Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Shukran sana kaka Ontario, mimi nimeshawishika na maelezo yako. Naomba kama hautajali uniambie vigezo vya kujiunga nikiwa ni mmoja kati ya hao 300 wa mwanzo. Lakini pia kama kuna uwezekano wa kupata list ya vitabu vya msingi kwa kupitia e-mail au njia yoyote utakayoona ni rahisi kwako.

Natanguliza shukran.
 
Pitia comment zote vitabu wameweka ni kudownload tu
 
Nme ipenda sana bro ila naomba nifahamu hiyo biashara ita hitaji kianzio kama mtaji kiasi gani?
 
Mkuu ontario hii kitu nlisawah kuisikia kipind flan nlipokuwa nasoma huko ughaibun but at that time nlikuwa naona kama dili flan hiv la kitapel but for this thread nimeona ka mwanga about hii kitu count on me kwa hao 300 ila nipo mkoa tunaweza ata ku create group ya watusp ukawa unatoa elim kule kwa ambao hatuko,dar au ata hapa JF will,also be ok
 
Ahsante ONTARIO sasa naomba unipe link za vitabu ambavyo nikivisoma vitanisaidia kupata ujuzi zaidi. Ahsante kwa fursa.
 
Iko poa hiyo ila ni ngumu
 
Am real interested on that pia nipo tayar kuifanya hii biashara mwanzo nilikuwa naipuuza puuza tu lakn sasa nahitaji kutake actions seriously
 

Hayo maswali yako sijui nikujibuje lkn nachoweza kusema "you are still a newbie". Naomba kwasasa usome kitabu linichoreccomend, utapata wide view ya nini nazungumza. Please naomba usome hiko kitabu, ukija kwenye classes utaelewa nini ni nini.
 
Mkuuu hiyo forex amazing nimeisoma chuo ktk coz fulan ( international tradea) daa kumbe ndo inamake profit kwa namna hii aisee umenimotive mbay sana nataman hat mm nipinge hiyo amazing forex coz I know very well.
 
Hayo maswali yako sijui nikujibuje lkn nachoweza kusema "you are still a newbie". Naomba kwasasa usome kitabu linichoreccomend, utapata wide view ya nini nazungumza. Please naomba usome hiko kitabu, ukija kwenye classes utaelewa nini ni nini.
Kwa sababu ya ukuaji wa teknolojia huwezi kutafuta means ya ku broadcast darasa? Ili ambao hatutakuwepo darasani tuone nini kinaendelea? Tukiwa mbali?
 
count me in mkuu naomba nisikose kwenye hao 300.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…