Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
Pumbafu...Tunashukuru sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbafu...Tunashukuru sana
Nimeandika ila sikutaka kuandikaPumbafu...
Pitia comment zote vitabu wameweka ni kudownload tuShukran sana kaka Ontario, mimi nimeshawishika na maelezo yako. Naomba kama hautajali uniambie vigezo vya kujiunga nikiwa ni mmoja kati ya hao 300 wa mwanzo. Lakini pia kama kuna uwezekano wa kupata list ya vitabu vya msingi kwa kupitia e-mail au njia yoyote utakayoona ni rahisi kwako.
Natanguliza shukran.
Pitia comment za nyuma kwa faida yako, alishajibu.Nme ipenda sana bro ila naomba nifahamu hiyo biashara ita hitaji kianzio kama mtaji kiasi gani?
Iko poa hiyo ila ni ngumuWazo la kwanza
Protocol yangu hua haibadiliki milele. Hahaa! Wanaonifahamu wananifahamu vizuri, hua sijibu PM ya mtu yoyote, no matter who you are. Kama ulishawahi kunitext PM kuhusu mada ninazopost na nikakujibu positively basi jua wewe ni malaika. Binafsi Naamini katika kufanya kazi in transparency, clearness and clarity. Hakuna kitu cha kuficha, kama kuna chochote weka hapa jukwaani kila mtu aone, ajifunze, aelimike na akosoe pia.
Aisee na wewe Ume Quote. HayaTunashukuru sana
Swali moja dogo tu, hawa brokers ni wewe utatutafutia na tuwe na options au aliyepo ndio atafanya kwa watu wote?? Hofu yangu ni kwamba monopoly inapunguza aggressiveness.
Lingine ni kuhusu usajili, naona wewe unahangaika kusajili umeshindwa kwenda kwenye jikutano kubwa kabisa (kama ni kweli lakini maana na nyie kwa fix bwana hahaaaaaaa.... A real joke), sasa sisi tunaweza kuanza bila kisajili???
Tatu, ninaamini demo account itakuwa ni bure kabisa (demo si kitu cha kujaribia tu mkuu, yeaah siamini kama kinauzwa), sasa hiyo real account inapatikana kwa bei gani?? Maana nisije kujiokoteza $1000 najibeba kuingia nakuta real account costs $50,000 bila cent, ni pambio gani utaniimbia nifarijike??
No Debt shall remain unpaid
Kwa sababu ya ukuaji wa teknolojia huwezi kutafuta means ya ku broadcast darasa? Ili ambao hatutakuwepo darasani tuone nini kinaendelea? Tukiwa mbali?Hayo maswali yako sijui nikujibuje lkn nachoweza kusema "you are still a newbie". Naomba kwasasa usome kitabu linichoreccomend, utapata wide view ya nini nazungumza. Please naomba usome hiko kitabu, ukija kwenye classes utaelewa nini ni nini.