Ngoja nijaribu hii njia.Compress hilo excel file liweke kwenye zipped file halafu halafu attach
CRDB waliblock pesa zangu, hawakujua kuwa wananipa akili, sasa natumia mastercard nawithdrawal as mtalii tena kwa rate sahihi na sio za local banks.Aisee man sasa hivi tutegemee imposition ya KODI katika sisi wanobenefit na online bussines na wanaopokea malipo toka nje ya nchi. Maana ndo njia pekee waliyoibakisha kutukandamiza. Tena wanaweza weka huge tax ili kukomoana tuu. Kuna kipindi nilikuwa nawatumia equity katika biz fulani hv za online. Nikawa nimetumiwa pesa kama USD 700 Hivi, Huwezi amini waliziblock. Na nilizungushwa haswa karibu wiki nzima naifuatilia. Yaani siku niliyokuja kuitoa na Bank yenyewe niliihama hapohapo. Nikafungua Cash card bank ingine.
Mwanafunzi humfanania mwalimu mkuuMwandiko wako mkuu mtu anaeza sema ONTARIO ndio kaandika [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Looking very similar with my mwandiko.
Nimejaribu kuattach hii document ya excel nimeshindwa.
Nimejaribu kuconvert kwenda pdf, imetokea document nusu.
Nipeni ushauri wa cha kufanya..
umefungua dollar a/c yenye mastercard? ebu elezea kidogo hapa kamandaCRDB waliblock pesa zangu, hawakujua kuwa wananipa akili, sasa natumia mastercard nawithdrawal as mtalii tena kwa rate sahihi na sio za local banks.
Hakuna kuchunguliana tena
Unatumia SKRILL WALLET...hii ni kama m pesa tu kwani sina mfano mzuri zaidi ya huu. Akaunt hii unaweka pesa kwa m pesa hasa safaricom, au kwa kutumia mastercard., ndipo unatuma pesa kwa broker. Ukishapata faida kwa broker unahamishia pesa yako kwa skrill akaunt ili uzi withdrawal utumie...zikiingia kwa skrill unahamishia kwa mastercard...mastercard nzuri ni ya Payoneerbank of America. Uzuri wake hakuna bank inakuchungulia...hakuna kuhold pesa zako, hakuna rate chafu za local banks. Uzuri wa hii mastercard waweza kuweka eur, gbp na usdumefungua dollar a/c yenye mastercard? ebu elezea kidogo hapa kamanda
Hiyo pioneerbank of america inatawi hapa bongo au ndo inakuaje kupata MasterCard yao?Unatumia SKRILL WALLET...hii ni kama m pesa tu kwani sina mfano mzuri zaidi ya huu. Akaunt hii unaweka pesa kwa m pesa hasa safaricom, au kwa kutumia mastercard., ndipo unatuma pesa kwa broker. Ukishapata faida kwa broker unahamishia pesa yako kwa skrill akaunt ili uzi withdrawal utumie...zikiingia kwa skrill unahamishia kwa mastercard...mastercard nxuri ni ys Payoneerbank of America. Uzuri wake hakuna bank inakuchungulia...hakuna kuhold pesa zako, hakuna rate chafu za local banks. Uzuri wa hii mastercard waweza kuweka eur, gbp na usd
Online bankingHiyo pioneerbank of america inatawi hapa bongo au ndo inakuaje kupata MasterCard yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok kwel forex itatufungulia mambo mengi ya kitehama tulokua hata hatuyafikiriiOnline banking
Mkuu ulifanyajefanyaje tumegee siri nasi tufungue maana haya mabenki hivyo sanaCRDB waliblock pesa zangu, hawakujua kuwa wananipa akili, sasa natumia mastercard nawithdrawal as mtalii tena kwa rate sahihi na sio za local banks.
Hakuna kuchunguliana tena
Shida ni mwalimu, bank hazitaki kabisa tu trade. Sio kwetu pekee, Kenya kuna mdau bank yake imehold akaunt yenye $10,000Ok kwel forex itatufungulia mambo mengi ya kitehama tulokua hata hatuyafikirii
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah unaeza enda na boxer bank kulianzishaShida ni mwalimu, bank hazitaki kabisa tu trade. Sio kwetu pekee, Kenya kuna mdau bank yake imehold akaunt yenye $10,000
Hizi huduma nimezijua baada ya kushikiliwa pesa na CRDB. ndipo nikapewa siri na rafiki zangu namna ya kuepukana na suluba hizi.Mkuu ulifanyajefanyaje tumegee siri nasi tufungue maana haya mabenki hivyo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo kumbe ili uwe na pioneer ni pia uprovide info za local bank unayotumia sioHizi huduma nimezijua baada ya kushikiliwa pesa na CRDB. ndipo nikapewa siri na rafiki zangu namna ya kuepukana na suluba hizi.
Skrill ac ni dakika chache unafungua na inakubalika na broker karibu wote.
Payoneer pia sio ngumu kufungua, ujiandae ku upload:
1.Bank ac and banking statement,
2.Swift code ya bank yako..mfano crdb ni corutztz
3. ID yako eg pasport, driving l .nk
4. Physical address(not p.o.box) eg livingstone str. Dar.
5. Maelezo ya biashara..jibu ni ONLINE WORKING AND FOREX. vinginevyo utakwama, ukitaja biashara wanataka na link
Hayo ni mambo muhimu zaidi. Ukikwama nicheki
Ndio, lakini sio watahusika kwa namna yoyote bali bank statement inawathibitishia kuwa wewe sio robotKwahyo kumbe ili uwe na pioneer ni pia uprovide info za local bank unayotumia sio
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa hapo nimekuelewa na je hyo swift code ya bank hua ipo kwny bank statement au nimpaka uende kuiomba benki?Ndio, lakini sio watahusika kwa namna yoyote bali bank statement inawathibitishia kuwa wewe sio robot
na rekodi zako, sawa na m/kiti wa mtaa anavyokutambulisha bank