Yap nimeviona mkuuu na nimeshadowload ndo napitia mdogo mdogoKuna vitabu kadhaa humu tulivyoambia tuvisome vipi umeviona?
Ahsante Sana mkuuhicho hapo mkuu nimekutumia tena jaribu kudownload tena
Safi mkuu. Benki ipi umetumia?Updates kwa Upande wangu.
Nimeamua kuchoma pesa, nimetuma pesa leo kwa Broker throuhg Bnk wire (kwanini bank wire) kulingana na bank nayotumia nimeona nirahisi kwangu hata kutoa pesa nikiamua kuwithdraw nikishinda ni ndani ya saa 24 nakua na pesa mkononi, pia njia utayotumia kulipa ndio utayotumia kulipwako BANK WIRE nikaona ni "suitable way":
NIMEAMUA KURISK NA SIOGOPI KURISK NA SI MARA YA KWANZA KURISK
Nimetuma Tshs. 850,000/= kama USD 320 Hivi, na Usd 75 (Tshs. 58,000) kama fee ya kutuma, mpaka sasa wameshanijulisha pesa imetumwa ila haijafika kwa broker ko kesho nitaanza kutrade rasmi kama MUNGU akitupa uzima,
MALENGO
1. Nimeamua nicheze "real" ili nipate uzoefu zaidi maana real ina changamoto nyingi sana kuliko demo.
2. Nitatrade kwa malengo ya usd 200 tu kwa wiki kama faida ila sijaliweka kipaumbele sana
3. Sitojali kuchoma akaunti
Updates kwa Upande wangu.

Hatua nzuri sana hiyo mkuu. Wakati una register live ulitumia passport au Identity ya kura?
So kwa ambao hatuna passport identity haitofaa au unaweza ukaweka identity nyingine mfano hiyo ya kura?Passport
So kwa ambao hatuna passport identity haitofaa au unaweza ukaweka identity nyingine mfano hiyo ya kura?
Updates kwa Upande wangu.
Nimeamua kuchoma pesa, nimetuma pesa leo kwa Broker throuhg Bnk wire (kwanini bank wire) kulingana na bank nayotumia nimeona nirahisi kwangu hata kutoa pesa nikiamua kuwithdraw nikishinda ni ndani ya saa 24 nakua na pesa mkononi, pia njia utayotumia kulipa ndio utayotumia kulipwako BANK WIRE nikaona ni "suitable way":
NIMEAMUA KURISK NA SIOGOPI KURISK NA SI MARA YA KWANZA KURISK
Nimetuma Tshs. 850,000/= kama USD 320 Hivi, na Usd 75 (Tshs. 58,000) kama fee ya kutuma, mpaka sasa wameshanijulisha pesa imetumwa ila haijafika kwa broker ko kesho nitaanza kutrade rasmi kama MUNGU akitupa uzima,
MALENGO
1. Nimeamua nicheze "real" ili nipate uzoefu zaidi maana real ina changamoto nyingi sana kuliko demo.
2. Nitatrade kwa malengo ya usd 200 tu kwa wiki kama faida ila sijaliweka kipaumbele sana
3. Sitojali kuchoma akaunti
Hongera mkuu!Updates kwa Upande wangu.

Hongera mkuu!
Unatumia broker gani?? Je hana option ya ku-deposit ya visa card?
Anzisha uzi wako.Kwa wale watakaokua tayari kujiunga namimi katika kuikuza account ya tickmill kutoka $30 mpaka $100 mnakaribishwa, ni kitendo cha kuni-pm tuu ninakuunganisha kwenye channel
Nimetuma Tshs. 850,000/= kama USD 320 Hivi, na Usd 75 (Tshs. 58,000) kama fee ya kutuma, mpaka sasa wameshanijulisha pesa imetumwa ila haijafika kwa broker ko kesho nitaanza kutrade rasmi kama MUNGU akitupa uzima,
MALENGO
1. Nimeamua nicheze "real" ili nipate uzoefu zaidi maana real ina changamoto nyingi sana kuliko demo.
2. Nitatrade kwa malengo ya usd 200 tu kwa wiki kama faida ila sijaliweka kipaumbele sana
3. Sitojali kuchoma akaunti
hata mimi natumia barclays within 24 hrs unakua ushapata mshiko wako.wapo vizuriBarclays
ni kweli angetumia visa ni cheapKwenye kiwango cha pesa nahisi kama umekosea kitu mkuu!!
Kama umetuma 850k wakakuwekea dola 320 ina maana wamefanya dola moja sawa na tsh 2650 kiasi ambacho ni kikubwa!! benki nyingine wanafanya 2303tsh ambapo kwa pesa yako ungepata dola 369!!
Cheki na benki yako vizuri na kama hivyo viwango viko sawa na ulivyoandika chukua hatua mapema!!
Alafu huyo broker ungewasilana nae kwa email akwambie kama anasupport visa card au la maana nimejaribu kuchek kwenye website yao naona kama wana support ku-deposit kwa visa which is cheap ukilinganisha na hiyo njia uliyotumia!!
Kukatwa elfu 58 kwa ku deposit tu hiyo ni cost kubwa kiasi mkuu!!
Otherwise, nikutakie kila la heri mkuu!!
Duh[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Anzisha uzi wako.
Kwenye kiwango cha pesa nahisi kama umekosea kitu mkuu!!
Kama umetuma 850k wakakuwekea dola 320 ina maana wamefanya dola moja sawa na tsh 2650 kiasi ambacho ni kikubwa!! benki nyingine wanafanya 2303tsh ambapo kwa pesa yako ungepata dola 369!!
Cheki na benki yako vizuri na kama hivyo viwango viko sawa na ulivyoandika chukua hatua mapema!!
Alafu huyo broker ungewasilana nae kwa email akwambie kama anasupport visa card au la maana nimejaribu kuchek kwenye website yao naona kama wana support ku-deposit kwa visa which is cheap ukilinganisha na hiyo njia uliyotumia!!
Kukatwa elfu 58 kwa ku deposit tu hiyo ni cost kubwa kiasi mkuu!!
Otherwise, nikutakie kila la heri mkuu!!
Nimekupata mkuu, ila ukicheki kwenye hizo payment methods naona credit card ipo hapo, tena ya kwanza kabisa!!NI usd 375 mkuu, rate ya jana ilikua 2288, ambapo 300 ilikua forex na 75 ilikua fee, jumla ni 858,000
Nilikosea mahesabu kidogo
Deposit unaweza fanya kwa credit pekee
View attachment 550998
Nadhani mnaweza mkaona payment methods