Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ontario, I am patiently waiting for things to be ready. Pole for the hustle. Nasoma mdogo mdogo, kwenye technical analysis ni habari nyingine.......penye Nia pana njia. Kufanikiwa kwako ndo mafanikio ya familia yangu na jamii yangu. Mungu fanikisha hili.
 
View attachment 555168
Guys nisaidieni kitu kimoja.

Nimesoma nia ya kufunzwa FOREX. Pages ni zaidi ya 200 nimeshindwa kuanzia page 1 mpaka ya sasa maana ni ndefu sana.

Ninachoomba ni tarehe ya kuanza hayo mafunzo tu.

Any Idea pls....


Mkuu naona umescreenshot sehemubya comment yangu.
Mkuu cha msingi kwanza ni wewe kusoma na kuelewa vitabu pendekezwa (nadhani umeshaanza kusoma tayari) Kuhusu tarehe ya mafunzo endelea kufuatilia uzi.

Ila Ontario alishasema kwenye training/mentorship utakachofundishwa ni jinsi kudownload hela tu....mengine unatakiwa iwe umeshasoma kwenye vitabu pendekezwa.

Sio unafika kwenye training mentor anasema stop loss unanyoosha mkono unauliza what is stop loss...tafadhali mkuu...soma soma soma...hata sisi bado tuna soma soma soma..

Karibu mkuu tuliamshe dude.
 
Hivyo vitabu pendekezwa ni vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona haupati haters jitathmini mara 2 - 2.

Ontario-Keep it up brother and I understand you ll never give up. Please if there is any way I can help in this, count on me and am always here towards realization of a long waited dream for Tanzanian which was only revealed to Wahindi.
 
...This is how I should sound after couple of month[emoji1] [emoji1] [emoji1]....meanwhile, let me invest my time on this....before I get sorted for life

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Daaah hizi hujuma aisee....
Kweli ndo maana jamaa wanapambana kufa kupona kuhakikisha watanzania hatujui chochote kuhusu Forex. Mungu azidi kufungua njia zako Mkuu ONTARIO ili ufanikishe haya yote tuwakomeshe na wao!! Penye nia pana njia!!
 

Attachments

Mambo yakiwa tayari naomba utujulishe angalau siku mbili kabla ya tukio,maana wengine kazi zetu ni za safari sana.tupo tayari tunangoja darasa.
Cc ontario
 
MAANDIKO YANASEMA: Watashindana Lakini Hawatashinda . Mkuu Ontario hii vita ya uchumi kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu tutaishinda. Wengi hawataki wenzao wafanikiwe. Wengi wanawakatisha tamaa watu na kuwapa maneno kuwa forex is not for every one. Hapana forex ni kwa kila mtu na ili ufanikiwe huna budi kusoma na kupractice, ila usiposoma kweli inakuwa forex is not for every one. Na wahenga wanasema: Tumia pesa kupata pesa. Kama unaogopa kupoteza hela basi huwezi kuwa mfanyabiashara kamwe. Speaking from my experience, kuna biashara nilitaka kufanya, nimeweka kila kitu, baada ya siku 5 nasikia hakuna mtu atakayeruhusiwa kufanyabiashara hapa kisa tu mgogoro wa manispaa na wamiliki wa eneo hilo. Daaaah, nilijiona mwenye hasara sana lakini nilimuachia Mwenyezi Mungu kwani hii ilikuwa ni sehemu ya kujifunza na kuhandle risk kama hizi maana haikuwa mara ya kwanza kuanzisha biashara na kutokea mtu kuivuruga.

Mwisho, Subira kusoma na kuweka tamaa pembeni ndio silaha ya mafanikio katika Forex.

Ontario asante sana, nimeijua forex kupitia hii thread. Mwenyezi Mungu akubariki kwa hili maana umetusaidia watu wengi sana katika financial freedom.
 
ONTARIO Mbona kwenye vigezo vya kuhamisha fedha hao brokers wanajinadi kwamba Pesa haziwezi kutumwa wala kupokelewa(wala kupitia) kwa thirdpart,
It means kwamba ni direct to your Account uliyosajilia,
Sasa kumbe hakuna usalama huo wanaouzungumzia?
Manake naamini ulitolea kwa FNB(kama sikosei)
na Hii Bank ya FNB huwa inajinadi kama bank bora zaidi ya kutrade Forex,
sasa mbona wanayoyafanya ni kinyume na matarajio?
Au wanabanwa na sheria za BOT? Kana kwamba transaction zote lazima zipitie BOT kisha ndio zifike kwa mlenga(why wasiseme ukweli? Au mimi/sisi ndio hatujui?)
Hebu weka neno juu ya hili
 
Iko hivi!!

Pesa yoyote inayotoka nje ya nchi ama inayoingia nchini lazima iwe regulated na central bank, hasa baada ya Bunge ku review sheria mpya za money laundering (utakatishaji wa pesa). Sasa kama Central bank watahisi pesa zinazoingi/zinazotoka hazina uhalali basi wanaweza kuzizuia.

Kinachonishangaza ni kwamba kabla ya huu uzi niliwithdraw $18,000 and it was successful bila shida yoyote, tena it was less than 2 days. Karibu wiki 2 sasa napigwa dana dana katika kuchomoa hii $15,000, na ni baada ya kuweka huu uzi. Najua ni figisu figisu tu za jamaa fulani ambao wanafeel insecured. Inawezekana kabisa akawa individual tu kama wewe akatoa taarifa kwa BoT kua fedha zangu si halali, ili tu nikwame. But, he/they must be aware that I don't hv plastic balls, nna mapvmbu ya chuma.

The hustle is real, and we are starting in less than 2 weeks. We just hv to be patience. Mbona watu wanavumilia kusoma chuo miaka mi4, tunashindwaje kuvumilia mwezi mmoja??
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…