Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma Soma SomaStil sijaelewa tofauti ndogo inayotokea katika rate inawezaje kukupa faida kubwa ikiwa umewekeza pesa ndogo kama $100.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise mana hapo pananisumbua kuelewa.Soma Soma Soma
tuliza Akili utaelewa vizuri tu hii biashara ina endaje.
Sent from my iphone 6s using Jamii Forum Mobile app
sure....jes a minYou can PM me
Ukubwa wa pips ndo unaokupa faidaStil sijaelewa tofauti ndogo inayotokea katika rate inawezaje kukupa faida kubwa ikiwa umewekeza pesa ndogo kama $100.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na pips si ndo hiyo tofauti yenyewe yani unakuta 1.1112 inachange to 1.1113 tofauti si inakua 0.0001 then kama hii ndo pips lini itakua kubwa?Ukubwa wa pips ndo unaokupa faida
love thé love or hâte thé love.....
Hapo pip ni 1 na sio 0.0001 kama ulivosemaNa pips si ndo hiyo tofauti yenyewe yani unakuta 1.1112 inachange to 1.1113 tofauti si inakua 0.0001 then kama hii ndo pips lini itakua kubwa?
Au kama nimeelewa vibaya kuhusu pips nieleweshe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya now nimeelewa kuhusu pips na namna inatoa faida.Hapo pip ni 1 na sio 0.0001 kama ulivosema
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Pip moja tuihesabu kuanzia decimal number ya nne kwenye price(isipokuwa pair zenye JPY) so kama price imepanda kutoka 1.1234 kwenda 1.1236, hapo tofauti inakua 0.0002 maana ya imepanda pip mbili! Na kaama ingepanda mpaka 1.1245 tofauti ingekua 0.0011 maana yake imepanda kwa pips 11. Ila price mara nyingi huandikwa kwa decimal number 5, mfano 1.12345 kwa hiyo ile decimal number ya tano inaitwa Tick, kwa maana 10 ticks = 1 pip. Kwa darasa la bure kuhusu forex unaweza ni-pm nikuunganishe kwenye group lang la Telegram na unawez niuliza swali lolote niko tayar kukusaidiaNa pips si ndo hiyo tofauti yenyewe yani unakuta 1.1112 inachange to 1.1113 tofauti si inakua 0.0001 then kama hii ndo pips lini itakua kubwa?
Au kama nimeelewa vibaya kuhusu pips nieleweshe
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada tutani nipo hapa FNB Kufungua akaunt ya Forex naona wanamakato makubwa ni $ 14 kwa mwezi ,msaada zaidi aliyefungua akaunt hapa ?
Kupoteza pesa nyingi ikiwa umevamia bila kuzingatia misingi ya Forex.Ni zipi hasara za kujiunga na huu mfumo?
Kila mtu anabroker aliyemchagua, waweza jaribu jpmarkets,japo mimi kwa sasa nipo na tickmill(demo acc)Mnaotumia platform ya MT4. Ni broker yupi mnayemtumia kufungulia DEMO account.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Doonh kwa kweli wakuu Mungu awabarikis sana na Mkuu Ontario hakika Utabarikiwa zaidi na wala usiogope vitisho ...Yaani kila kitu kipo kila kitabu watu wanajitolea kwa kweli Lazima kieleweke.... wakuu nataka kujua jinsi ya kusoma hivi vitabu nauliza nianze na kipi maana tangu Huu uzi uansishwe nimedowload vitabu sita Lakini nahitaji Mwongozo wakuu nianze na kipi vitabu nilivyopakua niThank you my big boss, you're always available when we need this kind of assistance. Barikiwa mzee baba.
Hiko kitabu hakina analysis nyingi, ukishindwa kukisoma hiko ujue forex is not your thing. Ni kitabu ambacho kipo kama kinaboa fulani hivi, lkn very informative, na kinakuandaa vzr psychologically kuingia sokoni. Please soma soma hata kama unaruka baadhi ya pages.
Safi Mkuu! Hapo awali kuna ntu alinishauri kutumia tickmill kwa demo ya mt4.[emoji106]Kila mtu anabroker aliyemchagua, waweza jaribu jpmarkets,japo mimi kwa sasa nipo na tickmill(demo acc)
Kwa upande wangu anza na eitherDoonh kwa kweli wakuu Mungu awabarikis sana na Mkuu Ontario hakika Utabarikiwa zaidi na wala usiogope vitisho ...Yaani kila kitu kipo kila kitabu watu wanajitolea kwa kweli Lazima kieleweke.... wakuu nataka kujua jinsi ya kusoma hivi vitabu nauliza nianze na kipi maana tangu Huu uzi uansishwe nimedowload vitabu sita Lakini nahitaji Mwongozo wakuu nianze na kipi vitabu nilivyopakua ni
1.CT-dummies-FOREX
2.ASTRO FX training book
3.Forex Godfather elite
4.Mark douglas-trading in the zone
5.Naked forex high probability
6.The forex bible
Nawakilisha wakuu najua kuna wengine humu wameshasoma angalau nipeni mwanga
mkuu Tafadhali naomba msaada wa vitabu hivyo, card memory imeformat bahati mbaya nimepoteza kila kitu.Doonh kwa kweli wakuu Mungu awabarikis sana na Mkuu Ontario hakika Utabarikiwa zaidi na wala usiogope vitisho ...Yaani kila kitu kipo kila kitabu watu wanajitolea kwa kweli Lazima kieleweke.... wakuu nataka kujua jinsi ya kusoma hivi vitabu nauliza nianze na kipi maana tangu Huu uzi uansishwe nimedowload vitabu sita Lakini nahitaji Mwongozo wakuu nianze na kipi vitabu nilivyopakua ni
1.CT-dummies-FOREX
2.ASTRO FX training book
3.Forex Godfather elite
4.Mark douglas-trading in the zone
5.Naked forex high probability
6.The forex bible
Nawakilisha wakuu najua kuna wengine humu wameshasoma angalau nipeni mwanga