nimetaja ndani ya mwezi mmoja.sijui wana taka nini tena.Mkuu mbona unaulizwa swali alafu unajibu vingine.
Are you serious for what you have expressed before??
Hahaha, labda anataka umjibu kwenye post yakenimetaja ndani ya mwezi mmoja.sijui wana taka nini tena.
Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu Kuna post moja ulisema unaachana na kilimo, au Ndio unajiandaa andaa? MIMI NDIE YULE MUHENGA NILIYESEMA "KAMA MNATAKA MALI MTAZIPATA SHAMBANI"These stuffs are more tangible and real, could you please emphasise more on these mkuu.
Regards
hii ni kwa kiswahili soko la hisa au biashara ya kuangalia thamni ya kitu hiwe pesa,bizaa,nchi,uchumi,siasa n.k.kumbuka kuwa wahenga wana sema.anaye kupandisha ndiye anaye kishusha.basi forex ndivyo ana tumiaBible of forex MSAADA PAGE YA ngapi
Post sent using JamiiForums mobile app
Vizuri sana mkuu kilimo kina lipa ukiwa serious pia nichukue fursa hii kuwaambia tu wana member Magroup mnayojiundia huko ya WhatsApp mkitapeliwa msije kusema huku jukwaani.Watanzania hawako serious kabisa unajisajili kushiriki coz isitoshe na kulipa utalipa MTU humjui ofisi hujui iko wapi asee kuweni serious Why watu wanakuwa wazembe hivi we ulipie kusoma then itakusaidia nn akati hata Broker humjui ni nan na majukum yake asee watu hawataki kufungua vichwa waelewe cjui kwa nn ma group haya uki challenge unaondolewa niliingia kudukua kinachoendelea huku siku so nyingi watu watapigwa kimjini.Weekend haijapoa, wewe ndio umepoa boss wangu. Something should always keep you busy sheikh wangu - all times, ht kama ni kula bata au kusoma gazette.
Mimi natumia leo na kesho kukagua my other real life businesses. Never ever depend on 1 source of income alisema Muhenga Warren Buffet (Mentor wa Bill Gate)
Watu wengi wanashindwa kunielewa guys. Let me be clear!!
Mimi sina ushindani na mtu yoyote, I don't compete with anyone, I only compete with own myself and set goals.
Wakenya wanakuja kutoa training, that's something we should all be proud of. Inanipa moyo kwamba hivi vitu vyote havikuwepo hapo nyuma (kama vilikuepo basi kwa rate ya chini), but Ontario kawa eye opener. So, ni jambo la kheri kama watu wakitumia huu mwanya kupata knowledge ya forex. It's q beautiful thing - na nikianza ndio watakuja wengi zaidi, which is advantage kwetu sote ktk hii vita ya kutafuta uhuru wa kiuchumi.
Kuna mtu anasema kua labda watu wananitangulia kisa sina pesa... Ni pesa kubwa kiasi gani hadi inishinde?? Kitu kinachonichelewesha ni the whole process ya kuhakikisha kua the programme is sustainable, yani hata nikifa - still someone can push it at the same intended goals. Hiyo ndio the hardest part of it, not money.
Kitu ambacho kitanidepress ni pale watu watakapopewa substandard knowledge at higher fees. Nipo kwenye group 1 la FX, nimeingia asubuhi hii. They are actually organising Wakenya waje for training. Cha kushangaza hao wakenya hata nauli na hela ya maji hawana, inabidi watu wawachangie ndio waje, sasa hivi wanajimobilize elfu 50 - 5p. Mimi nashangaa ni trader gani atakosa pesa ya flight, kwa KQ hua nalipa $190. Trader anataka achangiwe pesa ya accommodation na msosi akiwa Dar. Yani mimi ninachoogopa ni pale watu watakapolishwa matango pori, then jina la forex liharibike na mwishoe forex ionekane kama utapeli. Hicho ndicho kinachoniogofya zaidi. That's all.
