Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nakuelewa sana Muhenga, victory is always ours.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguvu inayotumika kupambana na mimi ni kubwa sana. Just imagine hii ni JF pekee yake, vipi huko nje nje. No one wants u to be financially independent. No one wants you to know the truth.



Kuna screen shots humu humu JF siwezi kuzileta kwa public, it's that fvcking crazy.
 
Acha kuwadanganya wenzako.
Nafahamu watu wengi sana mimi mmoja wapo, tulianza na mtaji mdogo sana ($100) ila sahivi mitaji imekuwa mara dufu hadi zaidi ya $250,000.
Forex ni kama biashara nyingine na sio gambling kama unavyodanganya watu hapa.
Mabenki makubwa duniani kama JPMorgan, Morgan Stanley, Merril Lynch nk wana vitengo vikubwa vya forex na wanapiga millions of dollars per day.
Unaweza anza na $100 na ukafika $100,000 mwisho wa mwaka.
 
usihofu ndugu,tunavumilia sisi,hata ikiwa desemba haina tatizo kuliko kuharakisha mambo yakawa ovyo,jiandae taratibu tu bila wasiwasi.sisi tunasoma kujua vitu zaidi ili kweny training tuwe tunauelewa wa kutosha.WORRY NOT!..
 

usihofu mkuu!..we humbly waiting,hatuna haraka.
 
Chief Ontario hizo ni changamotoz tu mkuu pambana tu,wewe ni Muhenga na wahenga wanasema penye njia pana njia,wakibana sana forex hapa Tanzania basi tutahama nchi tuhamie South Africa,kwani maisha popote tu,kwani kitu gani kama mtu akiweza mu master trading akapiga hadi dollar 2000 tu kwa week iyo inafaa kabisa kuishi south africa huku una trade na ukaweza kabisa kuhudumia au kusomesha ndugu na jamaa ukiwa hukohuko SA,kama kuja kusalimia familia unaweza vilevile mbona kuna watu wanaishi botswana,namibia,SA wanafanya kazi huko na familia zao ziko bongo,MAANDIKO YANASEMA WATAPAMBANA LAKINI WATASHINDWA.MUNGU YU PAMOJA NASI UTUMWA WA KIFEDHA TUMEUCHOKA WE NEED FINANCIAL FREEDOM
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndio Tz ya vi-wonder! kama wanakomaa na rambi rambi sijui kama wataacha kuleta figisu kwenye forex!!

Unatakiwa ujiulize kuliko kukuzungusha kwanini wasikuite wakuulize kuhusu hiyo pesa?

Mkuu wa nchi kasema anataka watu waishi kama mashetani so huwezi jua ndio mwendelezo wa maneno yake!!

Hakikisha unaenda nao sawa mkuu, hakikisha kila document iko sawa maana hawatakawia kuvamia classes na mabomu wakasema unafundisha ugaidi!!!

Kwa hali ilivyo hakikisha una mwanasheria pemben hata wa part itme ili ikitokea la kutokea ujue unamalizana nao kivipi!!

Ndio nchi yetu hii...Pole sana kiongozi!!
 
Aisee, nadhani kama ingewezekana kupata temporary/permanent identity ya nchi kama south Africa tungekukabidhi vitambulisho vyetu ili uende kututengezea a proof of residence ya kule then Tutakuwa tunafungua Ac kwa uraia wa SA. Na kwavile bank zinatumia system ya Visa basi tukiwithdraw pesa tutaweza kuzitolea popote tu...
Manake ujue huu ni mtego kwa hapa Tz, na sijui tutatumia njia gani ili kuweza kukabiliana nao(kama kutakuwa na njia mbadala ukiachana na hiyo nlioielezea hapo juu, basi ningependekeza isiwekwe hapa kwenye huu uzi)
 
Kwa wale wanaosema huyu ontario sio real, nafahamu wanafanya hivyo kuwapoteza watu kwa malengo yao ambayo sio mazuri .
Wanachoshindwa kufahamu kwamba kuna watu wamesoma nae wapo humu ,kuna watu baadhi ambao ni members wa humu wamepata bahati ya kuonana nae na kubadilishana mawazo ukiachilia mbali kufanya nae kazi/biashara nk.
Mkuu kila la heri ktk kufanikisha hili,uzuri ni kwamba ulizifahamu hizi changamoto tangu awali hivyo ni imani yangu ulijandaa kukabiliana nazo
 
