Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
G
Good kaka hizo pips ndo mwanzo waako wa kutoboa. Yaani hata iwe ndogo kiasi gaani we komaa nayo utatoboa kaka. pipa ndo uchawi wa forex kuwa makini nazo mnoo
 
hii nimekuta sehemu huko, sasa sijui inakuwaje
IBO IN IML
IBO ni mfumo wa network marketing uliopo katika kampuni ya iml
Na mfumo ambao MTU yoyote aliyejisajil iml anaweza kujisajili na akaleta watu ili kupata malipo ya kila mwez

Sasa mfumo huu una njia Mbili za kuingiza pesa

Njia ya kwanza
Malipo ya kuleta MTU moja kwa moja
Utapoleta mtu kizazi cha kwanza utapokea dola 35
Kizazi cha pili
Maana yake yule uliyemleta wewe akaleta MTU utalipwa dola 10
Kizazi cha Tatu maana ake yule aliyeletwa na Kizazi cha pili utapewa dola 5
Sasa hapo hayo malipo yanafanyika ijumaa mfano umleta watu wawili maana ake ijumaa utalipwa dola 70 direct kwenye account yako ya bank au visa card yako
note
Kwa mwez huu mzima mpaka tarehe 31 July kampuni imetoa offer ya kukupa dola 55 kwa MTU utakayemleta ili kusheherekea miaka mi 4 ya kampuni

Njia ya pili ni team
Kampuni inamfumo wa kusema Unga watu watatu na hao watatu wasaidie kupata watu watatu
Maana ake ni kwamba
Nikiwa na
watu 3 dola 150 kila mwez
Watu 12 dola 600 kila mwez
Watu 30 dola 1000 kila mwez.
*Mfano mrahisi tu yani ukileta watu watatu ukawasaidia kila mmoja kupata watu maana ake ni 3*3 = 9 jumlisha hao watatu wako 12 unaanza kupokea dola 600 kila mwez sawa na 1.32M
Haya sasa unaweza kuangalia hii cha mpaka chini kadri team inavyoongezeka malipo yanakuaje
Note gharama ya kujisajili iml uwe trader ni dola 195
Kujisajili IBO ukiwa ndani ya iml ni dola 15 tu
*Ukitaka kujisajili iml tumia link hii au link kutoka kwa MTU aliyekualika na kujisajili
Hakikisha unapesa kwenye visa card au master card au bitcoin kabla ya usajili
 

Kiko wapi?[emoji47]
 
Trade when you see your setup.
Don't force when you don't see your setup.
 
Trade when you see your setup.
Don't force when you don't see your setup.

Sure mkuu, Kitambo sana hujaonekana huu. Mambo yanakwenda lakini.?
Hilo swali limenijia tuu kichwani, kwani baada ya kupitia koment ya post kwa makini, nikaona hiyo kitu alisema kuwa alifululiza wiki mbili za mwanzo anafanya trading. Na akaunti ilituna kabla ya kuiunguza. Sasa nikawaza kuwa si siku zote price action na patterns zinatake shape.
 
Kachukue bank statement watumie kama pdf au kama picha ya kawaida!
 
Mimi nasubiri darasa la Ontario lianze niende class nikifuzu ndo nipate maelekezo ya kufungua real acc..
Nasema haya coz kuna jamaa kama wanne hivi wali-go live acc wakapigwa sasa wanaugulia kimyakimya...hata jf hawapiti tena.
Yaani jana jioni nilicheka sana..kamshahara ka July kwishney..
 
Pole sana bro
Ninakushukuru kwa kutupigania
Mungu akuweke juu zaidi ili ung'ae zaidi ya hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo mkuu.

Ubize umenibana tu.

Hope mafunzo yanaendelea vizuri.
 

Watu walidhani hii ni mchekea na mdondokea. Wanachosahau hii ni live or die battle, no in between results.
 
kwani kuna nini tena kimetokea wahenga kujaribu sio mbaya hauwezi kuanza biashar bila misukosuko bali unajenga uzoefu hivyo basi sioni sababu za mtu kukaa kimya pale
atapopoteza pesa zake rudi omba msaada hapa itakuw rahisi kusaidiwa pale ataporudi mkuu Antario utajua umekosea wapi
Watu walidhani hii ni mchekea na mdondokea. Wanachosahau hii ni live or die battle, no in between results.
 
Tumia kitambulisho cha kura, kiscan pande zote mbili then watumie, hazitopita hata dakika kadhaa wataiprove AC yako,
Ila huwa ni kwa siku tano za kazi so ukituma leo weekend basi inabidi usubirie hadi jumatatu
 
Jamani naombeni kama mtoa uzi atakuwa na update zozote kuhusu kuanza iyo semina mnitag au mnitarifu kwa njia yoyote naombeni sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…