Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Umesomeka vyema sana,

everything is under consideration
nikimaanisha hata MHENGA MKUU (ONTARIO) alipoanzisha huu uzii alijua mambo kama hata yapo,
Alijua JF pia kuna FX traders, kuna waliomfuata WAKAMKOROMEA kwa nini kaleta uzi kama huu, kuna WALIOMPONGEZA pia.
Hapa kwenye huu uzi pia kuna FX TRADERS wakongwe na wamekua wakisaidia naive kama mimi na wengine kuweza kujua nini cha kufanya kabla hawajapata kile MHENGA MKUU alichokua amedhamiria

ONTARIO lengo lake ni kusaidia watu wabadili maisha baada ya kuona kuna posibility kubwa ila sio kana kwamba wote wataelewa na kuifanya FX.

KITU alichosema SOMENI VITABU, FANYENI PRACTICE, ALAFU SOMENI TENA, na akatoa na list ya vitabu vya kusoma, maana hata yeye anasoma sana vitabu vya FX
Source za material pia zipo online na nyingine ndio kama hzo juhudi watu wanafanya ili atleast watu waelewe FX na sidhani kama wana nia ya kumkatizia ONTARIO kwa mbele.

alafu cha mwisho mara zote kuna the best na the first, ONTARIO sio the first in FX ila ni BEST FX TRADER hapa TZ kwa kuwa amedare kuileta hadharani na kusimamia Mpango wake kwa watz kujua FX.

My take to JF FX lets read and dig knowledge.
 
Well noted Mkuu..
 
Huyu bushiri ni nabii anajiita

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
kha.....ila nakuhakikishia kwa misuli inayopigwa humu kuna watu wataibuka kidedea bila hata ya kublow account zao.
Ku-blow account is inevitable. Every single pro trader has done it, several times. Ukijipa moyo huta-blow account yako kwa sasa unajiwekea mazingira hatarishi sana. Kusoma sana vitabuni hakuna uhusiano wa moja kwa moja na mafanikio, kuna skills ambazo hupatikana kwa uzoefu tu. Na ndio maana hata pro wana mentors.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nina akaunt ya demo ilikuwa na $100 lakin naona kila siku inazidi kushuka tu...inafika hatua nasema sijui niachane na hii kitu maana kila tecnique nayojaribu ili nikuze hii akaunt inafeli kabisaa..eeh mungu nisaidie niwe jasiri
Hii mambo iko complicated sana sio rahis kama inavyothaniwa by the way mwanzo mgumu.... one day yes.. kama yeye ameweza na sisi tushindwe tuna nn

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Hii mambo iko complicated sana sio rahis kama inavyothaniwa by the way mwanzo mgumu.... one day yes.. kama yeye ameweza na sisi tushindwe tuna nn

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
kweli kabisa boss
 

Watu wengi wanashindwa kunielewa guys. Let me be clear!!

Mimi sina ushindani na mtu yoyote, I don't compete with anyone, I only compete with own myself and set goals.
Wakenya wanakuja kutoa training, that's something we should all be proud of. Inanipa moyo kwamba hivi vitu vyote havikuwepo hapo nyuma (kama vilikuepo basi kwa rate ya chini), but Ontario kawa eye opener. So, ni jambo la kheri kama watu wakitumia huu mwanya kupata knowledge ya forex. It's q beautiful thing - na nikianza ndio watakuja wengi zaidi, which is advantage kwetu sote ktk hii vita ya kutafuta uhuru wa kiuchumi.

Kuna mtu anasema kua labda watu wananitangulia kisa sina pesa... Ni pesa kubwa kiasi gani hadi inishinde?? Kitu kinachonichelewesha ni the whole process ya kuhakikisha kua the programme is sustainable, yani hata nikifa - still someone can push it at the same intended goals. Hiyo ndio the hardest part of it, not money.

Kitu ambacho kitanidepress ni pale watu watakapopewa substandard knowledge at higher fees. Nipo kwenye group 1 la FX, nimeingia asubuhi hii. They are actually organising Wakenya waje for training. Cha kushangaza hao wakenya hata nauli na hela ya maji hawana, inabidi watu wawachangie ndio waje, sasa hivi wanajimobilize elfu 50 - 5p. Mimi nashangaa ni trader gani atakosa pesa ya flight, kwa KQ hua nalipa $190. Trader anataka achangiwe pesa ya accommodation na msosi akiwa Dar. Yani mimi ninachoogopa ni pale watu watakapolishwa matango pori, then jina la forex liharibike na mwishoe forex ionekane kama utapeli. Hicho ndicho kinachoniogofya zaidi. That's all.

