Hujakosea kabisa chief yani naogopa uji wa moto mpk hapo ntakapojua kuunywa. Nadhani wewe ndio yule mhenga alosema TRADING FOR PIPs IS SEXY [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
 
Duh wabongo nikiboko.. Ila huyu jamaa sio mgeni kwangu namuona maeneo flan flan anasubua sana watu akitaka kuwafundisha.. Lazima itakua ni yy..?
 
Mkuu kweli we Muhenga.. Sio kwa maneno hayo hakihenga.. Me namtafta yule muhenga aliesema "akufaae kwa dhiki ndie rafiki wa kweli''
 
Mkuu kweli we Muhenga.. Sio kwa maneno hayo hakihenga.. Me namtafta yule muhenga aliesema "akufaae kwa dhiki ndie rafiki wa kweli''
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa muhenga
 
Hahahahahahahaha....!

Itabidi wakuu watusaidie kutujuza wahenga walisema nini kuhusu hili..!
Mku huyu ni wakumkumbusha kale ka msemo ka wahenga wenzake kua "Akiona vya elea ajue vimeundwa''
To be Sirjeff is not easy kama anavyofikiri..
 
Asante kaka... kaz ya kusoma inaendelea.. na hatutakuangusha

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Wahenga hatari sana..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]





Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…