Wabongo ni wabongo tu, Dah!!
Wakuu na wahenga... Don't get scammed please.
Mimi simkatazi mtu yoyote kufundisha Forex, mimi simkatazi mtu kutumia mentors mzr wa FX. Nawafahamu mentors wengi wa FX wa SA, coz SA ni kama my 2nd home. Lakini kamwe sifurahii mtu kutumia jina langu kwa nia yoyote hile.
Please don't get trapped guys, don't get scammed. Leo baada kutoa link to my IG
(sirjeff_dennis)... dennis yenye double 'N'. Mara nakuta kuna muhenga tayari kashatumia huo upenyo uterezea ganda la ndizi. Wabongo wanapenda sana kitonga, penda sana slope. Tena hao wash3nzi wapo humu humu kwa hii thread, wananyapia nyapia na kutukana watu, kumbe ndio vibaka wenyewe. Shame!!
So guys, msipatikane na mjanja yoyote, hiyo si account yangu.
This is not my account wazee... account yangu ni @sirjeff_dennis. Ina post za tangia 2015, sijamfollow mtu yoyote, pia my a/c is public.
Don't get scammed.