Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
😀 😀 hizi vitu nlishindwa kuzielewa kabisa

Hahahaaa, hizo mambo ndo miongoni mwa mambo nilizorudia kusoma wiki nzima, ilinippa tabu sana kuzielewa, Ila mpaka sasa naweza sema 50% nimeelewa. Siri ya kuelewa hizi mambo, jaribu kusoma forex bible wameelezea vizuri, usipoelewa ingia youtube andika keyword ichimoku, utaletewa nyingi tuu. Chagua video tano uziangalia, mpaka zinamalizika utakuwa ushapata idea.
 
nitazisoma nizielewe mkuu..ila kwa vile sina mpango wa kuzijumuisha katika strategy yangu ya analysis sitazipa huo uzito...vipi kuhusu cypher patterns?..
 
I know Andile Mayisela, boss mimi si newbie trader I know most things out there. Nitamleta Bongo. I really respect him, he is a smart trader.
woow Bro upo nondo kwa kweli kila wakati nimekuwa najifunza na sijawahi kuchoka , kusoma chochote unachoandika .
Aise kwa miaka mingi sana nilikuwa nikiamini Tanzania yangu haina watu wazalendo lakini sio tuu wazalendo bali wako tayari kusifia na kukubali jambo la mtu mwengine.

mimi niseme tuu sijawahi kushawishika na hizi habari kwa muda mwingi lakini kwa aina ya character moyo wangu unaweza kushilikiana na hii akili.

msimamo wangu ni kwamba darasa likianza nitalipia na sitaki nafasi za bure.
 
nitazisoma nizielewe mkuu..ila kwa vile sina mpango wa kuzijumuisha katika strategy yangu ya analysis sitazipa huo uzito...vipi kuhusu cypher patterns?..

You never know, Usiseme huna mpango wa kuingiza katika strategy zako. Huwezi kutrade kwa single strategy na ukafanikiwa, Yu need combination of strategies to have a near to perfect outcome. So far mpaka sasa nilivyosoma ichimoku ni moja ya reliable indicators na inakupa vitu vingi katika single look, Ukiichukua hii ukaicombine na price action patterns, plus other indicators like stochastic. mwisho wa siku unapata fine guts za kuingia katika trade.

Toolbox ya fundi inabeba zana zote, pasipo kujali kazi unayokwenda kufanya. Yawezekana wewe ukabeba brush pekee ukijua unaenda kufanya kazi ya kupaka rangi na kusema huna haja ya nyundo wala misumari, ukashangaa unafika site ngazi ukaikuta ni fupi, inakuhitaji uwe na nyundo na misumari ili uweze kuongeza urefu wa ngazi uliyoikuta ili ufanikishe kazi yako ya kupaka rangi.
 
You never know, Usiseme huna mpango wa kuingiza katika strategy zako. Huwezi kutrade kwa single strategy na ukafanikiwa, Yu need combination of strategies to have a near to perfect outcome. So far mpaka sasa nilivyosoma ichimoku ni moja ya reliable indicators na inakupa vitu vingi katika single look, Ukiichukua hii ukaicombine na price action patterns, plus other indicators like stochastic. mwisho wa siku unapata fine guts za kuingia katika trade.

Toolbox ya fundi inabeba zana zote, pasipo kujali kazi unayokwenda kufanya. Yawezekana wewe ukabeba brush pekee ukijua unaenda kufanya kazi ya kupaka rangi, ukashangaa unafika site ngazi ukaikuta ni fupi, inakuhitaji uwe na nyundo na misumari ili uweze kuongeza urefu wa ngazi uliyoikuta ili ufanikishe kazi yako ya kupaka rangi.
hahaa...mkuu umeiweka sawa sana..ndio manake nikasema nitaisoma niifahamu just incase..mimi ni mwanabiashara nafahamu faida ya plan B..hutegemei plan moja tu...utategemea fibonacci kisha ukapata soko halina uhalisia wowote katika price action..yani halipandi halishuki kitu kiko kwenye range pattern..kufikia muda huu nimefanya combinations kama nne vile zinazonifaa sana ila sijakuwa na strategy niliyohusisha ichimoku...wacha niifanyie kazi..
 
nitazisoma nizielewe mkuu..ila kwa vile sina mpango wa kuzijumuisha katika strategy yangu ya analysis sitazipa huo uzito...vipi kuhusu cypher patterns?..
Mkuu una mawazo kama yangu, nataka kumaster cypher, gatley, shark na bat patterns,,, katika pitapita zangu zote instagram kwa wasouth graph zao zote sijaona indicators zaidi ya MA basi, lets learn these patterns and trade naked
 
Kwani ni lazima utrade kwa indicator?
 
Kwani ni lazima utrade kwa indicator?

Si lazima, Pros wanarecomend utumie price action. Ila indicators ukizitumia zaidi ya tatu ziinaweza kukupa picha halisi ya soko na trend. Hivi vinaipa uzito zaidi price action yako utakavyoisoma.
 
Mkuu una mawazo kama yangu, nataka kumaster cypher, gatley, shark na bat patterns,,, katika pitapita zangu zote instagram kwa wasouth graph zao zote sijaona indicators zaidi ya MA basi, lets learn these patterns and trade naked
kaka ni vizuri kujifunza ila from experiance naona techinal analysis ina account only 20% ya market movements
 
Si lazima, Pros wanarecomend utumie price action. Ila indicators ukizitumia zaidi ya tatu ziinaweza kukupa picha halisi ya soko na trend. Hivi vinaipa uzito zaidi price action yako utakavyoisoma.
technical analysis zote aziltupi huhakika wa kutrade na kupata faida kwa uhakika zote zina angalia previous na current market inavyotrend lakin zinatusaidia kuweza kubashiri soko litakuwaje mbele ingawa soka halitabiliki maana linaendesha na rule ya supply & demand...inashauriwa tusitumie indicators zaidi ya tatu maana utaishia kujichanganya tu zote zinafanya kazi moja tu.
 
Aisee hiyo point ya kusema indicator tatu haziruhusiwi ni total lie as kila indicator ina kazi yake, generaly huwezi kuzigroup indicator kuwa zina kazi moja. Kuna indicators ambazo zinakusaidia kuonesha hali ya soko ipo saturated vipi hapa ni kwa mfano hapa ni stochastic na RSI ambazo zote kwa pamoja zzinaonesha overbought na oversold status ya soko, zote zinakuonesha soko lipoje na lipo katika hali gani. Kuna indicators zinazoonesha trend na possible trend reversal kama MACD. Kuna indicators zinazoonesha hali ya soko na kama lipo volatile ama laa, Mfano wake ni Bolinger bands ambapo inakuonesha kama market ipo loud ama quiet. Kuna indicator inayokupa favour ya kukuambia vitu/signal tatu katika indicator moja mfano ni Ichimoku ambayo inakuonesha trend ya soko, Entry point signals, support/resistance na pia haiishii hapo tuu, inaenda mbali zaidi na kukwambia how strog/weak the signal is. Mradi tuu ujue kusoma hizo Tenkan, Chikou, Kijun na senkan lines with corellation na cloud/Kumo.

Sasa haya yote ukiona ukiwa umeweka mambo sawa upande wa patterns, kisha indicator kama tatu zinakupa same signal. Basi 95% hiyo ni profit trade. Na inashauriwa never rely in one indicator kuingia katika trade, ni lazima utumie indicator zaidi ya moja hususan zinazokwambia parameters tofauti.

Capture.PNG
 
Ontario anatumia Support na Resistance tu. Akizidisha sana Fibonacci (Ontario is my forex trading personality) Hahaaa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom