kemashafe
Senior Member
- Mar 25, 2013
- 138
- 59
ooonh niliangalia vibaya mkuuUna uhakika huu uzi ni wa 2013?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ooonh niliangalia vibaya mkuuUna uhakika huu uzi ni wa 2013?
Take ur time forex haitakuacha,kuna vitabu wakuu wamepost humu,mkuu ontario kashauri tusome astrofx.ooonh niliangalia vibaya mkuu
Ilikuwa GBPUSDPole sana mkuu....ulikuwa unatrade pair gani mpaka ukachoma Account???
😀 😀 hizi vitu nlishindwa kuzielewa kabisa
nitazisoma nizielewe mkuu..ila kwa vile sina mpango wa kuzijumuisha katika strategy yangu ya analysis sitazipa huo uzito...vipi kuhusu cypher patterns?..Hahahaaa, hizo mambo ndo miongoni mwa mambo nilizorudia kusoma wiki nzima, ilinippa tabu sana kuzielewa, Ila mpaka sasa naweza sema 50% nimeelewa. Siri ya kuelewa hizi mambo, jaribu kusoma forex bible wameelezea vizuri, usipoelewa ingia youtube andika keyword ichimoku, utaletewa nyingi tuu. Chagua video tano uziangalia, mpaka zinamalizika utakuwa ushapata idea.
woow Bro upo nondo kwa kweli kila wakati nimekuwa najifunza na sijawahi kuchoka , kusoma chochote unachoandika .I know Andile Mayisela, boss mimi si newbie trader I know most things out there. Nitamleta Bongo. I really respect him, he is a smart trader.
nitazisoma nizielewe mkuu..ila kwa vile sina mpango wa kuzijumuisha katika strategy yangu ya analysis sitazipa huo uzito...vipi kuhusu cypher patterns?..
hahaa...mkuu umeiweka sawa sana..ndio manake nikasema nitaisoma niifahamu just incase..mimi ni mwanabiashara nafahamu faida ya plan B..hutegemei plan moja tu...utategemea fibonacci kisha ukapata soko halina uhalisia wowote katika price action..yani halipandi halishuki kitu kiko kwenye range pattern..kufikia muda huu nimefanya combinations kama nne vile zinazonifaa sana ila sijakuwa na strategy niliyohusisha ichimoku...wacha niifanyie kazi..You never know, Usiseme huna mpango wa kuingiza katika strategy zako. Huwezi kutrade kwa single strategy na ukafanikiwa, Yu need combination of strategies to have a near to perfect outcome. So far mpaka sasa nilivyosoma ichimoku ni moja ya reliable indicators na inakupa vitu vingi katika single look, Ukiichukua hii ukaicombine na price action patterns, plus other indicators like stochastic. mwisho wa siku unapata fine guts za kuingia katika trade.
Toolbox ya fundi inabeba zana zote, pasipo kujali kazi unayokwenda kufanya. Yawezekana wewe ukabeba brush pekee ukijua unaenda kufanya kazi ya kupaka rangi, ukashangaa unafika site ngazi ukaikuta ni fupi, inakuhitaji uwe na nyundo na misumari ili uweze kuongeza urefu wa ngazi uliyoikuta ili ufanikishe kazi yako ya kupaka rangi.
Mkuu una mawazo kama yangu, nataka kumaster cypher, gatley, shark na bat patterns,,, katika pitapita zangu zote instagram kwa wasouth graph zao zote sijaona indicators zaidi ya MA basi, lets learn these patterns and trade nakednitazisoma nizielewe mkuu..ila kwa vile sina mpango wa kuzijumuisha katika strategy yangu ya analysis sitazipa huo uzito...vipi kuhusu cypher patterns?..
Kwani ni lazima utrade kwa indicator?Mkuu una mawazo kama yangu, nataka kumaster cypher, gatley, shark na bat patterns,,, katika pitapita zangu zote instagram kwa wasouth graph zao zote sijaona indicators zaidi ya MA basi, lets learn these patterns and trade naked
Kwani ni lazima utrade kwa indicator?
kaka ni vizuri kujifunza ila from experiance naona techinal analysis ina account only 20% ya market movementsMkuu una mawazo kama yangu, nataka kumaster cypher, gatley, shark na bat patterns,,, katika pitapita zangu zote instagram kwa wasouth graph zao zote sijaona indicators zaidi ya MA basi, lets learn these patterns and trade naked
technical analysis zote aziltupi huhakika wa kutrade na kupata faida kwa uhakika zote zina angalia previous na current market inavyotrend lakin zinatusaidia kuweza kubashiri soko litakuwaje mbele ingawa soka halitabiliki maana linaendesha na rule ya supply & demand...inashauriwa tusitumie indicators zaidi ya tatu maana utaishia kujichanganya tu zote zinafanya kazi moja tu.Si lazima, Pros wanarecomend utumie price action. Ila indicators ukizitumia zaidi ya tatu ziinaweza kukupa picha halisi ya soko na trend. Hivi vinaipa uzito zaidi price action yako utakavyoisoma.
technical analysis zote aziltupi huhakika wa kutrade na kupata faida kwa uhakika zote zina angalia previous na current market inavyotrend lakin zinatusaidia kuweza kubashiri soko litakuwaje mbele ingawa soka halitabiliki maana linaendesha na rule ya supply & demand...inashauriwa tusitumie indicators zaidi ya tatu maana utaishia kujichanganya tu zote zinafanya kazi moja tu.