Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
G
Katika kuendelea na analysis za forex kwa hii pair, Nimeintroduce FIBONACCI. From it naona inatest 38% level. Level ambayo ni very supportive kwa uptrend market. Hivyo tunatarajia ascending ya candle (bullish movement). So trade long kwa kuweka stop loss, 10 PIPS below 38% level, Na take profit around at 10 PIPS above 0%

View attachment 552746

View attachment 552747
Good kaka hizo pips ndo mwanzo waako wa kutoboa. Yaani hata iwe ndogo kiasi gaani we komaa nayo utatoboa kaka. pipa ndo uchawi wa forex kuwa makini nazo mnoo
 
hii nimekuta sehemu huko, sasa sijui inakuwaje
IBO IN IML
IBO ni mfumo wa network marketing uliopo katika kampuni ya iml
Na mfumo ambao MTU yoyote aliyejisajil iml anaweza kujisajili na akaleta watu ili kupata malipo ya kila mwez

Sasa mfumo huu una njia Mbili za kuingiza pesa

Njia ya kwanza
Malipo ya kuleta MTU moja kwa moja
Utapoleta mtu kizazi cha kwanza utapokea dola 35
Kizazi cha pili
Maana yake yule uliyemleta wewe akaleta MTU utalipwa dola 10
Kizazi cha Tatu maana ake yule aliyeletwa na Kizazi cha pili utapewa dola 5
Sasa hapo hayo malipo yanafanyika ijumaa mfano umleta watu wawili maana ake ijumaa utalipwa dola 70 direct kwenye account yako ya bank au visa card yako
note
Kwa mwez huu mzima mpaka tarehe 31 July kampuni imetoa offer ya kukupa dola 55 kwa MTU utakayemleta ili kusheherekea miaka mi 4 ya kampuni

Njia ya pili ni team
Kampuni inamfumo wa kusema Unga watu watatu na hao watatu wasaidie kupata watu watatu
Maana ake ni kwamba
Nikiwa na
watu 3 dola 150 kila mwez
Watu 12 dola 600 kila mwez
Watu 30 dola 1000 kila mwez.
*Mfano mrahisi tu yani ukileta watu watatu ukawasaidia kila mmoja kupata watu maana ake ni 3*3 = 9 jumlisha hao watatu wako 12 unaanza kupokea dola 600 kila mwez sawa na 1.32M
Haya sasa unaweza kuangalia hii cha mpaka chini kadri team inavyoongezeka malipo yanakuaje
Note gharama ya kujisajili iml uwe trader ni dola 195
Kujisajili IBO ukiwa ndani ya iml ni dola 15 tu
*Ukitaka kujisajili iml tumia link hii au link kutoka kwa MTU aliyekualika na kujisajili
Hakikisha unapesa kwenye visa card au master card au bitcoin kabla ya usajili
 
Wakuu huyu mkuu "MAPENZI MATAMU " aliahidi ya kuwa kuna kitabu safi kabisa kwa ajili ya sisi beginners ,japo alisema huwa hajibu Pm lakn naona kidogo kwangu mm nimepata bahati kanijibu japo imechukua mda kunijibu ila hajatuacha tupu kwa bahati kanipa kile kitabu ,,,kutokana na ubusy wake kaniomba kushare nanyi hapa ...hvo kitabu ni hiki hapa[emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app

Kiko wapi?[emoji47]
 
Swali kwa Ontario, siku zote si siku njema za kufanya trading. Na kwa mujibu wako all days almost unafanya trading. Unapenda kutumia price action sana rather than indicators. Price action ina rely zaidi katika patterns, patterns si kila siku zinatokea. Je ikitokea siku hakuna pattern setup iliyo clear, how do you make a trade.?

CC: Ontario.
Trade when you see your setup.
Don't force when you don't see your setup.
 
Trade when you see your setup.
Don't force when you don't see your setup.

Sure mkuu, Kitambo sana hujaonekana huu. Mambo yanakwenda lakini.?
Hilo swali limenijia tuu kichwani, kwani baada ya kupitia koment ya post kwa makini, nikaona hiyo kitu alisema kuwa alifululiza wiki mbili za mwanzo anafanya trading. Na akaunti ilituna kabla ya kuiunguza. Sasa nikawaza kuwa si siku zote price action na patterns zinatake shape.
 
PROOF OF RESIDENCY;

Wakuu, Naombeni msaada tutani
. Kwa sisi ambao hatuna bills under our names inakuwa tabu kidogo kuproduce a proof of residency. Tupeane hints wewe ulitumia document gani as proof of residency. Nimeona option ya Bank statement ila sasa sijajua kama wataikubali sababu natumia NMB na haioneshi address at the top.
Kachukue bank statement watumie kama pdf au kama picha ya kawaida!
 