Kuhusu jamaa aliyechoma account jana
It was just a bad day, not a bad trade. Ulifanya analysis safi na ukaexecite trade nzuri. Jana kulikuwa na news ambazo awali kwa mujibu wa forecasters zilionekana kuwa positive kwa USD, hata zilipotoka zilibidi ziwe neutral, lkn investors waliamua USD iwe bearish. So, h
You don't know anything mawazo finyuuVizuri sana mkuu kilimo kina lipa ukiwa serious pia nichukue fursa hii kuwaambia tu wana member Magroup mnayojiundia huko ya WhatsApp mkitapeliwa msije kusema huku jukwaani.Watanzania hawako serious kabisa unajisajili kushiriki coz isitoshe na kulipa utalipa MTU humjui ofisi hujui iko wapi asee kuweni serious Why watu wanakuwa wazembe hivi we ulipie kusoma then itakusaidia nn akati hata Broker humjui ni nan na majukum yake asee watu hawataki kufungua vichwa waelewe cjui kwa nn ma group haya uki challenge unaondolewa niliingia kudukua kinachoendelea huku siku so nyingi watu watapigwa kimjini.
Post sent using JamiiForums mobile app
Waswahili bwana mnatabu! Kwahiyo $36 ikakuwezesha kupata kadi ambayo inaonyesha ni prepaid? Inaonekana wengi humu hamuelewi nini ni Forex Trading kwa kukurupuka tu bila kujifunza ipasavyo. Ebu tu enlighten kidogo kuhusu hiyo kadi. Wenye hiyo kadi ni nani?ni lianza na usd 7 ndani ya mwezi mmoja ni mefikisha usd 36 na nikaweza nunua kadi na kutumia kupitia mashine yoyote
Afiche ID wakati ina usd36 au zitakuwa zimeshaliwa by now! Na id gani hisiyo na sura!? There is nothing to hide there for Christ sake!Ficha ID yako mkuu au umeamua Ku disclose
we kijamaaaaa chenga sanaaaaSasa Ontario mbona hatukuon ukiendesha tractor kulima? Wazungu wa SA, Zimbabwe, USA na Europe wanalima wenyewe siyo kutegemea maskini wawalimie! Wao wanalima, masikini/wafanyakazi wanavuna na kusort out mazao. Nyiye mmevamiamia mashamba ya masikini kwa visenti vyenu na kuwalipa peanuts wenyeji, alafu mnajiita wakulima!
Nyinyi ni wajasiliamali ambao mmezulumu land ya wenyeji masikini sababu ni wajanja mnajua fiddling around huko ardhi mkafanikiwa.
Kilio cha hao masikini uliowapiga picha ku show off kumefika mbinguni mjomba! Zurma zurma zurma.
I'm back msema kweli mpenzi wa Mungu! Magufuli oyeeee!
Post sent using JamiiForums mobile app
Broker atakushauri vipi uhuze au ununue? Kweli mmechoka akili sasa! Kilichobakia njaa tupu!Ontario, natamani uanzishe mpango wa kututumia signals kisha tuwe tunalipia!
Ni mwendo wa kusema uza/nunua
Post sent using JamiiForums mobile app
Wewe ni Ontario?Broker atakushauri vipi uhuze au ununue? Kweli mmechoka akili sasa! Kilichobakia njaa tu!
Msema kweli mpenzi wa Mungu...Magufuli oyeeeeee!
Post sent using JamiiForums mobile app
Unamsumbua Ontario usiku wote na njaa zako. Watu wamelala wewe unaleta habari ya "signal" utengeneze pesa kama unaokota jalalani! Nenda kazoe taka utapata pesa[emoji23] [emoji23]Wewe ni Ontario?
Post sent using JamiiForums mobile app
Naona unatafuta kiki tuu maana hata unachokiongea hukijui! In short swali halikuhusu wewe!Unamsumbua Ontario usiku wote na njaa zako. Watu wamelala wewe unaleta habari ya "signal" utengeneze pesa kama unaokota jalalani! Nenda kazoe taka utapata pesa[emoji23] [emoji23]
Post sent using JamiiForums mobile app
Unataka signal kiraisi raisi? Hivyo unafikiri ma broker wapo kwa ajili ya kukunufaisha wewe kwa kukupa signal?Duh! wewe una mawazo ya ajabu sana.Naona unatafuta kiki tuu maana unachokiongea hukujui! In short swali halikuhusu wewe!
Post sent using JamiiForums mobile app