Kuna watz wanaroho mbaya sana..Baada ya kuona Ontario kasema analeta mentors watupige pindi wao nao wameanza kuleta wakenya wapige pindi. Jaman sio vibaya ila naona Kasi yenu imekuwa kubwa kuliko hata mwanzilishi wa hii hapa jamiiforum.
Alafu wanaenda na updates za Ontario, akisema zimebakia siku chache au 90% is complete, nao wanakazana.
Aisee Tz tusipokuwa fighters and see opportunities and fighty in other way, hakika tutabakiwa mazombe ya siasa.
Wahenga walishasema,
"Copy and paste is allowed but try to do it in stunning way"
BONGOLAND
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Hahahahahahaha…! (Vikumbo hivi ni Kama comedy vile)
Baba yangu mzazi aliwahi kuniambia kuwa, "kuna watu hapa mjini wana pesa lakini ni vilaza wakubwa wa kufikiri juu ya nini wazifanyie...!"
Kazi yao kubwa ni kufanya uviziaji wa mawazo ya wasaka tonge na kuyatekeleza ktk ufanisi ambao utasema lile wazo lilikuwa lake… I have seen this for multiple times Na ninaendelea kulishuhudia….!
Mind you guys, rafu kama hizi (ambazo kitaalamu wanaita ushindan wa kibiashara) kokote kule duniani haziwez kukosekana…. Na kulalamika won’t set us free…
Kwa mtazamo wangu, the only way kuepuka rafu, ushindani and the like ni kuishia hatua ya awal kabisa ya kazi za mjasiriamil ambayo ni kubuni wazo….. Nikiwa Na maana unabaki nalo moyoni, haufany utekelezaji wa aina yeyote ule.. Kitu ambacho itakuwa sawa Na bure…!
Na Kama ukifanya utekelezaji kitu ambacho ni muhimu na ni kama ishara ya kujiamini…. Kulalamika katika hatua hii won’t help zaidi ya kupoteza muda wa kufikiri namna ya kukumbana na changamoto hiyo....!
Mimi hili nililiona right from the start kipind ONTARIO ameamua kumwaga mchele kwenye kuku wengi…. Naamini hata ONTARIO pamoja Na Wakuu wengine walilitambua hili…!
Naamini pia, kwa mtu makini kama ONTARIO, suala hili tayari ameshaliwekea mpango mkakati tokea mwanzoni kabla ya kuliweka wazo hadharani….
Na kwa Wakuu wote, the best way to feel sorry for ONTARIO is by giving him advice on how to face the competition which is currently inevitable na si kwa kuwazonga washindani wake(sijui wanafanya hichi mara kile) na kuishia kulalamika….! Ni Kwa kuja Na mbinu mbadala ya nini kifanyike huku tukiwaenzi wahenga waliosema PENYE WENGI PANA MENGI…!
Mkuu naomba uniwie radhi kama nitakuwa nimekukwaza kukuquote...