Mimi nasubiri darasa la Ontario lianze niende class nikifuzu ndo nipate maelekezo ya kufungua real acc..
Nasema haya coz kuna jamaa kama wanne hivi wali-go live acc wakapigwa sasa wanaugulia kimyakimya...hata jf hawapiti tena.
Yaani jana jioni nilicheka sana..kamshahara ka July kwishney..
 
count down... days counting down

Dear friends, hope you all doing great and of course enjoying the weekend. Mungu kutupa uhai means ametuzawadia chance nyingine adhimu ya kuweza kutimiza vitu ambavyo bado hatujavitimiza, Jiulize sana umempa Mungu kitu gani cha thamani sana hata yeye akupe uzima leo, kuna watu wanatangulia mbele za haki kila kukicha, si kwamba wao ni waovu sana, ni vile tu Mungu ni mwingi wa rehema na neema. So siku unapoamka mzima na unapumua usiichukulie hiyo siku for granted, use it to do something for yourself and those surrounding u.

Pili niwapongeze sana kwa uvumilivu. Patience is among the greatest virtue to become a good and profitable trader. Tangu nimepost huu uzi May 26 ni miezi miwili sasa, lkn kila siku nasema tutaanza soon, kila siku nasema hivyo hivyo - but you guys hv always been patient. Guys nimepambana sana hadi kufika hapa, challenges nilizokutana nazo ni nyingi sana, kuna wakati hata nilitamani mods waufunge huu uzi, uwepo tu kwa ajili ya watu kujifunza lkn kusiwe na option ya kuendelea kuchangia. The journey has been super tough, vitu vingine hata siwezi kuvisema ndugu zangu.

Yani huwezi kuamini tangu nimepost huu uzi nimesafiri SA mara nne, just kuhakikisha kila kitu kinakua sorted out. Na katika mara 4 hizo mara 3 nimeenda bila mafanikio. Huu uzi pekee umenitengenezea maadui wengi, yani hadi nafika point najilaumu why I did all this. Huu uzi umenifundisha vitu vingi sana, umeniimarisha sana, umenifanya niwe very bold. Hata watu ambao nilihisi ni marafiki zangu, huu uzi umenionesha true colours of everyone around me.

Nakumbuka wakati nasoma High school (apparently nilienda 1 ya shule zenye matokeo mabovu zaidi TZ, nilisoma Bukoba - shule inaitwa Ihungo, wale form 6 walionitangulia, matokeo yao ni kwamba walikua wa 23 kati ya shule 25 mkoa Kagera and science was even worse, wengi walikua wanaishia kutumia vyeti vya form 4 kusoma diploma; na jamaa ambae ndio alikua TO pale shule kwa masomo ya Sciences aliishia kusoma ualimu UDOM). Siku 1 nikashuka town, just kwenda kununua marker pen, kisha nikarudi shule. Ile marker pen niliinunua kwa purpose 1 tu, nilivyofika shule nikaenda kitandani kwangu pale nikaandika na kubold haya maneno stop not until the goal is reached. Sasa kila nikienda kulala lazima nisome yale maneno, na kila nikiamka lazima nisome tena. The hustle was real, at last mtihani wa mwisho nilikua one of top performers, nikaenda UDSM (si tu kwenda UDSM, nilienda UDSM na nikasoma 1 of the top most courses at campus, cozy ambayo nilisoma ilihitaji wanafunzi 20 tu, tuliapply watu 1230, watu 987 walikua eligible na mwishoe I was among how watu 20).

Same as this journey, nimepata useless objections nyingi sana, a lot rejections, nimepata haters wengi tu, ni ngumu hata kuelezea. Huwezi amini hata mentors ilifika kipindi wakagoma kbs kuja, kumtoa mtu SA ambae ana maisha yake mazuri, ana familia (mke na watoto) afu umlete Bongo. Guys it wasn't easy, afu ukigeuka huku unakutana na negativities kibao kutoka kwa watu unaowaheshimu. Nikaeka notification kwa screen ya simu yangu Arise! Awake! and stop not until the goal is reached. kila nikisoma haya maneno yakua energised na kukumbuka why I started this journey.

Leo hii naeza kusema we are almost starting, mambo yamefika patamu sana sana sana. Mentors na traders makini wawili tayari wamekubali kuja, (one of this mentor is 1 of my fantastic mentor unaeza kumcheki IG Createn Valoyo Snr - 90% ya post zake ni kuhusu FX), bado napambana kupata mentors wengine wawili ili jumla team iwe na watu wa5.

