Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Sawa wazee wa miradi ya upigaji.... munazngukana tu.....

Na kudanganyana..... hauna hata banda la chips unataka forex trading....

Endeleeni kutengeneza pesa hewa....

Mi kilimo kwanza....

Sent from "La -Vista"
 
Sawa wazee wa miradi ya upigaji.... munazngukana tu.....

Na kudanganyana..... hauna hata banda la chips unataka forex trading....

Endeleeni kutengeneza pesa hewa....

Mi kilimo kwanza....

Sent from "La -Vista"

una fahamu nini kuhusu Foreign currency trading??
ama ndo wale wale kwamba ukiwa Tz huwez fanya hii business??

just wait and see!!



Sent from my iphone 6s using Jamii Forum Mobile app
 

Mkuu umenikata moto, ujie hawa equity ni juzi tu nimetoka kufungua A/C kwa macofidence ya kutosha. Unataka kutuambia nao hawafai tena?
 
Sawa wazee wa miradi ya upigaji.... munazngukana tu.....

Na kudanganyana..... hauna hata banda la chips unataka forex trading....

Endeleeni kutengeneza pesa hewa....

Mi kilimo kwanza....

Sent from "La -Vista"

Kweli mkuu kufungua banda la chips na kukaangia watu mayai ndio biashara ambayo kwa uwezo wa kufikiri Mwenyenzi aliokutunukia ndio umegomea hapo.
Tuko kwenye Fx unaleta story za chips yai?
 
Mkuu umenikata moto, ujie hawa equity ni juzi tu nimetoka kufungua A/C kwa macofidence ya kutosha. Unataka kutuambia nao hawafai tena?

Usife moyo, yawezekana tuu nilihudumiwa na mtu asiye, yawezekana hayo mambo wameyarekebisha. Ila kwa mimi kwa usumbufu ule nilioupata, ilikuwa tosha sana kwangu. Ukizingatia ile pesa nilikuwa na shida nayo isivyo kifani. Kiufupi delay ya wiki ilisababisha disaster kubwa kwangu. So nilichukua maamuzi nikiwa na hasira.

Kwa upande wako subiri uwasikie watafanyaje biashara na wewe, ila kwa upande wangu walikuwa wameshanitoka.
 
Sawa wazee wa miradi ya upigaji.... munazngukana tu.....

Na kudanganyana..... hauna hata banda la chips unataka forex trading....

Endeleeni kutengeneza pesa hewa....

Mi kilimo kwanza....

Sent from "La -Vista"

Hivi ushajiuliza kabla ya kutoa hii post kuwa pesa tunazoanza nazo kama mitaji tunazitoa wapi.?

BTW, this is digital age, huwezi elewa kitu kinachoendelea hapa. Hata hicho kilimo unakifanya sababu ndo ulichobahatika kupata taarifa zake. Na pamoja kupata taarifa zake but still unaweza ingia loss vilevile.

Same to this forex shit, tumeingia sababu tumepata taarifa, hatukuwa na hizi taarifa kabla, tumezichambua zipo viable, the tunaimplement kama zilivyo biashara zingine.

Anyway, jambo lolote lile dunia hii linahitaji taarifa ili ufanikiwe, you get right information you win, you get wrong info, my friend you are busted. Kupitia huu uzi, mimi binafsi nimeamini hizi taarifa za forex toka kwa Bavaria na Ontario kwa 200%. Then i am in basing on that.

Na one more thing maishani, Mtu makini huwang'amua Loyal people very early, but mkuda hawezi mtambua loyal person. These two dudes are Loyal. Honnesty is expensive shit, dont expect it from cheap people, hii alipata kusema Warren Buffet.


Simple like that.
 
Ningependa kutoa maoni yangu kuhusu sehemu ya kufanya withdraw kwa maoni yangu kwanza msiwe mnafanya transaction direct from broker account to your account hiyo naona ndo sababu kwa nchi yetu hii wanajua hiyo pesa inapotokea lakini kama endapo ukiitoa kupitia online wallet itasaidia mimi nafanya withdraw natoa pesa yangu kwenye account ya broker na ninaipeleka Skrill then pale Skrill ndo naichukua ile pesa naipeleka kwenye account yangu safi kabisa bila tabu.
Ukiona njia hii yafaa unaweza kuitumia kwa sababu kila broker anaruhusu transaction za skrill au Netteler unaweza kufungua account kwenye moja ya wallets nilizoziandika hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu labda sijakuelewa, ukitumiwa pesa na broker kwenye wallet yako we si utaituma kwenye acc yako si yaleyale wataona fedha imeingia kwenye account yako wataizuia na watataka kujua imetoka wapi, hebu tupe experience yako na unatumia benk gani bongo kama hutojali
 
Aluta Continua-
Halafu kila siku kuna matamko ya vijana wajiajiri kweli?