Alafu wheres Mike Lungu?
Ni muda sasa hujamuongelea, urafiki umekufa au nini kinaendelea manake ingependeza zaidi ukamleta Tz(kama bado) akayaona mafanikio ya mwanae(alikufanya uijue FX na alikulea)
ONTARIO Ukipata wasaa hebu weka neno lako na hapa
 
Alafu wheres Mike Lungu?
Ni muda sasa hujamuongelea, urafiki umekufa au nini kinaendelea manake ingependeza zaidi ukamleta Tz(kama bado) akayaona mafanikio ya mwanae(alikufanya uijue FX na alikulea)
ONTARIO Ukipata wasaa hebu weka neno lako na hapa
Kuna jamaa alitajwa hapa jana anaitwa iArmaniAdamson angekuja atuambie maana mdau aimtaja kama banker!!

Aje atuambie what is going on kwenye mabenk yetu haya!!
 
Mr. ONTARIO pls anzisha group telegram maana kule hakuna limit ya members.
Ni rahisi pia ku organize watu walio serious na hii issue kama mimi.

Sipendi kuongea sana ila nasoma nachambua tu.

Please take my advice
 
usihofu ndugu,tunavumilia sisi,hata ikiwa desemba haina tatizo kuliko kuharakisha mambo yakawa ovyo,jiandae taratibu tu bila wasiwasi.sisi tunasoma kujua vitu zaidi ili kweny training tuwe tunauelewa wa kutosha.WORRY NOT!..
Kaka umenena vyema mimi ndo sina hata pressure nakula msuli wangu mwendo wa kinyonga nikimsubiri hyu mhenga akamilishe mipango ya training institute yake hyo hta mwakani nihudhurie kuliko hawa vivuruge wanaokuja kutukatisha tamaa hapa au kututapeli tupoteze dira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa alitajwa hapa jana anaitwa iArmaniAdamson angekuja atuambie maana mdau aimtaja kama banker!!

Aje atuambie what is going on kwenye mabenk yetu haya!!
Atatujazia nzi tu, hatakama anajua hawezi kusema, na hatakama atasema haitobadilisha chochote cuz lengo ni kutotaka sisi tufanikiwe only that,
kwahiyo ni jukumu letu kutumia peacefull means au armed struggle &revolution...
Na hii kitu itaacha legacy kwa vizazi vijavyo na tutakumbukwa kwa kulileta ama kulipigania hili suala, wakati huo Tz kuna wakina Sandile Shezi kibao
 
Kuna jamaa alitajwa hapa jana anaitwa iArmaniAdamson angekuja atuambie maana mdau aimtaja kama banker!!

Aje atuambie what is going on kwenye mabenk yetu haya!!
Hyo jamaa anaroho ya nungu tu mkuu Bavaria na Ontario wamejitokeza hapa km wadau wenye mafanikio ya forex trading aje awachallenge hapa tuone km anajipya. Sisi raia wenye slavely mentality tunamiroho mibaya sana asee hatupendi kuona wenzetu wanajikwamua toka kwny Lindi hili la umaskini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Aisee man sasa hivi tutegemee imposition ya KODI katika sisi wanobenefit na online bussines na wanaopokea malipo toka nje ya nchi. Maana ndo njia pekee waliyoibakisha kutukandamiza. Tena wanaweza weka huge tax ili kukomoana tuu. Kuna kipindi nilikuwa nawatumia equity katika biz fulani hv za online. Nikawa nimetumiwa pesa kama USD 700 Hivi, Huwezi amini waliziblock. Na nilizungushwa haswa karibu wiki nzima naifuatilia. Yaani siku niliyokuja kuitoa na Bank yenyewe niliihama hapohapo. Nikafungua Cash card bank ingine.
 
Mungu nusuru transaction zangu manake niliwithrdaw tangu jumapili na bado sijakwenda kuangalia kama zimeingia au lah(manake niliiamini sana hii bank), though broker alituma msg kusema kwamba zimeshatumwa....
Hii nchi hii kusema ukweli hakuna Bank yakuiamini manake ikishafunga ndoa na BOT tu baaass roho inawabadilika....
Equity na FNB walipokuwa wanaingia TZ walikuwa malaika weupeee ila sasahivi full mapicha picha
 
mkuu umeni inspire sana aisee,nasoma zaidi,mkuu ontario mambo yakiiva tujulishe angalau 3 days before hata km kuna safari tuzipige pending kuhudhuria training.
Cc Ontario
 
Hapo kwenye kodi nlikua na mashaka nako sana...ngoja tuone mwisho wake!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…