ok, but ungeitaja hiyo technique yako basi ili niijaribu kama naweza kuiinua hii account yangu maana hii ni wk sasa naipandisha dola 20 mchana jion nikitrade zinapolomokaaaNiliset 1:100
kuhusu techniques, inategemea, ninalo fanya mm wewe linaweza lisikufae kabisa, unaloweza wewe mm lisinifae kabisa, hapa nakushauri usome,, ujaribu kila kitu, ipo sehem aina moja ambayo itakua inakuacha na tabasamu pana kila unapo itumia, hiyo hiyo ndio itakayokua inakufaa
Soma vitabu. Trading system ya mtu unaweza ukaiona kwako haikufai. Pia hata akikutajia lazma uijue undani wake yani when theres high probability setup when to exit where to place ur stop loss and take profit..na vitu ka ivo...ok, but ungeitaja hiyo technique yako basi ili niijaribu kama naweza kuiinua hii account yangu maana hii ni wk sasa naipandisha dola 20 mchana jion nikitrade zinapolomokaaa
Jamaa umeongea Point hadi natamani kulia, Asante sana kuonyesha watu ufuata mfereji ulionyoka wala siyo. Wenye makona kona [emoji63] salute to you SoldierReal men are always Loyal and honnest, not only to others, but also they should be to themselves. Kitendo cha mimi kufunguliwa macho juu ya what is forex bussines kupitia huu uzi, ni wajibu wangu mimi na yanipasa kuwa Loyal na Honnest kwa aliyenifumbua macho coz naye amekuwa loyal na honnest kwetu toka mwanzo. For real men, loyalty and honnesty are paid back by doing same.
Na hivi vitadhihirishwa kwa kusubiri all signals of his katika hizi harakati. Tupo pamoja Ontario, tumeanza hili pamoja na i hope tutavuka pamoja. Hao wanaowaalika wakenya kuja kufundisha na wawaalike tuu, we are here to stay mpaka pale utakapokamilisha wewe. Hata kama ni kutafuta other materials nje ya circle yako, basi hilo litafuata baada ya kuwa umeshatupa ABC za ulichotuahidi.
Hahahaha. Acha utani.Mkuu nilichokwisha kuamua ni moja kati ya haya mawili
Ni either kuhudhuria darasala Jeff or Kufanya kipekee yangu peke yangu kama Bavaria, baaasi, na si vinginevyo
Kufungua position bila SL ni sawa na kutoka nyumbani bila kuvaa viatu.nimeunguza account,nilipewa kianzio cha dollar 200 nikaipandisha hadi dollar 2320,leo nimenunua usd/jpy nikasahau kuweka SL nikatoka nje si nikajisahau kuwa nakaanga mayai na yako jikon kurudi nimekutana na masizi na nadaiwa mafuta ya dollar 27,hapa nimeweka kitabu kwapani naenda nyumban,sijui ni hili wenge la kufiwa
Mkuu Bavaria umepotea sana bossKufungua position bila SL ni sawa na kutoka nyumbani bila kuvaa viatu.
Hahahahaa Mkuu Lodrick... Na mimi leo yamenikuta haya majanga yaliyokukuta... Nimechoma kianzio changu cha USD 200, ila ndo kukomaa huko no surrendering! Nimekutana na kitu kinaitwa NON-FARM PAYROLL duuhh... It was a Havoc!!
Nimeumia kimoyomoyo ila nimejifunza kitu!! Ngoja nisome tena nirudi live!! Sijui imekuwaje hiyo Non-Farm Payroll imenikumba hii ijumaa ya pili ya mwezi!! Wataalam wa SA hope watatueleza mengi!! Hahahahaaa Forex trading is real Challenging! Ukiwa na Moyo mwepesi kaa mbali kabisa na hii kitu!!
Kuna watz wanaroho mbaya sana..Baada ya kuona Ontario kasema analeta mentors watupige pindi wao nao wameanza kuleta wakenya wapige pindi. Jaman sio vibaya ila naona Kasi yenu imekuwa kubwa kuliko hata mwanzilishi wa hii hapa jamiiforum.
Alafu wanaenda na updates za Ontario, akisema zimebakia siku chache au 90% is complete, nao wanakazana.
Aisee Tz tusipokuwa fighters and see opportunities and fighty in other way, hakika tutabakiwa mazombe ya siasa.
Wahenga walishasema,
"Copy and paste is allowed but try to do it in stunning way"
BONGOLAND
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Mkuu Bavaria umepotea sana boss
Nakukumbusha ile cheat sheet uliyotuahid mkuu
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
What abt Corrilation pair sheet that you promised to share with ya herein few weeks ago... ???Nakumbuka mkuu.
Hapo kati nilibanwa na mambo mengi.
Ile sheet nilishaiandaa ila sijapata mida kuitest kabisa.
