Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
kwa hakika hili ni somo zuri sana,Mola akitujaalia tukiendelea kupata masomo huenda baadae tukawa poa sana
 
Msaada tutani nipo hapa FNB Kufungua akaunt ya Forex naona wanamakato makubwa ni $ 14 kwa mwezi ,msaada zaidi aliyefungua akaunt hapa ?
 
Na pips si ndo hiyo tofauti yenyewe yani unakuta 1.1112 inachange to 1.1113 tofauti si inakua 0.0001 then kama hii ndo pips lini itakua kubwa?
Au kama nimeelewa vibaya kuhusu pips nieleweshe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo pip ni 1 na sio 0.0001 kama ulivosema

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Na pips si ndo hiyo tofauti yenyewe yani unakuta 1.1112 inachange to 1.1113 tofauti si inakua 0.0001 then kama hii ndo pips lini itakua kubwa?
Au kama nimeelewa vibaya kuhusu pips nieleweshe

Sent using Jamii Forums mobile app
Pip moja tuihesabu kuanzia decimal number ya nne kwenye price(isipokuwa pair zenye JPY) so kama price imepanda kutoka 1.1234 kwenda 1.1236, hapo tofauti inakua 0.0002 maana ya imepanda pip mbili! Na kaama ingepanda mpaka 1.1245 tofauti ingekua 0.0011 maana yake imepanda kwa pips 11. Ila price mara nyingi huandikwa kwa decimal number 5, mfano 1.12345 kwa hiyo ile decimal number ya tano inaitwa Tick, kwa maana 10 ticks = 1 pip. Kwa darasa la bure kuhusu forex unaweza ni-pm nikuunganishe kwenye group lang la Telegram na unawez niuliza swali lolote niko tayar kukusaidia
 
Msaada tutani nipo hapa FNB Kufungua akaunt ya Forex naona wanamakato makubwa ni $ 14 kwa mwezi ,msaada zaidi aliyefungua akaunt hapa ?

FNB wana account inaitwa Golden account ambayo utachajiwa sh 16,000 tu kwa mwezi n autaweza kufanya kia kitu bure....wanakupa visa card na utaweza kutoa pesa kwenye atm yoyote BURE pia watakuunganisha na oline banking na utaweza kufanya transactions online BURE na pia utaweza kutuma na kupokea pesa popote duniani.
KARIBU
 
Doonh kwa kweli wakuu Mungu awabarikis sana na Mkuu Ontario hakika Utabarikiwa zaidi na wala usiogope vitisho ...Yaani kila kitu kipo kila kitabu watu wanajitolea kwa kweli Lazima kieleweke.... wakuu nataka kujua jinsi ya kusoma hivi vitabu nauliza nianze na kipi maana tangu Huu uzi uansishwe nimedowload vitabu sita Lakini nahitaji Mwongozo wakuu nianze na kipi vitabu nilivyopakua ni
1.CT-dummies-FOREX
2.ASTRO FX training book
3.Forex Godfather elite
4.Mark douglas-trading in the zone
5.Naked forex high probability
6.The forex bible
Nawakilisha wakuu najua kuna wengine humu wameshasoma angalau nipeni mwanga
 
Kwa upande wangu anza na either
2, 3 au 6 japo wengi tulianza na Dummies ukisoma ivyo vitatu kama vinajirudia ukimaliza ndio usime Dummies, Naked na Iko Trade in zone kimetoka jana nadhani bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu Tafadhali naomba msaada wa vitabu hivyo, card memory imeformat bahati mbaya nimepoteza kila kitu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…