Mimi siwezi kuwapromise vitu vikubwa sana, maana we can't pay bills and send kids to school with words, actions does. Nataka actions ndio ziongee, results ndio ziwe shahidi ya all this hustle that I hv been putting. Ili haters wanyamaze, ni lazima wanafunzi wangu wawe na awesome results, so it's you guys that will always make me proud, it's you guys that will make me not regret starting this journey. We need you guys to master this game, make money hadi hawa haters waanze kiwafata nyinyi, coz wao kama wao wataona aibu kufika ofisini kwangu ama kunitumia text WhatsApp. You guys should also start teaching people about forex ndani ya mwaka mmoja. We want you guys muweze kumaster the skill hata muwafundishe ndugu na jamaa zenu wa karibu (km hamtakua wa binafsi). Na ili uweze kufika hiyo point ni vzr msome sana materials ambazo nilitoa.

Please guys, trust me you, mimi hata hapa nilipo, siku haiishi kama sijasoma chapters 2. Ili kuwa trader mzr lazima usome sana boss wangu. Ukimaliza hivyo vitabu tafuta kitabu kimeandikwa Trading in the zone by Mark Douglas (wajanja wa JF mtakibandika. Guys let's make this sh*t real, nyie ndio nawategemea ili the whole journey iwe successful. Your success is my success, we can't afford to lose. Tayari nimeshatumia millions of shillings over this programme (nikitaja real numbers wengi mtakataa- mimi na Mungu wangu ndio tunajua), so let's finish the journey. Na njia nzuri ya kufinish the journey ni you guys kumaster trading skills and use it to become profitable traders, change your financial status and for those around your circle.

Soon, siku si nyingi sana nitaweka uzi mpya, nitaongea na uingozi wa JF wasiuunganishe na huu, ili kusudi watu wapate updates at the right time. Taarifa na Vigezo vyote nitavizungumzia.
Pole sana bro
Ninakushukuru kwa kutupigania
Mungu akuweke juu zaidi ili ung'ae zaidi ya hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure mkuu, Kitambo sana hujaonekana huu. Mambo yanakwenda lakini.?
Hilo swali limenijia tuu kichwani, kwani baada ya kupitia koment ya post kwa makini, nikaona hiyo kitu alisema kuwa alifululiza wiki mbili za mwanzo anafanya trading. Na akaunti ilituna kabla ya kuiunguza. Sasa nikawaza kuwa si siku zote price action na patterns zinatake shape.
Nipo mkuu.

Ubize umenibana tu.

Hope mafunzo yanaendelea vizuri.
 
Mimi nasubiri darasa la Ontario lianze niende class nikifuzu ndo nipate maelekezo ya kufungua real acc..
Nasema haya coz kuna jamaa kama wanne hivi wali-go live acc wakapigwa sasa wanaugulia kimyakimya...hata jf hawapiti tena.
Yaani jana jioni nilicheka sana..kamshahara ka July kwishney..

Watu walidhani hii ni mchekea na mdondokea. Wanachosahau hii ni live or die battle, no in between results.
 
Mimi nasubiri darasa la Ontario lianze niende class nikifuzu ndo nipate maelekezo ya kufungua real acc..
Nasema haya coz kuna jamaa kama wanne hivi wali-go live acc wakapigwa sasa wanaugulia kimyakimya...hata jf hawapiti tena.
Yaani jana jioni nilicheka sana..kamshahara ka July kwishney..
kwani kuna nini tena kimetokea wahenga kujaribu sio mbaya hauwezi kuanza biashar bila misukosuko bali unajenga uzoefu hivyo basi sioni sababu za mtu kukaa kimya pale
atapopoteza pesa zake rudi omba msaada hapa itakuw rahisi kusaidiwa pale ataporudi mkuu Antario utajua umekosea wapi
Watu walidhani hii ni mchekea na mdondokea. Wanachosahau hii ni live or die battle, no in between results.
 
PROOF OF RESIDENCY;

Wakuu, Naombeni msaada tutani
. Kwa sisi ambao hatuna bills under our names inakuwa tabu kidogo kuproduce a proof of residency. Tupeane hints wewe ulitumia document gani as proof of residency. Nimeona option ya Bank statement ila sasa sijajua kama wataikubali sababu natumia NMB na haioneshi address at the top.
Tumia kitambulisho cha kura, kiscan pande zote mbili then watumie, hazitopita hata dakika kadhaa wataiprove AC yako,
Ila huwa ni kwa siku tano za kazi so ukituma leo weekend basi inabidi usubirie hadi jumatatu
 
Jamani naombeni kama mtoa uzi atakuwa na update zozote kuhusu kuanza iyo semina mnitag au mnitarifu kwa njia yoyote naombeni sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom