Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kwani ni lazima utrade kwa indicator?
Mkuu hizo patterns ni part ya naked trading, na sio indicators, indicators ni kama Ma, rsi, bb, na nyinginezo
, back to your question: mapros wote nliowaona wanatrade fx wanapiga naked , stock market tu ndo wanatumia indicator ya volume basiii, hivyo kwangu mimi sio lazima
 
indicators nazitumia kama confirmation tu..yani tayari nimeshafanya analysis yangu nikajua soko likifika hapa litashuka au litapanda...ila zina disadvantage ya lagging hivyo zinachelewesha sana..hivyo nafungua position kwa robo ya 2% yangu pindi tu ninapoona entry point imefunguka kisha nikangoja indicators ziconfirm hiyo entry point na kufungua position ingine ya the other three quarter ya 2% yangu..ila nataka niboreshe hii strategy
 
Ontario anatumia Support na Resistance tu. Akizidisha sana Fibonacci (Ontario is my forex trading personality) Hahaaa

Post sent using JamiiForums mobile app

Boss, ulimquote vibaya. Hakuna sehemu ontario aliyosema anatumia anatumia support and resistance pekee na Fibonacci.

To be a succesful trader requires combination of skills not only support and resistance nor fibonacci.
 
Very interesting business ONTARIO, nimependa jinsi ulivyo elezea. Wewe ni kichwa sana mkuu.

Hata nikikosa nafasi ya Kufanya hii forex business, lkn umenipa somo kubwa ktk maisha na spirit ya mafanikio.

Nitaendelea kukufatilia kiukweli
 
Boss, ulimquote vibaya. Hakuna sehemu ontario aliyosema anatumia anatumia support and resistance pekee na Fibonacci.

To be a succesful trader requires combination of skills not only support and resistance nor fibonacci.
Uko sawa kwa namna moja mkuu....lakini hujanisoma. Nimesema kwenye mabano, nina other personality named Ontario[emoji3] nikianza kusoma tu Forex...najiuliza What Would Ontario (or any other Pro) Do?
Na kwa sababu wengi wao wanaenda na hivyo vitu vitatu/vinne aka Price Action (Support, Resistance, Trendline na Fibo),nami nahamishia nguvu kwenye hivyo kwanza.
Honestly, sijaona wengi wanatumia ichimoku

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
 
Hawatoi sababu za msingi, lkn hawataki watu wajue biashara hii ni aina ya mbinu ya kukuvunja moyo, wengi wamekumbana na tatizo hili
Wakiwa wanazingua sana basi tutahamia South Africa tukafanye trade na maisha uko uko kwani nini bhana au mnasemaje wana Forex maisha popote

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
ANGALIZO
nina wapa tahadhari msijaribu ku trade kwa kutumia akaunti ya BANK YA CRDB..WATABLOCK PESA.
TUMIENI EQUITY NA FNB AU SKRILL AKAUNTI

Daaa leo nime withdraw $ zangu IQ Option nime direct kwenye card yangu. Kwaiyo nimeshapoteza Pesa usiniambie. Maana natumia CRBD Bank
 
Kuna jamaa kajifunza Forex for more than five years.yeye anatumia sana Renko chart analysis ambayo ni kama iko supported na theory za naked Forex.yaani kwa kutumia Renko chart tu.ambayo has got no noise of time and volume.anapata kujua entry point na exit point.na Renko chart kikubwa inakupa overbought state na oversold state.ambayo inakupa picha clear ya uptrend Au downtrend.na inakuonyesha retracement zote zinazotokea ambazo kwa pro trader it's nothing as long as ushakuwa confirmed na Trend.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…