Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Niliset 1:100

kuhusu techniques, inategemea, ninalo fanya mm wewe linaweza lisikufae kabisa, unaloweza wewe mm lisinifae kabisa, hapa nakushauri usome,, ujaribu kila kitu, ipo sehem aina moja ambayo itakua inakuacha na tabasamu pana kila unapo itumia, hiyo hiyo ndio itakayokua inakufaa
ok, but ungeitaja hiyo technique yako basi ili niijaribu kama naweza kuiinua hii account yangu maana hii ni wk sasa naipandisha dola 20 mchana jion nikitrade zinapolomokaaa
 
ok, but ungeitaja hiyo technique yako basi ili niijaribu kama naweza kuiinua hii account yangu maana hii ni wk sasa naipandisha dola 20 mchana jion nikitrade zinapolomokaaa
Soma vitabu. Trading system ya mtu unaweza ukaiona kwako haikufai. Pia hata akikutajia lazma uijue undani wake yani when theres high probability setup when to exit where to place ur stop loss and take profit..na vitu ka ivo...

Maoni yangu tu

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Real men are always Loyal and honnest, not only to others, but also they should be to themselves. Kitendo cha mimi kufunguliwa macho juu ya what is forex bussines kupitia huu uzi, ni wajibu wangu mimi na yanipasa kuwa Loyal na Honnest kwa aliyenifumbua macho coz naye amekuwa loyal na honnest kwetu toka mwanzo. For real men, loyalty and honnesty are paid back by doing same.

Na hivi vitadhihirishwa kwa kusubiri all signals of his katika hizi harakati. Tupo pamoja Ontario, tumeanza hili pamoja na i hope tutavuka pamoja. Hao wanaowaalika wakenya kuja kufundisha na wawaalike tuu, we are here to stay mpaka pale utakapokamilisha wewe. Hata kama ni kutafuta other materials nje ya circle yako, basi hilo litafuata baada ya kuwa umeshatupa ABC za ulichotuahidi.
Jamaa umeongea Point hadi natamani kulia, Asante sana kuonyesha watu ufuata mfereji ulionyoka wala siyo. Wenye makona kona [emoji63] salute to you Soldier
 
Mkuu nilichokwisha kuamua ni moja kati ya haya mawili

Ni either kuhudhuria darasala Jeff or Kufanya kipekee yangu peke yangu kama Bavaria, baaasi, na si vinginevyo
Hahahaha. Acha utani.
Kufanya peke yako si mchezo mkuu.
Kama utapata nafasi ya kwenda kwenye training we nenda tu. Utapata maarifa mengi kwa muda mfupi.
Ukikomaa peke yako utakutana na 'bitter life' sometimes.
Nilifahamu forex 2012, nikaanza kutrade live 2014.
Hadi 2015 nimeshablow account kama mara 6 hivi.
Wakati huo hakukuwa na mentor wala mtu wa kutrain. Unasoma mwenyewe toka sources mbalimbali.
Baada ya kublow account 2015 nikaachana na kutrade hadi 2017 January.
Miaka miwili nilikuwa nasoma tu. Masaa 6 kwa siku natumia darasani.
So kufanya mwenyewe sio kazi nyepesi, inahitaji hustling ya kufa mtu.
 
nimeunguza account,nilipewa kianzio cha dollar 200 nikaipandisha hadi dollar 2320,leo nimenunua usd/jpy nikasahau kuweka SL nikatoka nje si nikajisahau kuwa nakaanga mayai na yako jikon kurudi nimekutana na masizi na nadaiwa mafuta ya dollar 27,hapa nimeweka kitabu kwapani naenda nyumban,sijui ni hili wenge la kufiwa
Kufungua position bila SL ni sawa na kutoka nyumbani bila kuvaa viatu.
 
Hahahahaa Mkuu Lodrick... Na mimi leo yamenikuta haya majanga yaliyokukuta... Nimechoma kianzio changu cha USD 200, ila ndo kukomaa huko no surrendering! Nimekutana na kitu kinaitwa NON-FARM PAYROLL duuhh... It was a Havoc!!
Nimeumia kimoyomoyo ila nimejifunza kitu!! Ngoja nisome tena nirudi live!! Sijui imekuwaje hiyo Non-Farm Payroll imenikumba hii ijumaa ya pili ya mwezi!! Wataalam wa SA hope watatueleza mengi!! Hahahahaaa Forex trading is real Challenging! Ukiwa na Moyo mwepesi kaa mbali kabisa na hii kitu!!

Hizo events ukiweza cheza nazo utafanikiwa sana ila ukizubaa akaunti ina safishwa!!

Katika maisha yangu nimejifunza ni mwiko kukata tamaa, yalishanikuta mengi anzia nyumbani mpaka chuoni, nakumbuka mwaka wa kwanza ilikua kidogo nirudi nyumbani daaaah hahahaaa ila nikakomaa kiume nikamaliza miaka yangu minne chuo!!!

Likewise even in forex, kunakupata na kukosa!! As a matter of fact, kwa hatua uliyofikia ukikata tamaa utakua umefanya kosa sana mkuu wangu!! tunaanguka tunajifunza then tunaendelea na safari!!