Na kuitest inachukua muda sana ndo maana sijaiweka bado nisije kuwalisha mtango pori.
kha.....ila nakuhakikishia kwa misuli inayopigwa humu kuna watu wataibuka kidedea bila hata ya kublow account zao.Hahahaha. Acha utani.
Kufanya peke yako si mchezo mkuu.
Kama utapata nafasi ya kwenda kwenye training we nenda tu. Utapata maarifa mengi kwa muda mfupi.
Ukikomaa peke yako utakutana na 'bitter life' sometimes.
Nilifahamu forex 2012, nikaanza kutrade live 2014.
Hadi 2015 nimeshablow account kama mara 6 hivi.
Wakati huo hakukuwa na mentor wala mtu wa kutrain. Unasoma mwenyewe toka sources mbalimbali.
Baada ya kublow account 2015 nikaachana na kutrade hadi 2017 January.
Miaka miwili nilikuwa nasoma tu. Masaa 6 kwa siku natumia darasani.
So kufanya mwenyewe sio kazi nyepesi, inahitaji hustling ya kufa mtu.
Kuna watz wanaroho mbaya sana..Baada ya kuona Ontario kasema analeta mentors watupige pindi wao nao wameanza kuleta wakenya wapige pindi. Jaman sio vibaya ila naona Kasi yenu imekuwa kubwa kuliko hata mwanzilishi wa hii hapa jamiiforum.
Alafu wanaenda na updates za Ontario, akisema zimebakia siku chache au 90% is complete, nao wanakazana.
Aisee Tz tusipokuwa fighters and see opportunities and fighty in other way, hakika tutabakiwa mazombe ya siasa.
e as
Wahenga walishasema,
"Copy and paste is allowed but try to do it in stunning way"
BONGOLAND
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Sio mbaya.kha.....ila nakuhakikishia kwa misuli inayopigwa humu kuna watu wataibuka kidedea bila hata ya kublow account zao.
Hujaelewa ulicho-quote hapo.What abt Corrilation pair sheet that you promised to share with ya herein few weeks ago... ???
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Nina account ya $5, plani ni kuwa mwisho wa mwezi ina $100. am gonna do it.Hahahahaa Mkuu Lodrick... Na mimi leo yamenikuta haya majanga yaliyokukuta... Nimechoma kianzio changu cha USD 200, ila ndo kukomaa huko no surrendering! Nimekutana na kitu kinaitwa NON-FARM PAYROLL duuhh... It was a Havoc!!
Nimeumia kimoyomoyo ila nimejifunza kitu!! Ngoja nisome tena nirudi live!! Sijui imekuwaje hiyo Non-Farm Payroll imenikumba hii ijumaa ya pili ya mwezi!! Wataalam wa SA hope watatueleza mengi!! Hahahahaaa Forex trading is real Challenging! Ukiwa na Moyo mwepesi kaa mbali kabisa na hii kitu!!
Real men are always Loyal and honnest, not only to others, but also they should be to themselves. Kitendo cha mimi kufunguliwa macho juu ya what is forex bussines kupitia huu uzi, ni wajibu wangu mimi na yanipasa kuwa Loyal na Honnest kwa aliyenifumbua macho coz naye amekuwa loyal na honnest kwetu toka mwanzo. For real men, loyalty and honnesty are paid back by doing same.
Na hivi vitadhihirishwa kwa kusubiri all signals of his katika hizi harakati. Tupo pamoja Ontario, tumeanza hili pamoja na i hope tutavuka pamoja. Hao wanaowaalika wakenya kuja kufundisha na wawaalike tuu, we are here to stay mpaka pale utakapokamilisha wewe. Hata kama ni kutafuta other materials nje ya circle yako, basi hilo litafuata baada ya kuwa umeshatupa ABC za ulichotuahidi.
WELL SAID FX NIMEJARIBU KUFUATILIA HUWEZ KUTA MTU ANAIFANYA FX PEKE YAKE LAZMA UKUTE WATU WAPO WAWILI AMA ZAIDI KAMA TEAMHahahaha. Acha utani.
Kufanya peke yako si mchezo mkuu.
Kama utapata nafasi ya kwenda kwenye training we nenda tu. Utapata maarifa mengi kwa muda mfupi.
Ukikomaa peke yako utakutana na 'bitter life' sometimes.
Nilifahamu forex 2012, nikaanza kutrade live 2014.
Hadi 2015 nimeshablow account kama mara 6 hivi.
Wakati huo hakukuwa na mentor wala mtu wa kutrain. Unasoma mwenyewe toka sources mbalimbali.
Baada ya kublow account 2015 nikaachana na kutrade hadi 2017 January.
Miaka miwili nilikuwa nasoma tu. Masaa 6 kwa siku natumia darasani.
So kufanya mwenyewe sio kazi nyepesi, inahitaji hustling ya kufa mtu.
Tickmill mbn haikubali tanzania.Nina account ya $5, plani ni kuwa mwisho wa mwezi ina $100. am gonna do it.
Namanisha within two weeks 95$ made on tickmill welcome account niliyoichoma mpaka $5