Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
kuna watu si wa zuri kwenye forex wameingia na kujifanya wachezeshaji wakubwa kumbe ni matapeli.si kila forexy unayo hiona ukajua ni nzuri ni kazi kujua forexy itakayo kuwa nzuri kwako.
 
Kuna jamaa kajifunza Forex for more than five years.yeye anatumia sana Renko chart analysis ambayo ni kama iko supported na theory za naked Forex.yaani kwa kutumia Renko chart tu.ambayo has got no noise of time and volume.anapata kujua entry point na exit point.na Renko chart kikubwa inakupa overbought state na oversold state.ambayo inakupa picha clear ya uptrend Au downtrend.na inakuonyesha retracement zote zinazotokea ambazo kwa pro trader it's nothing as long as ushakuwa confirmed na Trend.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app

Unamzungumzia Joseph Nemeth.? Maana trader huyu ana idea za ajabuajabu sana ambazo hazioani na most traders.
 
Unamzungumzia Joseph Nemeth.? Maana trader huyu ana idea za ajabuajabu sana ambazo hazioani na most traders.
Hpn sio Nemeth,yeye ni mbongo hapahapa tz,,Joseph Nemeth na yeye ana concepts kama hizo kuna video moja anazungumzia strategy ya Haiken Ashi ambayo kidogo inafanana na Renko chart,,ila ndio yeye anakuambia never ever put a Stop Loss or TP,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii ni sehemu ya uchezaji wa forex ambayo na fanya kama mtu niliye anza na dola 7 usd.na jua wapo wanao penda kukwaza wenzao kwa kila jambo. elimu yake ni nzuri kama ukijua
af6440a43e47689f491f6c214a4acb36.jpg


Sent from my SM-G928C using JamiiForums mobile app
Una tumia Platform gan hii mkuu!!

Sent from my iphone 6s using Jamii Forum Mobile app
 
jamaa angu signal hazitakusaidia zpo kila kona wanatoa hzo vtu
kikubwa pata knowledge na tading strategies ndo kkubwa kwny hii game
huyo unaetaka akupe signal ye angefanya ivo asingekua leo hii na uwezo wa kusema yuko tayar kufundisha wengine.
an mkuu upate chanc ya kuonana na mtu yeyote aliefankiwa ktka forex afu ukaomba signal hata ye mwenyw atakushangaa
buh anyways n mawazo yko
"fish for me and i will eat for today, but teach me how to fish and i will eat for the rest of my life"

Post sent using JamiiForums mobile app
Kununua signal haimaanishi kwamba sina knowledge bali inaniwezesha ku-trade kila siku bila kutumia mda mwingi kufuatilia! Wewe kununua juice ya embe haimaanishi kwamba huwezi tengeneza!

Hii ni fursa kwa Ontario kwa kuwa anaanzisha broker yake! Chukulia apate watu 2000 ambao kwa mwezi wanamlipa laki moja kwa kutumiwa signal kila siku anakuwa ametengeneza sh ngapi!!

Pia sidhani kama watu wote watai-master km inavyotakiwa hivyo suluhisho ni hilo!

Akianzisha Ontario hatakuwa wa kwanza bali pia wapo wanaofanya hivyo.

Sijisikii vizuri kununua signal kwa Msauzi wakati Ontario yupo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si lazima, Pros wanarecomend utumie price action. Ila indicators ukizitumia zaidi ya tatu ziinaweza kukupa picha halisi ya soko na trend. Hivi vinaipa uzito zaidi price action yako utakavyoisoma.
Dah kumbe mimi napitwa, basi mimi nimezoea kutrade kwa kutumia Double top&Bottom, Last Kiss, Big Belt, Big Shadow na Kangaroo tail.. Na huwa nagonga profit kama kawa
 
dah tamuje je forex yaan leo nimecheza hadi nimegonga kamilio moja wandugu,deposit liliweka 500 dollar laverage nimeweka 100:1 volume 0.10 acha nifurahie nafanikio ya demo i wish one day nitaweza make kwenye really live
 
Dah kumbe mimi napitwa, basi mimi nimezoea kutrade kwa kutumia Double top&Bottom, Last Kiss, Big Belt, Big Shadow na Kangaroo tail.. Na huwa nagonga profit kama kawa

Yah, hizo kangaroo tail, double top, double bottom, wedges, channels, nk ndo price actions zenyewe, ukifanya top down analysis vyema. Indicators huwa zinatumika tuu kusupport tuu. High probability of winning itakuwa on your side.
 
Hawatoi sababu za msingi, lkn hawataki watu wajue biashara hii ni aina ya mbinu ya kukuvunja moyo, wengi wamekumbana na tatizo hili
Mm imenikuta kwa ecobank,waliblock acc yangu kisa waliona transactions nyingi,nikauliza mbona namba yangu na email wanavyo,walishindwa kuwasiliana na mm!?

Last week nimewithdraw kaprofit kadogo kutoka kwa acc yangu ya forex,naambiwa natakiwa kusubiri cku 7,nikiitoa tu nahama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa yuko na acc fnb kanambia yeye anatoa hela in two days.

Sent using Jamii Forums mobile app

Barclays inatambua Forex na wana account kabisa ko unaweza ukafungua 2 in 1 yaan accoount 1 ikawa saving na hiyo hiyo ikawa forex acc sema unapewa namba 2 tofauti za account, ko kama ukitumiwa pesa zako za forex zinaenda kwenye acc yako ya forex na unatoa bila wasi wasi kwa ATM
 
Barclays inatambua Forex na wana account kabisa ko unaweza ukafungua 2 in 1 yaan accoount 1 ikawa saving na hiyo hiyo ikawa forex acc sema unapewa namba 2 tofauti za account, ko kama ukitumiwa pesa zako za forex zinaenda kwenye acc yako ya forex na unatoa bila wasi wasi kwa ATM
Duh,ntaenda kwao aisee,asante mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom