Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Attachments

Kama una pesa za mawazo achana nao hao FNB. Nenda zako BancABC na vitambulisho vyako, wao ni Tsh 15,000 kufungua akaunti na hawana makato ya mwezi. Nenda uwaambie wakupe cash card. Hii ni card unayoweza kufanyia malipo na kupokelea pesa online.
Boss,

hivi kwenye kufungua account (real) ni lazima ile bank statement unayotuma kama proof of residency ndo bank yao itumike kwenye transactions zako onwards au waweza tumia banks nyingine
 
Unaweza tumia bank nyingine mradi jina liwe lilelile.
Mkuu mimi nimefungua acc ya benki Equity Bank, nikajiunga na internet banking then huko kuna Huduma ya Mini bank Statement ambayo nikaitumia kama proof of residence ila broker wamenikatalia wakisema nitume tena.. Sasa nilikua nauliza ni lazima mpaka uende bank ukaombe hardcopy then ndo uiscan ndo uiattach?
 
Hapana, ila mini statement sidhani kama ina jina lako, Mimi nilijisubsribe na NBC mobile banking. So kila mwezi huwa wananitumia statement katika email ktk form ya PDF. Na ndo niliichukua hiyo nikasubmit, wakaikubali. Wanahitaji statement ambayo inaonesha jina lako na other details.
 
Mwambie atume hata risiti ya malipo umeme, au statement ya malipo ya maji,
achukue akaziscan kisha awatumie(lakini zenye jina lake)
 
Kama una pesa za mawazo achana nao hao FNB. Nenda zako BancABC na vitambulisho vyako, wao ni Tsh 15,000 kufungua akaunti na hawana makato ya mwezi. Nenda uwaambie wakupe cash card. Hii ni card unayoweza kufanyia malipo na kupokelea pesa online.

Au Barclays
 
Ivi hao watu 300 tayari wameshatimia and wameshaenda kupewa somo tayari????
 
Ivi hao watu 300 tayari wameshatimia and wameshaenda kupewa somo tayari????
Watu tunaohitaji kupata hudhuria haya mafunzo ni zaidi ya hao 300.Big boss amedokeza atatumia vigezo kupata hao wa awali.
 
Watu tunaohitaji kupata hudhuria haya mafunzo ni zaidi ya hao 300.Big boss amedokeza atatumia vigezo kupata hao wa awali.
Aha kwaiyo kumbe bado hawajateuliwa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…