Ukipoteza pesa una gain experience!! so keep that spirit up!!!

Pole sana mdau!!
 
Kuna watz wanaroho mbaya sana..Baada ya kuona Ontario kasema analeta mentors watupige pindi wao nao wameanza kuleta wakenya wapige pindi. Jaman sio vibaya ila naona Kasi yenu imekuwa kubwa kuliko hata mwanzilishi wa hii hapa jamiiforum.

Alafu wanaenda na updates za Ontario, akisema zimebakia siku chache au 90% is complete, nao wanakazana.

Aisee Tz tusipokuwa fighters and see opportunities and fighty in other way, hakika tutabakiwa mazombe ya siasa.

Wahenga walishasema,

"Copy and paste is allowed but try to do it in stunning way"

BONGOLAND

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app

Hahahahahahaha…! (Vikumbo hivi ni Kama comedy vile)

Baba yangu mzazi aliwahi kuniambia kuwa, "kuna watu hapa mjini wana pesa lakini ni vilaza wakubwa wa kufikiri juu ya nini wazifanyie...!"

Kazi yao kubwa ni kufanya uviziaji wa mawazo ya wasaka tonge na kuyatekeleza ktk ufanisi ambao utasema lile wazo lilikuwa lake… I have seen this for multiple times Na ninaendelea kulishuhudia….!

Mind you guys, rafu kama hizi (ambazo kitaalamu wanaita ushindan wa kibiashara) kokote kule duniani haziwez kukosekana…. Na kulalamika won’t set us free…

Kwa mtazamo wangu, the only way kuepuka rafu, ushindani and the like ni kuishia hatua ya awal kabisa ya kazi za mjasiriamil ambayo ni kubuni wazo….. Nikiwa Na maana unabaki nalo moyoni, haufany utekelezaji wa aina yeyote ule.. Kitu ambacho itakuwa sawa Na bure…!

Na Kama ukifanya utekelezaji kitu ambacho ni muhimu na ni kama ishara ya kujiamini…. Kulalamika katika hatua hii won’t help zaidi ya kupoteza muda wa kufikiri namna ya kukumbana na changamoto hiyo....!

Mimi hili nililiona right from the start kipind ONTARIO ameamua kumwaga mchele kwenye kuku wengi…. Naamini hata ONTARIO pamoja Na Wakuu wengine walilitambua hili…!

Naamini pia, kwa mtu makini kama ONTARIO, suala hili tayari ameshaliwekea mpango mkakati tokea mwanzoni kabla ya kuliweka wazo hadharani….

Na kwa Wakuu wote, the best way to feel sorry for ONTARIO is by giving him advice on how to face the competition which is currently inevitable na si kwa kuwazonga washindani wake(sijui wanafanya hichi mara kile) na kuishia kulalamika….! Ni Kwa kuja Na mbinu mbadala ya nini kifanyike huku tukiwaenzi wahenga waliosema PENYE WENGI PANA MENGI…!

Mkuu naomba uniwie radhi kama nitakuwa nimekukwaza kukuquote...
 
Mkuu Bavaria umepotea sana boss
Nakukumbusha ile cheat sheet uliyotuahid mkuu

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app

Nakumbuka mkuu.

Hapo kati nilibanwa na mambo mengi.

Ile sheet nilishaiandaa ila sijapata mida kuitest kabisa.

Na kuitest inachukua muda sana ndo maana sijaiweka bado nisije kuwalisha mtango pori.
 
Nakumbuka mkuu.

Hapo kati nilibanwa na mambo mengi.

Ile sheet nilishaiandaa ila sijapata mida kuitest kabisa.

Na kuitest inachukua muda sana ndo maana sijaiweka bado nisije kuwalisha mtango pori.
What abt Corrilation pair sheet that you promised to share with ya herein few weeks ago... ???

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha. Acha utani.
Kufanya peke yako si mchezo mkuu.
Kama utapata nafasi ya kwenda kwenye training we nenda tu. Utapata maarifa mengi kwa muda mfupi.
Ukikomaa peke yako utakutana na 'bitter life' sometimes.
Nilifahamu forex 2012, nikaanza kutrade live 2014.
Hadi 2015 nimeshablow account kama mara 6 hivi.
Wakati huo hakukuwa na mentor wala mtu wa kutrain. Unasoma mwenyewe toka sources mbalimbali.
Baada ya kublow account 2015 nikaachana na kutrade hadi 2017 January.
Miaka miwili nilikuwa nasoma tu. Masaa 6 kwa siku natumia darasani.
So kufanya mwenyewe sio kazi nyepesi, inahitaji hustling ya kufa mtu.
kha.....ila nakuhakikishia kwa misuli inayopigwa humu kuna watu wataibuka kidedea bila hata ya kublow account zao.
 
Kuna watz wanaroho mbaya sana..Baada ya kuona Ontario kasema analeta mentors watupige pindi wao nao wameanza kuleta wakenya wapige pindi. Jaman sio vibaya ila naona Kasi yenu imekuwa kubwa kuliko hata mwanzilishi wa hii hapa jamiiforum.