If the government ndo ya kwanza ku discourage watu wanaotumia fursa zilozoletwa na teknolojia kuna haja gani ya kuendelea kuungana mkono?
Kama kuna kitu huwa kinanikwaza sana hapa kwetu ni suala la Paypal kutopokea fedha ukiwa TZ kuna fursa nyingi sana vijana tunapambana angalau nchi hii nayo siku ya siku isonge mbele lakini systems zinatukwamisha na kutuvunja mioyo hali ilivyo sasa hv huwez kuzuia exposure kwa watu wa karne ya 21 ndio maana hata wakenya wanaendelea kutuburuza kwasababu za ukiritimba usio na tija-
Pole sana mkuu wangu ONTARIO hapa tuna la kujifunza na kuchukua hatua siku za mbeleni tubadilishe hii hali
 
Yani ni kwamba pesa itakapotoka kwa broker na kufika kwenye skrill account yako statement ya Forex inaishia pale kutoka skrill kwenda kwenye account yako ya bank statement inasomeka kuwa pesa inatokea skrill na sio Forex

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaka tatizo sio fedha za forex tu, kuna mdau yeye alikua anafanya biashara ya mtandaoni hajui hata biashara ya forex lakini alipotumiwa dala 700, zilizuiliwa na alisumbuliwa sana alizipata baada ya muda mrefu, swala hapa ni njia nzuri jinsi ya kupokea pesa kutoka nje wala sio forex tu kaka, ni benk gani hawa question kaka
 
Sawa braza.....

Umekurupuka kuandika mambo mengi saaana... yaaani umeenda mbali saaana utachoshwa pindi utakapofikiria kurud....


Asiyecomment sio kwamba hajui... ila anamaana yake....

Ila kama unajiona ni wewe pekee ndio umefanya uchambuzi na ukaamini katika Bavaria na ontario..... zaid ya mawazo yako... sawa komaaa na mimi cjakuzuia kukomaa juu ya ilo... kwa kuwa ndicho ulichokijua...

Ila mi nishapita uko....
All the best haina haja ya kukaza mishipa ya shingo.
Ni conv ya kawaida tu.

Unaweza ukawa ni mmoja wao... na utagundulika kupitia post zako... slow down boy

Sent from "La -Vista"
 
mkuu ni bora ukae kimya tu
 

Hakuna aliyekurupuka kukujibu, umejibiwa kadri ya post yako ilivyokuwa. Huwezi kuja kudhihaki watu kuwa kwa kuwa hawajawahi kufungua hata banda la chipsi hivyo hawana uelewa wa forex. That was total disrespect. Yet ukaenda mbali zaidi na kusema ni mchezo wa kitapeli na kuuita mchezo wa kuzungukana. Yet unarudi na post ya kutafuta sympathy kuwa hakuna kosa ulilotenda.

Mtu huvuna pale alipopanda, ulikuja kwa dhihaka ukajibiwa inavyopaswa. Huwezi kusanya pale ambapo hukutawanya. Pia hatuwezi fanana upeo, na si kila mtu atafanikiwa na hii biashara, out of 100 people ni only 5% ndo watafanikiwa binafsi nipo aware na hili pia so to my fellas here. Na ni tahadhari ambayo ipo wazi kabisa, but the deal worths taking.

Unasema ulikuwapo na ukajaribu but ukafail. Kushindwa kwako wewe hakuna uhusiano na kushindwa kwangu mimi. Probability guys term these events as independent events, ikiwa na maana kuwa kushindwa kwako wewe katika hii biz hakuna influence katika kushindwa kwangu na mafanikio yangu kiujumla katika hii biz.

Sometimes lessons come in a hard way, na most of the times dawa ni chungu, but we have to take them coz kwa wakati huo inanakuwa ndo only way out.

By the way sijakaza mshipa wa shingo, i am here in this post to stay mpaka ukamilifu wa dahari. Huku my daily routines zikiendelea kama kawaida.
 
Sawa forexer..... komaa kwenye dash.

Nione mimi tu... we usijione...

Sent from "La -Vista"
 
Mwandiko wako mkuu mtu anaeza sema ONTARIO ndio kaandika [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Looking very similar with my mwandiko.
 
Mkuu acha kukatisha tamaa wenzako kila mtu aliyefanikiwa alijaribu akafeli akajiribu tena na tena mpaka amefanikiwa, kama wewe umekata tamaa baada ya kufeli mara 1,2,3 ni wewe, ila nakushauri take a break ku restrategize ujatibu tena baadae, kushindwa kwako sio kushidwa kwa wote.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…