Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Thanks he we go, naplan tarehe 1 nianze real account, I don't care, lets me starts so that I can learn more
Kila la heri ndugu!! Utaona utofauti sana kwenye kutrade kwa real na demo acc!! Kama ukianza, usisahau kutumia stop-loss, pia hakikisha leverage isiwe kubwa sana na lot size iwe minimum...isiwe kubwa!! Usifungue/usikae na position nyingi at once hasa ambazo ziko kwenye loss!!

Ni vyema pia ukajua stop-out level ya broker wako ni ngapi na ujue pia marginal call level ni ngapi (hivi ni vitu vya muhimu sana kujua kwa usalama wa account yako)!!

Ukipata uzoefu Zaidi utaweza kuzibadilisha hizo parameters (leverage, position size e.t.c)!!

Kila la heri!
 
thanks champion
 
Mkuu ONTARIO fanya UPESI aiseeee, Wahenga wa namna hii n hatari kwa afya ya kizazi kiPYAA.
 
kitabu alichoomba sana Bavaria kwa Mwl.RCT hiki hapa kwenye pdf, kwa wale ambao kiliwasumbua kukonvert, ila kipo kama story story tena fupi fupi tuambizane wajuz nacho nikizuri kwa forex mana sijakisoma
Sidhani kama inahitaji uambiwe kuhusu uzuri wa kitabu wakati wewe mwenyewe unacho, ni vyema ukakisoma kufahamu kama kinakufaa kwa namna yoyote ile(si lazima ikawa kwa forex) au hakikufai
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…