Alafu wanaenda na updates za Ontario, akisema zimebakia siku chache au 90% is complete, nao wanakazana.

Aisee Tz tusipokuwa fighters and see opportunities and fighty in other way, hakika tutabakiwa mazombe ya siasa.
e as
Wahenga walishasema,

"Copy and paste is allowed but try to do it in stunning way"

BONGOLAND

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app

Du kumbe watu moto kiasi hicho...hio ndio sifa ya MTZ ni bingwa wa copy paste... For me it is okey as long as hawamchafui mtu...wamepunguza competition ya watu 150 ya kwanza,, so wameamua kujiongeza waanze kupata solid knowledge from other source. Let them go.....Wahenga walisema mtoto akililia wembe mpe......
If you can't beat them join them
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
😛😛😛😛😛😛😛😛😛Swali la kizushi na wew upo nao??? ila umeamua kutupa ubuyu...just kiding😛😛😛😛😛😛😛
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
What abt Corrilation pair sheet that you promised to share with ya herein few weeks ago... ???

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Hujaelewa ulicho-quote hapo.
 
Hahahahaa Mkuu Lodrick... Na mimi leo yamenikuta haya majanga yaliyokukuta... Nimechoma kianzio changu cha USD 200, ila ndo kukomaa huko no surrendering! Nimekutana na kitu kinaitwa NON-FARM PAYROLL duuhh... It was a Havoc!!
Nimeumia kimoyomoyo ila nimejifunza kitu!! Ngoja nisome tena nirudi live!! Sijui imekuwaje hiyo Non-Farm Payroll imenikumba hii ijumaa ya pili ya mwezi!! Wataalam wa SA hope watatueleza mengi!! Hahahahaaa Forex trading is real Challenging! Ukiwa na Moyo mwepesi kaa mbali kabisa na hii kitu!!
Nina account ya $5, plani ni kuwa mwisho wa mwezi ina $100. am gonna do it.
Namanisha within two weeks 95$ made on tickmill welcome account niliyoichoma mpaka $5
 
Habari wadau. Naomben msaada aliye na astro fx anisaidie na mm niongeze maujuzi

Sent from my GT-N7105 using JamiiForums mobile app
 
Real men are always Loyal and honnest, not only to others, but also they should be to themselves. Kitendo cha mimi kufunguliwa macho juu ya what is forex bussines kupitia huu uzi, ni wajibu wangu mimi na yanipasa kuwa Loyal na Honnest kwa aliyenifumbua macho coz naye amekuwa loyal na honnest kwetu toka mwanzo. For real men, loyalty and honnesty are paid back by doing same.

Na hivi vitadhihirishwa kwa kusubiri all signals of his katika hizi harakati. Tupo pamoja Ontario, tumeanza hili pamoja na i hope tutavuka pamoja. Hao wanaowaalika wakenya kuja kufundisha na wawaalike tuu, we are here to stay mpaka pale utakapokamilisha wewe. Hata kama ni kutafuta other materials nje ya circle yako, basi hilo litafuata baada ya kuwa umeshatupa ABC za ulichotuahidi.

Hahahaha. Acha utani.
Kufanya peke yako si mchezo mkuu.
Kama utapata nafasi ya kwenda kwenye training we nenda tu. Utapata maarifa mengi kwa muda mfupi.
Ukikomaa peke yako utakutana na 'bitter life' sometimes.
Nilifahamu forex 2012, nikaanza kutrade live 2014.
Hadi 2015 nimeshablow account kama mara 6 hivi.
Wakati huo hakukuwa na mentor wala mtu wa kutrain. Unasoma mwenyewe toka sources mbalimbali.
Baada ya kublow account 2015 nikaachana na kutrade hadi 2017 January.
Miaka miwili nilikuwa nasoma tu. Masaa 6 kwa siku natumia darasani.
So kufanya mwenyewe sio kazi nyepesi, inahitaji hustling ya kufa mtu.
WELL SAID FX NIMEJARIBU KUFUATILIA HUWEZ KUTA MTU ANAIFANYA FX PEKE YAKE LAZMA UKUTE WATU WAPO WAWILI AMA ZAIDI KAMA TEAM
Nimesoma dumies, Naked forex, astro FX, candelstic patern, you tube Ila sasa naona nitafute mtu wa kusoma nae, kurudishiana nae idea za FX mana kuna vitu haviingii kabisa kwenye TABULARASA (brain). Asante kwa food for thought.

hahaha napenda hili neno UKISHIKWA MKONO NAWE JISHIKE
 
Nina account ya $5, plani ni kuwa mwisho wa mwezi ina $100. am gonna do it.
Namanisha within two weeks 95$ made on tickmill welcome account niliyoichoma mpaka $5
Tickmill mbn haikubali tanzania.

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Nina akaunt ya demo ilikuwa na $100 lakin naona kila siku inazidi kushuka tu...inafika hatua nasema sijui niachane na hii kitu maana kila tecnique nayojaribu ili nikuze hii akaunt inafeli kabisaa..eeh mungu nisaidie niwe jasiri
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom