Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
hahaaaa kiukwelii dadaa hapo hakuna jinsi vyote ni vya lazima coz hata mie naexpirience tatizo kama lako but ni kama trading plan nilio jiwekea ya kusoma nimeanza na Dummies almost kumaliza kama pgs 60 then forex godfather Elite, then Astro fx trading book , naked forex na the bible na pia hichi aliko reccomend Boss ONTARIO last day Mark douglas-trading in the zone hivi vingine nimevipitia tuu juu juu kama highlit nikaona kila sehem tamu alafu inanifanya niendelee kusoma Ndipo traing plan ikaja ya kusoma at least 20 pgs even more per day hii yote tu nimalize kumsoma vitabu vyote, now way out ukitaka kuwa GURU on this one finish them all.....
Mchana mwema
 

Asante sana Mkuu tupo pamoja. Waiting for your final say!!
Changamoto katika maisha haziepukiki! Endelea kufight tuko pamoja nawe katika maombi!
 
Msaada tutani nipo hapa FNB Kufungua akaunt ya Forex naona wanamakato makubwa ni $ 14 kwa mwezi ,msaada zaidi aliyefungua akaunt hapa ?

Kama una pesa za mawazo achana nao hao FNB. Nenda zako BancABC na vitambulisho vyako, wao ni Tsh 15,000 kufungua akaunti na hawana makato ya mwezi. Nenda uwaambie wakupe cash card. Hii ni card unayoweza kufanyia malipo na kupokelea pesa online.
 
mkuu Tafadhali naomba msaada wa vitabu hivyo, card memory imeformat bahati mbaya nimepoteza kila kitu.
haya Mkuu hivyo hapo all the best
 

Attachments

Kama una pesa za mawazo achana nao hao FNB. Nenda zako BancABC na vitambulisho vyako, wao ni Tsh 15,000 kufungua akaunti na hawana makato ya mwezi. Nenda uwaambie wakupe cash card. Hii ni card unayoweza kufanyia malipo na kupokelea pesa online.
Mkuu Complex je nao pia wanatoa pesa kwa haraka kama tulivyombiwa kwa FNB?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Broker anafaidikaje katika kunipa mkopo wake? Mana nimeona kuna hii kitu leverage ambapo broker anaweza kukukopesha kulingana na kiasi ulicho nacho kwenye account.
Na je vipu ikiwa utapata hasara kwakwe ina athari gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu ungesoma kwanza hivyo vitabu hapo juu maswali yako yote yangepata majibu..
But what you have to know is that kwa kila trade unayofanya wewe regardless kama utapata faida au hasara broker yeye hapo ana commission yake fixed!! Ndo maana hushauriwi sana kuopen trade positions nyingi at the same time maana unamfaidisha zaidi broker while you are putting yourself under high risk of marginal call!
 
Mkuu Complex je nao pia wanatoa pesa kwa haraka kama tulivyombiwa kwa FNB?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi bado sijaanza kufanya biashara ya forex kwa kuweka pesa.

Ila nawatumia hawa BancABC katika shughuli nyingine za kimtandao. Kadi yao natumia kununulia vitu toka nje ya nchi. Na katika hili hawana zengwe, na pia napokelea pesa toka nje ya nchi kwa njia ya VISA/Master. Katika hili huwa inatumia saa 48 mpaka kupata pesa toka muda niliotumiwa.
 
Daaah Mungu akuinue juu tena juu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Broker anafaidikaje katika kunipa mkopo wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiujumla broker anafaidika kupitia commisions au spreads au vyote!

Na je vipu ikiwa utapata hasara kwakwe ina athari gani?
My friend broker hapati hasara kwa kupata hasa kwako!! Kuna level ya margin level ikifika anafunga account yako maana anachukua chake mapema kabla hajapata hasara! hii margin level inaitwa stop-out level (kila broker ana stopout level yake ila wengi wanachezea kwenye 10% na 30%)!

Ukitaka kujua zaidi kasome hizi terms

1. Equity

2. Margin

3. Margin level

4. Margin call

5. Stop-out level

Pitia na hii link....