Kuhusu jamaa aliyechoma account jana
It was just a bad day, not a bad trade. Ulifanya analysis safi na ukaexecite trade nzuri. Jana kulikuwa na news ambazo awali kwa mujibu wa forecasters zilionekana kuwa positive kwa USD, hata zilipotoka zilibidi ziwe neutral, lkn investors waliamua USD iwe bearish. So, hata mimi binafsi nilipoteza some of the profits which I had accumulated earlier. Ukweli ni kwamba no 1 on earth has immune against the markets bad movement, lkn kila siku tunajitahidi kulijua soko zaidi na zaidi ili at least we can always make 7 good trades out of 10 trades we execute.

Asitokee wa kukudanganya kua forex is holy grail ama ni get rich quick scheme no no. The market is so tricky na saa zingine inaweza kukudhalilisha vby sana kama hauna patience. Lkn kila siku soko linapresent opportunities kwa traders wanaoelewa nini wanafanya sokoni. So, kama ulichoma account, stay back analyse nini kosa. Usije ukakurupuka, soko halitaki wakurupukaji - otherwise fx won't be sexy for you. Unahitaji high level of patience and integrity, uwe na nidhamu ya hali ya juu kbs, uheshimu analysis yako. All in all, the market gives us opportunity to earn real money as well as it present us opportunity to learn everyday. Hata mimi ni mwanafunzi kila siku.

Zaidi ya yote mimi niwapromise tu kuwa, at all cost - tutapambana hadi kieleweke, safari yaweza kua ndefu lkn mwisho hua ni mtamu. That's all.
 
kiukweli mimi sitaenda popote pila darasa la ontario hata kama ni mwakani nitalisubiri tu,nilichojifunza ni kuwa wavumilivu na wapole pale ambapo hatuelewi tuulize,cause fx ni kama mtoto mchanga endapo utakosea kumpa chakula bora lazima mototo atapatwa na kwashakoo au utapia mlo na akikua hata uje umpe balance diet lazima atachukua mda mrefu kurecover,
 
Wazo poa sana

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Wahenga walisema mvumilivu hula mbivu. kila napoona post ya mhenga mwanzangu Ontario napata matumaini mapya kila siku. Nasubiri darasa lako kwani haraka haraka aina baraka na daima mwenda pole hajikwai.
 
Tutengeneze whatsapp group ya traders

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Umeongea ukweli mtupu. Likewise huwezi jifunza kuendesha baiskeli bila kuanguka nayo!!
 
Pambana mkuu wahuni wa kuvizia account wapo kila sehemu Duniani kote ndio utandawazi.

Post sent using JamiiForums mobile app
 

Mkuu sio jambo la ajabu watu kutoelewa dhamira ya mtu, hata umwambie kwa machozi cozi ndivyo binadamu tulivyoumbwa.. Ila wapo wachacho watakao kuelewa na ndio watakua dira ya nn ulichokua unakimaanisha..
Kila binadamu ana uhuru wakuamua nakuchagua atakacho,, Hivyo hata hao waliochakua haraka mpaka kuleta wakenya ni maamuzi yao..
Ila nikuhakikishie tupo wengi tulio iona dhamira yako na tupo nyuma yako tukiamini ule msema wa wahenga kua pole pole ndio mwendo..
Kwani hata bila ww me ningeijulia wapi fx.. Hivyo sion haja ya haraka mkuu.. Tuko pamoja hata kama ni mwakani..
 
Wezi waongo...kuna Mdada ameliza watu ktk watsap group kwa kujitambulisha kama maana forex.. Mwisho wa siku akaingia mitin na pesa za watu

Sent from my thl 2015A using JamiiForums mobile app
"Msema kweli mpenzi wa Mungu." Kama asemavyo Magufuli.
Hatahivyo, msikate tamaa na wahuni wachache. Kwenye Forex trading kuna pesa!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
I dont think kama kuna tatzo mkuu..otario mwenyewe karuhusu so calm down.. Acha tujifunze wengine vichwa vyetu vilishakutana na mambo mengi tunahitaji hz training mara nyingi
Pamoja sana Muhenga mwenzetu! Kaka tuko pamoja mwanzo mwisho na mwisho wa siku tutaiandika da best history. Na kama ni dude tushaliamsha kitambo mkuu


Ukikwama usione soo piga 0757869930


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…