How Forex Brokers Make Money
 
Hii kwa baadhi tuliosoma zamani hatuna maujanja kama haya. Karibu 20yrs ya ajira rasmi maisha bado ni maumivu. Kwa jinsi ninavyo kuona wewe ni mdogo wangu lakini kichwa kinafikra Pevu. Nimesoma baadhi thread katika uzi huu nimejifunza kitu kidogo lakini dozi ni kubwa sana sielewi nianzie wapi kujifunza. P'se nipe mwongozo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sielewi nianzie wapi kujifunza. P'se nipe mwongozo.

Sent using Jamii Forums mobile app
So far hamna classes zilizoanza ila karibu zitaanza kwa mujibu wa mleta mada!!

Tunachofanya ni kupitia vitabu ili kujinoa, kwahiyo kama unataka kuanza anza na vitabu viko humu, soma taratibu utapata mwanga/basics.

Classes zikianza ndio utaweza kuendelea kujifunza, ila inashauriwa tuanze na vitabu kujisomea taratibu huku tukingoja kuanza kwa classes!!

Vitabu viko humu, kuna post hapo juu naona kaweka vyote, unaweza anza na hivi hapa...

 
Hivi naweza kupata broker mzuri ambaye atanifanyia trade mimi nikawekeza kiasi cha pesa?
 
Hivi naweza kupata broker mzuri ambaye atanifanyia trade mimi nikawekeza kiasi cha pesa?
bila kusoma na kuelewa hata ukimpata huyo broker kama wapo wakufanyie kazi watakuibia tu,kwani kwanza unatakiwa ujue unachokifanya wewe mwenyewe then mambo mengine baadae
 

hata barclays bank wapo vizuri
 
Hivi naweza kupata broker mzuri ambaye atanifanyia trade mimi nikawekeza kiasi cha pesa?
ina haja gani broker akufanyie trading wakati mwenyewe una uwezo wa kujifanyia hivyo?..kuna jamaa mmoja anasema kwamba kumtafuta mtu au broker akufanyie trading ni sawa na kujitia "ulemavu wa kufikiri"manake,yule mtu akiondoka kwenye forex business au pengine akafa itakubidi trading uisahau au uanze upya kumtafuta mtu mwingine wa kukufanyia forex trading..pili,commissions anazopata baada ya kukuingishia faida itakuwa kubwa hivyo kitakachosalia baada ya charges zingine utaona hakiendani kabisa na mtaji wako..tatu,unahitajika kiwango kikubwa sana ili upate pro au broker wa kutrade kwa niaba yako..nne,hasara zikiingia kimakosa huo ni mzigo wako wala sio wa mwenye kukufanyia trading.tano,hauna misingi yoyote ya ujuzi wa forex hivyo huwezi kuuliza swali lolote wewe utapokea au utakubali chochote unachoambiwa..so,what is the point of relying on someone when you can learn,acquire skills and trade for yourself???
 
Mkuu Ontario Heshima Kwako Mkuu! Since Day One.
Wakuu wangengine woote i salute You all
Tangu huu uzi umeanzishwa nimewahi kupost mara moja tyu! but nimesoma every single page ya huu uzi. from there nikadownload a number of books, yaan vingi vingi sana. na i am serious navisoma, although mwanzo ilikua tough kidogo, but tayari na take off. kwa wale ambao wanashindwa kupata vitabu, tumieni hii web kushusha vitabu vyote ambavyo Ontario amevipendekeza na vingine vingi; www.pdfdrive.net
Maguru woote wa vitabu wanaielewa, naamini zipo zingine naomba tusaidiane. sasa nina ombi moja tu dogo, Mkuu Ontarioo na wengine wote, nipo kitabu cha nne saizi japo navirudia rudia, embu naomba ujuvi zaidi kwa vipengere hivi hapa chini

1. HOW TO USE THE COT REPORT,
2. Jinsi ya kufanya Currency-Cross
3. impact za Leverage and Margi kwa trades unazofanya. ..

Nimepata notes nyingi sana, especially kwa kitabu cha Forex Godfather, ameelezea kwa kirefu juu ya hizo mambo, lkn hata nirudie vp, bado sijiamini kwamba nimeelewa.
With God Grace, nikizielewa hizo issues hapo juu, hasa hiyo namba 3, mwezi wa nane nianze Demo Trade.

Wndugu Forex Trading is not a get reach fast, it takes alot of effort, kusoma sana sana kunahitajika.
Make pips, Keep pips & Repeat.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…